Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,560
- 860,712
- Thread starter
- #141
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Ufao ni mwili uharibukao, roho haifi.. Tunaposimuliwa habari za reincarnation na ufufuo siku ya mwisho, hizi ni habari za kiroho sio za kimwili.... Kuna watu wanafanya kazi huku wamelala mwili uko kwenye automation mode.. Anatenda kwa mazoea lakini mwili na akili vimechoka kabisa
Samahani, naomba ufafanuzi hapo watembeao nao wamelala unamaanisha nini??. mtu anayetembea anaweza kuwa amelala kivi?. Ntashukuru ukipata nafasi ya kunijibu.