Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

Kwakuwa unaongea na wewe mwenyewe
binafsi hunitokea hasa pale ninapokua nipo kwenye mtanzuko wa kitu au jambo flani. najikuta najiuliza swali na majibu yanakua zaidi ya mawili. ila huwa sijui ni kwanini?

Jr[emoji769]
 
giphy.gif
 
Dunia ina mchana na usiku
Nakukumbuka miaka ya nyuma wakati nipo jkt recruits walikuwa wanatulazimisha kulala chali.Makamanda walikuwa wanapita kufanya bed check wakikukuta umelala tofauti na hivyo ni lazima uamshwe.

Tuliambiwa ukilala kifudifudi au kiubavu basi huwezi kuhisi hatari inayokunyemelea.Mimi sikuwahi kuamini hilo ila nilijilazimisha mpaka nikazoea.

Baada ya kurud uraiani nilikuja kuamini kuwa ni kweli, maana niliendelea kulala chali. Hii ilinisaidia kunusurika na majaribio mengi ya kuibiwa. Inanifanya nistuke hata Kama Kuna mtu yupo dirishani ananichungulia.

Nakumbuka siku moja nikiwa nimelala chali nipo katika usingizini mzito, nimewahi kumpiga mke wangu ngumi kwa bahati mbaya baada ya kunikaribia. Hisia ilinijia Kama kuna mtu mbele yangu anataka kunifanyia jbo baya.
 
imani potofu. Hazina ukweli wowote.
Mtu akutazame uamke? Ujue hukua na usingizi
 
Mkuu mimi siamini hili katika dhana nguvu za kiroho. Ila kiukweli Kuna namna viungo vingine unavifanya viendelee kufanya kazi ya kukupa hisia.
 
Nakukumbuka miaka ya nyuma wakati nipo jkt recruits walikuwa wanatulazimisha kulala chali.Makamanda walikuwa wanapita kufanya bed check wakikukuta umelala tofauti na hivyo ni lazima uamshwe.

Tuliambiwa ukilala kifudifudi au kiubavu basi huwezi kuhisi hatari inayokunyemelea.Mimi sikuwahi kuamini hilo ila nilijilazimisha mpaka nikazoea.

Baada ya kurud uraiani nilikuja kuamini kuwa ni kweli, maana niliendelea kulala chali. Hii ilinisaidia kunusurika na majaribio mengi ya kuibiwa. Inanifanya nistuke hata Kama Kuna mtu yupo dirishani ananichungulia.

Nakumbuka siku moja nikiwa nimelala chali nipo katika usingizini mzito, nimewahi kumpiga mke wangu ngumi kwa bahati mbaya baada ya kunikaribia. Hisia ilinijia Kama kuna mtu mbele yangu anataka kunifanyia jbo baya.
Nakumbuka siku moja nikiwa nimelala chali nipo katika usingizini mzito, nimewahi kumpiga mke wangu ngumi kwa bahati mbaya baada ya kunikaribia. Hisia ilinijia Kama kuna mtu mbele yangu anataka kunifanyia jbo baya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani alikoma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom