Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

Hebu angalia huu mtiririko wa ajabu post no [HASHTAG]#201[/HASHTAG] niliandika hivyo... Post no [HASHTAG]#202[/HASHTAG] ukajitokeza... Hii coincedence hii[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Siwezi elezea hilo ila muhimu ni kuwa simfahamu mtu huyo
 
Sawa. Ila kwenye post zako usisahau kusema ni simulizi zisizo na ithibati
 
Ok unajua tunapo create multiple IDs hatujui kama kuna vitu kama location na mfanano wa uandishi havikwepeki
Siwezi kuwa na Multiple ID Mkuu.

Huyo ni mtu mwenye mtazama uliolandana na Mimi. Hayo mengine unakisia. Na kwa bahati mbaya umekosea
 
Sasa huku ni kupangiana mitazamo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Samahani kwa hilo Mkuu.

Zipo baadhi ya mada zako nazikubali Sana zenye ukweli lakini zingine kwakweli nisiwe mnafiki naziona ni zakubuni
 
OK sawa asante, siwezi kukupangia uamini kipi na usiamini kipi nitakuwa mwendawazimu mkubwa.... Na kwakweli siwezi kupingana na tafsiri za mitazamo yako kwenye mada zangu.... Ila napenda tupingane kwa hoja
 
Ni sayansi gani hii? Ni uchawi!? Ni mazingaombwe ama ni jambo la kufikirika tu lisilo na ukweli wowote?

Niliahidi kuleta mada hii, baada ya Dr. Shika kuchagiza kwenye simulizi yake ya kutoroka watesi wake kwamba hakumwangalia yule mtesi mlinzi aliyebaki naye machoni la sivyo jamaa angeamka!

Tujadili kipengele kwa kipengele.

A. Kwenye mada zilizopita za jicho la tatu, majinamizi na jicho la rohoni tuliona jinsi jicho la tatu lilivyo na nguvu pale macho yaonekanayo yakiwa yamefumba, yamelala.. Kumbuka jicho la tatu liko kwenye paji la uso.. Tunapozungumzia mawasiliano ya kiroho kiunganishi ni jicho hilo la tatu kwamba kuna muunganiko usioonekana kati ya jicho la tatu na jicho la tatu lingine...
Kama nilivyosema kwenye mada ya majinamizi na ndoto mbaya hatushauriwi kulala chali kwakuwa juu yetu zinapita roho nyingi na za kila aina, ambazo connection yake ni jicho hilo la tatu

B. Wachawi na wanga hutumia sana jicho la tatu kufanya mawasiliano ya kiroho na ndio maana wanapotaka kuingia ndani ya nyumba kwanza kuingia kinyume nyume kwa rivasi na wakiwa uchi... Hapa ni kuepusha uwezekano wowote wa wewe kuna na direct connection ya jicho la tatu na yeye... Akishafanikiwa kuingia ndani akakukuta umelala chali hapo hataweza kuwanga tena bali yataanza mapambano mengine ya kutaka akugeuze au kukupindua ili afanye yake... Lakini kwakuwa tayari ile connection ishakuwa established basi subconscious mind inakuwa alert na ndio mwanzo wa kukabana..
Jiulize kwanini wanaoingiliwa na popobawa hawana kipingamizi chochote, hujikuta tayari washachafuliwa..

C. Muingiliano mwingine wa jicho la tatu ni ndege kunguru mwewe, huyu ni ndege mwerevu na mwepesi sana huwezi kumpiga akiwa mbali, hivyo wajuzi huenda kinyume nyume mpaka kumkaribia kabisa ndio hugeuka na kumpelekea moto... Ukiweza kurudi rivasi kwa kunyooka, unaweza kumkaribia kunguru mpaka umbali wa mita tano.. Unaweza kufanya majaribio

D. Mwili wetu huu una mashine tatu moja ni conscious mind na nyingine ni subconscious mind na ya tatu ni unconscious mind
-conscious mind- ni hii hali tuliyo nayo ya kuweza kufanya kila kitu kwa utashi na bila utashi, kuandika kuongea kuvaa nguo nk nk, ni katika hali hii subconscious mind (jicho la tatu) nayo hufanya kazi.. Hii hufanya kazi ya ulinzi kuzunguka mwili wote na ndio maana huwa tunahisi kuna mtu anatunyemelea, kuna mtu yuko nyuma yetu ama kuna hatari inatukaribia.. Lakini vilevile hufanya kazi ya machale... Jicho la tatu huona zaidi ya kuona (seeing beyond) huwa tunapewa tahadhari na nafsi zetu, huwa tunasita kufanya jambo . hii ni kazi ya subconscious mind... Halafu kuna hali ile ya kuzirai ama kupoteza fahamu... Hii ndio unconscious mind... Macho yote mawili yamezima, jicho la tatu nalo linakuwa kwenye dormance state.. Lipo lakini utendaji hupungua uwezo mpaka kufikia chini ya asilimia 50 ili kulinda uhai kidogo uliobakia. Ni sawa na kukipunguzia mizigo chombo baharini kinachokaribia kuzama ili kisizame

Sasa tuhitimishe kwa suala la Dr Shika, aliachwa na mlinzi lakini akalala kutokana na uchovu pombe na madawa.. Lakini kwakuwa tayari ana ufahamu (inbuilt intuition) wa kumlinda Dr, hivyo hata alale vipi lile jukumu kiroho hubaki kwenye subconscious mind/jicho la tatu na ikitokea ukamwangalia usoni una establishe connection kati yako na yeye na kumfanya ashtuke na kuamka
ef5089328ced34d6ad19285ea79b58d6.gif

Mojawapo ya mafunzo ya walinzi ni hili.. Na subconscious mbili zinapokutana moja ndio hu trigger nguvu ya kuamsha nyingine.. Hivyo haishauriwi kabisa kukutanisha macho Kwenye situation kama hizi

Naomba radhi kwa kuchanganya lugha
Haina ukweli ndani yake, mtu kuamka kunaushisha cascade of events ambazo hazina uhusiano wowote na mtu yeyote tofauti na aliye lala,
 
OK sawa asante, siwezi kukupangia uamini kipi na usiamini kipi nitakuwa mwendawazimu mkubwa.... Na kwakweli siwezi kupingana na tafsiri za mitazamo yako kwenye mada zangu.... Ila napenda tupingane kwa hoja
Ni sawa
 
Haina ukweli ndani yake, mtu kuamka kunaushisha cascade of events ambazo hazina uhusiano wowote na mtu yeyote tofauti na aliye lala,
Weka uchambuzi wa kueleweka ili uweze kujenga hoja inayojadilika
 
Huu ni uwezo na unafanya kazi hasa katika Ulimwengu wa imani (Wanaomuamini Mungu) na Sayansi tata zinazohusiana na Nafsi au Roho na Saikolojia (Katika uelewa Wangu kama Mwanasaikolojia na Mkristo)

Jicho la Tatu ni namna wengi wanaiita kwa namna hiyo lakini ni uwezo ambao wengine wanauita "Extrasensory perception "

Mfano 1 Mzuri wakati wa Tsunami wanyama walionekana wakikimbia na watu wasielewe ni nini kinachokuja na wale waliofungiwa walikuwa wakipiga kelele ya kuashiria hatari inayokuja Nusu saa kabla ya tukio.

Mfano 2
Kuna wakati unajikuta unatazama nyuma halafu unagongana macho na mtu aliekuwa anakuangalia kwa kuiba nyuma yako au kwa kujificha

Mfano 3
Au kupita mahali kuhisi mwili unasisimuka au kuna jambo baya hapo au mahali unapopita (Sio Woga)

Mfano 4 Unamsikia mtu anasema machale yakanicheza

Ulimwengu wa wanasaikolojia

Mshana Jr umetaja Subconscious lakini si sawa ni "subliminal" pre conscious sehemu hii ndipo inapokaa Jicho hilo likiitwa kama ufahamu wa katikati huu ndio unapokea ujumbe mbalimbali ambao macho ya kawaida si rahisi kutafsiri ambazo zinaitwa "Subliminal Message" ambazo zinapita kwa mifano rahisi kupitia Movies Musics Matangazo na mara nyingi zina content sio nzuri

Na wanasaikolojia wengine wakaenda mbali zaidi wakabuni mbinu za kuwasiliana pasipo kuongea "Telepathy" (Sio science ni spiritism) lakini yote ndio wanaloiita jicho la tatu la utambuzi.

Imani

Katika Imani hasa kwa wakristo kabla ya anguko la Adam na Eva pale Eden

Mwanzo 3:6
"Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala. 7 Wakafumbuliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wa uchi, wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo"

H
aya yaliitwa macho ya kiroho ambayo zamani haikuhitaji kuota au kulala uweze kuona vitu ambavyo si rahisi katika ulimwengu wa kawaida kuviona...lakini maandiko yanaposema wakafunuliwa macho yao tafsiri ni kwamba ndio siku Jicho la tatu lilipopofuka na kufunguka au kubaki haya tu ya uwezo wa mwili.

FAIDA YA KUFUNGUA JICHO HILI CHINI YA UANGALIZI WA MUNGU (Kwa wakristo waaminifu)

1.Unaweza kuona vitu vinavyopita au kuingia katika mwili wako mfano Magonjwa au Mapepo majini

2.Kufahamu hatari iliyopo mbele zako inayopangwa na adui zako

3.Kuelewa Mungu anaposema na Wewe kupitia Malaika au roho wa Mungu

4.Kutofautisha Malaika na Mapepo

5.Kama ni Mzaliwa wa Kwanza unapata Neema ya kutambua vitu vinavyoendelea katika familia ya kwenu.

6.Kubadili, kuona Adhabu zinazopita kutoka kwa Mungu au Miungu katika Maisha yako na jamaa wanakuzunguka

7.Kuona vitu ambavyo si rahisi mtu mwingine kuviona hasa katika Movies Music matangazo na hata Vitabu vyenye madhara mfano Homosexuality ibada ya kimashetani na alama nyingine

ANGALIZO: "nimeeleza kwa ufupi kwa uzoefu wangu kama sababu ni Psychologist naeegemea katika Uwepo Wa Mungu Creation Theories ni hatari sana unapo meditate nje ya Mungu kwa njia ya spiritism au kutaka jifunza hizo mbinu za kuweza ona katika wanaloliita jicho la Tatu hatari ya hata kupoteza maisha"

mkuu umemalizaaaa.....kuna mtu nilimwambia habari ya telepathy...ni hatar ...nlitumia kuwasiliana na aliens....nkaogpa maana ni balaa....saiv natumia kama silaha ya kumseduce mwanamke hata kama ciko nae karbuu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] aliens?!? [emoji144] [emoji144] [emoji144] halafu kwanini sasa hivi ulitumie vibaya? Ku seduce wanawake?
 
Huu ni uwezo na unafanya kazi hasa katika Ulimwengu wa imani (Wanaomuamini Mungu) na Sayansi tata zinazohusiana na Nafsi au Roho na Saikolojia (Katika uelewa Wangu kama Mwanasaikolojia na Mkristo)

Jicho la Tatu ni namna wengi wanaiita kwa namna hiyo lakini ni uwezo ambao wengine wanauita "Extrasensory perception "

Mfano 1 Mzuri wakati wa Tsunami wanyama walionekana wakikimbia na watu wasielewe ni nini kinachokuja na wale waliofungiwa walikuwa wakipiga kelele ya kuashiria hatari inayokuja Nusu saa kabla ya tukio.

Mfano 2
Kuna wakati unajikuta unatazama nyuma halafu unagongana macho na mtu aliekuwa anakuangalia kwa kuiba nyuma yako au kwa kujificha

Mfano 3
Au kupita mahali kuhisi mwili unasisimuka au kuna jambo baya hapo au mahali unapopita (Sio Woga)

Mfano 4 Unamsikia mtu anasema machale yakanicheza

Ulimwengu wa wanasaikolojia

Mshana Jr umetaja Subconscious lakini si sawa ni "subliminal" pre conscious sehemu hii ndipo inapokaa Jicho hilo likiitwa kama ufahamu wa katikati huu ndio unapokea ujumbe mbalimbali ambao macho ya kawaida si rahisi kutafsiri ambazo zinaitwa "Subliminal Message" ambazo zinapita kwa mifano rahisi kupitia Movies Musics Matangazo na mara nyingi zina content sio nzuri

Na wanasaikolojia wengine wakaenda mbali zaidi wakabuni mbinu za kuwasiliana pasipo kuongea "Telepathy" (Sio science ni spiritism) lakini yote ndio wanaloiita jicho la tatu la utambuzi.

Imani

Katika Imani hasa kwa wakristo kabla ya anguko la Adam na Eva pale Eden

Mwanzo 3:6
"Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala. 7 Wakafumbuliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wa uchi, wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo"

H
aya yaliitwa macho ya kiroho ambayo zamani haikuhitaji kuota au kulala uweze kuona vitu ambavyo si rahisi katika ulimwengu wa kawaida kuviona...lakini maandiko yanaposema wakafunuliwa macho yao tafsiri ni kwamba ndio siku Jicho la tatu lilipopofuka na kufunguka au kubaki haya tu ya uwezo wa mwili.

FAIDA YA KUFUNGUA JICHO HILI CHINI YA UANGALIZI WA MUNGU (Kwa wakristo waaminifu)

1.Unaweza kuona vitu vinavyopita au kuingia katika mwili wako mfano Magonjwa au Mapepo majini

2.Kufahamu hatari iliyopo mbele zako inayopangwa na adui zako

3.Kuelewa Mungu anaposema na Wewe kupitia Malaika au roho wa Mungu

4.Kutofautisha Malaika na Mapepo

5.Kama ni Mzaliwa wa Kwanza unapata Neema ya kutambua vitu vinavyoendelea katika familia ya kwenu.

6.Kubadili, kuona Adhabu zinazopita kutoka kwa Mungu au Miungu katika Maisha yako na jamaa wanakuzunguka

7.Kuona vitu ambavyo si rahisi mtu mwingine kuviona hasa katika Movies Music matangazo na hata Vitabu vyenye madhara mfano Homosexuality ibada ya kimashetani na alama nyingine

ANGALIZO: "nimeeleza kwa ufupi kwa uzoefu wangu kama sababu ni Psychologist naeegemea katika Uwepo Wa Mungu Creation Theories ni hatari sana unapo meditate nje ya Mungu kwa njia ya spiritism au kutaka jifunza hizo mbinu za kuweza ona katika wanaloliita jicho la Tatu hatari ya hata kupoteza maisha"

Nimeupenda mchango wako uko detailed sana, japo kuna baadhi ya sehemu umechanganya kidogo lakini ni kwenye mkondo huo huo... Nazungumzia telepathy na hayo machale hivi viwili vina uchambuzi wake.. Nina post zake pia
Hapa kwenye mada hii ilikuwa ni kuhusu katika hali ya kuwa usingizini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom