we ni poyoyoo kabisaaa...hopless maandaziMilango mitano ya fahamu hupata ganzi baada ya mtu kulala kabisa. Mtu akilala fofofo mwili huachia homoni inayofanya milango hiyo ya fahamu kufa ganzi yaani haifanyi kazi kwa asilimia 100.
Ukiona mtu amelala alafu baada ya wewe kumuangalia usoni akaamka ujue hakulala kwa Asilimia Mia Bali alifumba macho. Pia mwili wake haukuachia homoni ya kuupa mwili ganzi kwa Asilimia 100.
Huo ni Uzushi kabisa.
Sawa. Endelea kuamini uwongowe ni poyoyoo kabisaaa...hopless maandazi
mkuu ulivojibu kiupole...ebu jtahdi kujua mambo mengi....mshana hawez yote kuyaweka hapa..mengne practise mwenyewe utajioneaSawa. Endelea kuamini uwongo
sure mkuu...Msamehe bure JF ni makutano ya watu wa kila kaliba
Ah ah ha ah Father Maneno Hayo Maneno Hayo[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] kulala kuna tafsiri pana, hata walio kaburini wamelala, na kuna watembeao lakini wamelala.... Kulala kuna tafsiri pana [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nani kasema nipo chuo?Sijui chuo mambo yamebana make kaadimika
naskia jose uko the amazon college unapga mambo ya mapishi.pole kwa kubanwa na cozwork mkuuNani kasema nipo chuo?
my friend.....don't try it at home..utang'atwa hapohapo uliposhikaRejea kwa Dk Shika ukishika kitovu nyoka akufanyi chochote ataishia kugaragara chini tuu,ukikutana na nyoka mtoto wa kiume shika kengere zako mbwa hata awe mkali vipi ata ishia kukuangalia tuu .je mshana jr kuna ukweli juu ya haya mambo?