Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

Hakuna ukweli wowote. Fix tu.
Jambo kama hili simple sana kuprove. Sijawahi kuangalia mtu usoni akiwa kalala akaamka, wengine hadi nawagusa kabisa bado wamelala.
Kama kawaida conspiracy theorists watajaa hapa na kushangilia kitu kipya bila kushughulisha bongo zao hata kidogo. Story hii haina basis yoyote ile, tungo tu
Sio kila jicho lina nuru na nguvu ya kupeleka vibrations za brain intuition kwenye jicho la tatu.. Kuna macho mfu sawa tu na ngozi mfu ambayo haina hisia ama ulimi mfu ambao hauna ladha... Macho yako yamezimwa nuru, hayana uwezo ninaozungumzia hapa na ndio maana huwezi ona effect yoyote, kimsingi una macho mfu .. BTW hiki ni kitu cha kiasili na si cha kutengeneza... Wale wanaokuwa trained, huendelezwa tu
 
Sio kila jicho lina nuru na nguvu ya kupeleka vibrations za brain intuition kwenye jicho la tatu.. Kuna macho mfu sawa tu na ngozi mfu ambayo haina hisia ama ulimi mfu ambao hauna ladha... Macho yako yamezimwa nuru, hayana uwezo ninaozungumzia hapa na ndio maana huwezi ona effect yoyote.. BTW hiki ni kitu cha kiasili na si cha kutengeneza... Wale wanaokuwa trained, huendelezwa tu

Hahaha jicho la tatu, pure nonsense. Mkuu endelea kudanganya wengine, mimi na wewe tutakubaliana kwenye mambo mengine ila sio haya ya mauzauza, haya endelea kukamata wajinga tu, ila sote tunajua ni vitu ambavyo havipo na huna uwezo wowote ule kuprove, utakuja na explanation kutetea kila kitu ambacho hakikubaliani na statement zako ila ukweli uko palepale, u can't prove anything u say, na wewe personally u have never experienced anything supernatural, ni hadithi tu, hata mimi huu uongo niliusambaza sana miaka ya nyuma nikawa napiga $150+ kila siku kwenye adsense maana wajinga wengi wanapenda kuusoma, ila ilifika sehemu nikaona ni ujinga. Unasoma kwenye internet unaleta hapa, thats the truth.
 
Aisee kumbe unaandamwa na karma yako? Hukujisikia vibaya kufanya kitu kibaya kama hicho? Kuwaibia watu kwa fabricated story za mtandaoni! Too bad indeed
Kwangu mimi nj tofauti naandika ninachofahamu nilichojifunza na ambacho nina uhakika nacho... Na kama nilivyosema nimeandika kwa muktadha wa Dr Shika, sasa kama wewe uliwapiga watu usidhani kila mmoja anaweza kufanya hivyo... Maisha hayana njia moja kuwa tupite wote
Siandiki kupata chochote hapa, silipwi bali natumia bundle langu muda wangu na akili yangu kwa mapenzi yangu binafsi... Hata kwa manabii kuna wa uongo na wa kweli vilevile kwa waganga wa kienyeji n the like
Mwisho kabisa sitegemei kila mmoja akubaliane nami kwakuwa hatufanani lakini usitake kunifanya mimi kuwa wewe
 
Ni sayansi gani hii? Ni uchawi!? Ni mazingaombwe ama ni jambo la kufikirika tu lisilo na ukweli wowote?

Niliahidi kuleta mada hii, baada ya Dr. Shika kuchagiza kwenye simulizi yake ya kutoroka watesi wake kwamba hakumwangalia yule mtesi mlinzi aliyebaki naye machoni la sivyo jamaa angeamka!

Tujadili kipengele kwa kipengele.

A. Kwenye mada zilizopita za jicho la tatu, majinamizi na jicho la rohoni tuliona jinsi jicho la tatu lilivyo na nguvu pale macho yaonekanayo yakiwa yamefumba, yamelala.. Kumbuka jicho la tatu liko kwenye paji la uso.. Tunapozungumzia mawasiliano ya kiroho kiunganishi ni jicho hilo la tatu kwamba kuna muunganiko usioonekana kati ya jicho la tatu na jicho la tatu lingine...
Kama nilivyosema kwenye mada ya majinamizi na ndoto mbaya hatushauriwi kulala chali kwakuwa juu yetu zinapita roho nyingi na za kila aina, ambazo connection yake ni jicho hilo la tatu

B. Wachawi na wanga hutumia sana jicho la tatu kufanya mawasiliano ya kiroho na ndio maana wanapotaka kuingia ndani ya nyumba kwanza kuingia kinyume nyume kwa rivasi na wakiwa uchi... Hapa ni kuepusha uwezekano wowote wa wewe kuna na direct connection ya jicho la tatu na yeye... Akishafanikiwa kuingia ndani akakukuta umelala chali hapo hataweza kuwanga tena bali yataanza mapambano mengine ya kutaka akugeuze au kukupindua ili afanye yake... Lakini kwakuwa tayari ile connection ishakuwa established basi subconscious mind inakuwa alert na ndio mwanzo wa kukabana..
Jiulize kwanini wanaoingiliwa na popobawa hawana kipingamizi chochote, hujikuta tayari washachafuliwa..

C. Muingiliano mwingine wa jicho la tatu ni ndege kunguru mwewe, huyu ni ndege mwerevu na mwepesi sana huwezi kumpiga akiwa mbali, hivyo wajuzi huenda kinyume nyume mpaka kumkaribia kabisa ndio hugeuka na kumpelekea moto... Ukiweza kurudi rivasi kwa kunyooka, unaweza kumkaribia kunguru mpaka umbali wa mita tano.. Unaweza kufanya majaribio

D. Mwili wetu huu una mashine tatu moja ni conscious mind na nyingine ni subconscious mind na ya tatu ni unconscious mind
-conscious mind- ni hii hali tuliyo nayo ya kuweza kufanya kila kitu kwa utashi na bila utashi, kuandika kuongea kuvaa nguo nk nk, ni katika hali hii subconscious mind (jicho la tatu) nayo hufanya kazi.. Hii hufanya kazi ya ulinzi kuzunguka mwili wote na ndio maana huwa tunahisi kuna mtu anatunyemelea, kuna mtu yuko nyuma yetu ama kuna hatari inatukaribia.. Lakini vilevile hufanya kazi ya machale... Jicho la tatu huona zaidi ya kuona (seeing beyond) huwa tunapewa tahadhari na nafsi zetu, huwa tunasita kufanya jambo . hii ni kazi ya subconscious mind... Halafu kuna hali ile ya kuzirai ama kupoteza fahamu... Hii ndio unconscious mind... Macho yote mawili yamezima, jicho la tatu nalo linakuwa kwenye dormance state.. Lipo lakini utendaji hupungua uwezo mpaka kufikia chini ya asilimia 50 ili kulinda uhai kidogo uliobakia. Ni sawa na kukipunguzia mizigo chombo baharini kinachokaribia kuzama ili kisizame

Sasa tuhitimishe kwa suala la Dr Shika, aliachwa na mlinzi lakini akalala kutokana na uchovu pombe na madawa.. Lakini kwakuwa tayari ana ufahamu (inbuilt intuition) wa kumlinda Dr, hivyo hata alale vipi lile jukumu kiroho hubaki kwenye subconscious mind/jicho la tatu na ikitokea ukamwangalia usoni una establishe connection kati yako na yeye na kumfanya ashtuke na kuamka
ef5089328ced34d6ad19285ea79b58d6.gif

Mojawapo ya mafunzo ya walinzi ni hili.. Na subconscious mbili zinapokutana moja ndio hu trigger nguvu ya kuamsha nyingine.. Hivyo haishauriwi kabisa kukutanisha macho Kwenye situation kama hizi

Naomba radhi kwa kuchanganya lugha
Sawa mkuu. Tuelezee na ile ya kushika korodani ili mbwa wasibweke.
 
Sawa ndugu na hongera kwa kutimiza ahadi ulihaidi utaileta mada hii nakweli umeileta, sasa kuna nyingine alisema wakati anawakimbia mbwa alishawahi kusikia mama mjamzito akishika kitovu nyoka hakimbii au kwa maana nyingine hawezi kuleta madhara na yy akaamua kushika kengele zake na mbwa hakubweka, salsa swali langu je kuna mahusiano gani kati ya kushika kitovu cha mama mjamzito na nyoka akaishia kutokimbia au kutokukudhuru na kunahusiano gani kushika kengele na mbwa akashindwa kubweka, ukisaidia kufafanua na hili nitashukuru sana
 
Chief vipi unautaalamu Wa ufunguzi Wa jicho La tatu? Madhara na faida zake ni zipi na ukishafungua unaweza ukachizika msaada plz
 
Nipeni muda kwenye hili

Ngoja kuna mada yake nitakutag
 
Mida ya watakatifu
Mida ya ukamilifu, akili iko fresh kabisa
Mida ya maji safi yaliyotakaswa
Mida ya ibada
Mida ya nyota njema (huonekana alfajiri)
Muda wa vizazi na vifo
Muda wa morning glory
86c3be6d5811498eedd0c63825e56c88.jpg
Inasemekana mnyama mwenye hisia duniani ni paka ,sasa mbona kama sura ya simba ,chui ,tiger na predators wengine inaonekana kama imekasirika?na imejawa na chuki kabla hajaua au akikaribia kushika prey?
 
Wao wako sawa ila ni mtazamo wa kibinadamu huwaona hivyo na kujenga taswira za namma hiyo
 
Rejea kwa Dk Shika ukishika kitovu nyoka akufanyi chochote ataishia kugaragara chini tuu,ukikutana na nyoka mtoto wa kiume shika kengere zako mbwa hata awe mkali vipi ata ishia kukuangalia tuu .je mshana jr kuna ukweli juu ya haya mambo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom