Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,304
- 2,152
Huo unatosha fedha zingine zije kuongeza nguvu kwenye afya na siyo michezo tuuu.Ila ule wa pale Arusha wangeuongezea capacity hata ufike watu Elfu hamsini
Huo unatosha fedha zingine zije kuongeza nguvu kwenye afya na siyo michezo tuuu.Ila ule wa pale Arusha wangeuongezea capacity hata ufike watu Elfu hamsini
Hata hapo Sabasaba paliwekwa Sabasaba na haohao unaowadharau.Ase nyie watu mna mawazo ya kizamani why kukarabati uwanja wa chama cha siasa kwa Fedha za umma.
Location ya kirumba ni mbovu sana kuna eneo tamu la sabasaba Karibu na mbao pale eneo la TBC pawekwe kiwanja good location kabisa ila kwa akili zenu.
Tatzo kichwa chako sio cha michezo unaforce tu. Sisi wanamichezo tunahitaji StadiumHivi unahisi wananchi shida yao ni uwanja au vitu vya msingi kama masoko ya bidhaa zao ndani na nje ya nchi, ruzuku katika pembejeo za kilimo.Na siyo Arena. Wewe najuwa unataka maeneo ya kupigia picha. Ukitaka kupiga Pic za kutosha nenda dar piga weeee alafu rud kijijini tuendelee kupambana na maisha.
Ok lakini stadium ni lazmaHata hapo Sabasaba paliwekwa Sabasaba na haohao unaowadharau.
Basi acha kelele Ita hao wanamichezo wenzako hapo kijiweni jengeni Arena kubwaaaa, uwanja wa mpira mkubwa kuliko wa dar na hotel ya nyota tano hapo mtakuwa mmeonyesha uwanamichezo wenu kwa vitendo vinginevyo tulia.Tatzo kichwa chako sio cha michezo unaforce tu. Sisi wanamichezo tunahitaji Stadium
Hapana najua uwanja ukijengwa ata wewe mkulima utakuja kuangalia mechi acha ubinafsi.Basi acha kelele Ita hao wanamichezo wenzako hapo kijiweni jengeni Arena kubwaaaa, uwanja wa mpira mkubwa kuliko wa dar na hotel ya nyota tano hapo mtakuwa mmeonyesha uwanamichezo wenu kwa vitendo vinginevyo tulia.
Ambacho leo kimeboost Tanzania kujulikana ni football ila watu atutaki kuwekeza uko bado mawazo ya ujima yapo kichwani.Basi acha kelele Ita hao wanamichezo wenzako hapo kijiweni jengeni Arena kubwaaaa, uwanja wa mpira mkubwa kuliko wa dar na hotel ya nyota tano hapo mtakuwa mmeonyesha uwanamichezo wenu kwa vitendo vinginevyo tulia.
We ndiyo mwenye ujima. Haya na WACHINA waseme nini? Ungekua na hoja kiwanda au elimu/ujuzi wa kujitegemea kwa vijana ungeonekana wa maana na si kulilia Arena.Ambacho leo kimeboost Tanzania kujulikana ni football ila watu atutaki kuwekeza uko bado mawazo ya ujima yapo kichwani.
Thread 'Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?'We ndiyo mwenye ujima. Haya na WACHINA waseme nini? Ungekua na hoja kiwanda au elimu/ujuzi wa kujitegemea kwa vijana ungeonekana wa maana na si kulilia Arena.
Pia mbeya mpo vzuri sana nawapa salute ila tunahitaji wote coz kodi tunatoa sisiNitasikitika sana siku Mwanza ikitangulia kupata uwanja wa kisasa kabla ya Mbeya. Ccm ni kama wameufumbia macho huu mkoa bora kabisa kisoka nje ya Dar
hapo ndo kaambiwa aache utoto lkn naona kaung'ang'ania.Kwahiyo Mwanza Hakuna Timu
Hakika mkuuHuo unatosha fedha zingine zije kuongeza nguvu kwenye afya na siyo michezo tuuu.
Maji tu shiida na ziwa liko hapo sembuse uwanjaView attachment 3289939View attachment 3289940
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.
3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni central ya mikoa ya kanda ya ziwa
4.Mwanza pekee ndio jiji lenye stendi mbili za mabasi pia uwepo wa usafiri wa aina zote ndege,bus,Maji na kadhalika.
5.Mwanza ina vibe sana mtupe uwanja msitubainie ata sisi tunataka kiwanja cha mpira hii nchi isijengwe upande mmoja tu.
Sisi atuhitaji gofu la CCM kirumba tu nahitaj kiwanja cha umma.
Capacity ya uwanja watu elfu 70.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na iitwe fish stadium 🏟
Na Hawa Wazalendo wa purple nation wasemaje? 👇👇View attachment 3289939View attachment 3289940
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.
3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni central ya mikoa ya kanda ya ziwa
4.Mwanza pekee ndio jiji lenye stendi mbili za mabasi pia uwepo wa usafiri wa aina zote ndege,bus,Maji na kadhalika.
5.Mwanza ina vibe sana mtupe uwanja msitubainie ata sisi tunataka kiwanja cha mpira hii nchi isijengwe upande mmoja tu.
Sisi atuhitaji gofu la CCM kirumba tu nahitaj kiwanja cha umma.
Capacity ya uwanja watu elfu 70.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na iitwe fish stadium 🏟
Au siyo? 😁😁 Pre GE2025 - Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwaoKama uligundua JIWE aliipenda sana Mwanza alianzisha Miradi mingi sana hata SGR bila kufosi isingefika Mwanza...Kwa muhula huu wa Kizimkazi Mwanza itapata tabu sanaa yaani hasa uwaambie swala la Uwanja hawawezi kuelewa zaidi watatoa 100M uwanja upigwe rangi ya bendera za TZ alafu ndio imeisha iyo