Sasa unataka twende kivingine, na kama unajuwa historia yangu humu huwa sipungukiwi na mambo ya aina hiyo.Problem with wabongo bwana, swali linajibiwa na swali si jibu. Hii analogy i dont know imetokea wapi haha
Labda nikurahisishie, mwanza ika kipi unique that mikoa mingine haina that wa deserve kujengewa uwanja wa kisasa?
Ninapo amua kujibu swali kwa kukufafanulia, ili uweze kutumia akili yako, halafu ukabaki unataka utegemee nikulishe kila kitu, hapo tunakuwa kurasa mbili tofauti kabisa.
Sasa, naomba usiniweke kwenye huo 'ubongo' unao uzungumzia wewe; nilisha toka huko siku nyingi sana.
Ni wapi nili[posema Mwanza ni 'unigue'; kwa maana yoyote ya neno hilo uijuayo wewe.
Dar ni kipi kinaifanya kuwa 'unique', ambacho hakipo kwingine - Yanga na Simba? Mbona hata hawa huwa wanapeleka mechui zao Mwanza nyakati fulani na hujasikia wakizipeleka Mtwara au Katavi? Arusha ina u'unique' gani; au hata Zanzibar ambao haupo Mwanza?
I want you to use your head critically, and stop acting like a mere vacuum cleaner.