Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

Kwa dhati kabisa mwanza wanastahili kiwanja kizuri cha kisasa, CCM KIRUMBA, kupitia CCM, Ninaamini ccm wanazo fedha nyingi, wau modernize uwanja huo na kuu up grade ufike viwango vya Kimataifa, Chini ya ndugu zetu wachina, ili ubakie kuwa mali na kitega uchumi cha CCM.
INSHAALAH BAADA YA UCHAGUZI HILI LITAFANYIKA, AIDHA PENGINE MAPEMA ZAIDI ILI WANA MWANZA WAPATE FURAHA, KAZI KWENU CHAMA LANGU.
 
Karibu sana.
Mradi tu uwe tayari kusimama na waTanzania wenzako kupigania maslahi ya taifa hili na siyo ya hao akina Samia na genge lake.
Kama umo ndani ya CCM; anzia huko kushirikiana na wenzio kukataa kutumiwa chama chenu kilichojipatia heshima kubwa duniani huko siku za nyuma, kuwa chombo cha kuvuruga amani ya nchi hii kwa sababu tu ya ufafi wa baadhi ya viongozi wenu ndani ya chama.

Ukikubali hilo, hata Wiki-endi ijayo tutaonana hapo Diamond.
 
Mimi pia ni Kiongozi wa CCM na ninaipenda kwa dhati.
 
Back
Top Bottom