Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

Niwaambieni ndugu zangu tusiwe na mawazo mgando serikali yetu ina ela mno na sisi ndio watoa hizo Fedha akuna mtu wa serikali anae miliki au kutafta Fedha bali ni wananchi.

Kujenga kiwanja ambacho kitafuta na kuibua fursa nyingine sio vibaya
 
Waende VETA 😁
Ndiyo veta watu wachape kazi. We unakuta kijana mzima ana lilia hotel ya nyota tano sijuwi Arena. Unahisi ni kwaajili ya nini hayo ni matoke ya uvivu. Watu wavue na kulima hadi kusafirisha nje ya nchi.
 
Ndiyo maana nasema hamasisha vijana hapo kijijini kwenu angalau waende veta kuliko kulilia na kulalama kwa vitu ambayo hata visipo kuwepo haitakuwa na athari kwa wananchi. Bado tunategemea kilimo na Uvuvi kuendesha maisha yetu ya kila siku.
Kilimo na Uvuvi ni sekta ambazo si kila mtu aweza Kwenda na hiyo si micro enonomics.

Na hata hivyo sekta hiyo bado yahitaji Mapinduzi makubwa khasa vifaa bora vya uvuzi na miundombinu.
 
Yes, wawahimiza Vijana waende VETA lakini VETA ipo tangu ilipoanzishwa ila mtu akifuzu anakuwa hana uhakika wa ajira.

Lakini Waziri wa michezo akiketi na washauri wake wakaja na proposal ya kubadili sekta ya michezo iendeshwe kiufanisi zaidi na kwa faida ya taifa na Uchumi litakuwa jambo jema.

Narudia tena, hivi viwanja vipewe sekta binafsi inojitambua Katika masuala la macro economics ili kunyanyua masuala kama ajira ambayo ni tatizo kubwa kwa sasa ingawa lapigwa pazia.
Sa me nashangaa mtu anasema waachiwe MCC while toka kijengwe walichobadili ni kupaka rangi tu guys hii nchi hatari 😂😁🔥
 
Ndiyo veta watu wachape kazi. We unakuta kijana mzima ana lilia hotel ya nyota tano sijuwi Arena. Unahisi ni kwaajili ya nini hayo ni matoke ya uvivu. Watu wavue na kulima hadi kusafirisha nje ya nchi.
Ndugu sio kila mtu atakua mkulima na mvuvi acha mawazo mgando.
Kwani wewe hapo ni mvuvi ???😂😁
 
Unaacha kusema Mbeya ambayo inaweza pandisha timu tatu ligi kuu kwa msimu mmoja unaisemea pamba jiji.
Mbeya vijana wa lime ardhi Ina rutuba haya mambo ya sijuwi timu timu hayatusaidii. Badala vijana walilie masoko ya bidhaa zao wanalilia timu.
 
Viongozi wa jiji Bado naona wamejifungia kwenye mawazo ya kuwa na lile gofu la pale kirumba.
Sijaona mpango wowote ata proposal ya kujenga stadium au arena.

Niwape mfano nini ambacho saiv kinaipaisha Rwanda.
Wamejenga arena nzuri wanahost show Za Music africa so tukikaa kwa kujisahau tutakumbuka shuka tayari kumekucha.
 
Ndiyo nalima. Kulilia kiwanja cha mpira ni matokeo ya uvivu. Serikali Ina mipango na watalaamu wa kutosha na kujuwa mahitaji ya kila eneo na kwa wakati gani.
So Mwanza tujengewe kiwanja cha kilimo sio.
Mbona una mawazo mgando hivyo ila tuelweshane tu kujenga kiwanja mwanza sio fikra za uvivu bali tukifanya hivyo niwaambieni tutafungua fursa nyinge ambazo azikuwepo.

Ila tukiendelea na mawazo ya kijima sawa.

Ila mwanza tunahitaji Stadium
 
Viongozi wa jiji Bado naona wamejifungia kwenye mawazo ya kuwa na lile gofu la pale kirumba.
Sijaona mpango wowote ata proposal ya kujenga stadium au arena.

Niwape mfano nini ambacho saiv kinaipaisha Rwanda.
Wamejenga arena nzuri wanahost show Za Music africa so tukikaa kwa kujisahau tutakumbuka shuka tayari kumekucha.
Usiite uwanja gofu. Tatizo lako ni kuwa unawaza vitu vinavyo onekana kwa macho alafu havina faida vya moja kwa moja kwa wananchi wa kawaida. Hiyo Arena ukiumwa ukipelekwa huko utapona au kupewa dawa.?
 
View attachment 3289939View attachment 3289940
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.

1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi

2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.

3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni central ya mikoa ya kanda ya ziwa

4.Mwanza pekee ndio jiji lenye stendi mbili za mabasi pia uwepo wa usafiri wa aina zote ndege,bus,Maji na kadhalika.

5.Mwanza ina vibe sana mtupe uwanja msitubainie ata sisi tunataka kiwanja cha mpira hii nchi isijengwe upande mmoja tu.
Sisi atuhitaji gofu la CCM kirumba tu nahitaj kiwanja cha umma.

Capacity ya uwanja watu elfu 70.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na iitwe fish stadium 🏟
Wageni wakija Kwa mfano Afcon watakaa wapi zaidi ya sijui Tilapia hotel?
Sheria za CAF international iwe katibu na mji yenu ipo chato.
 
Usiite uwanja gofu. Tatizo lako ni kuwa unawaza vitu vinavyo onekana kwa macho alafu havina faida vya moja kwa moja kwa wananchi wa kawaida. Hiyo Arena ukiumwa ukipelekwa huko utapona au kupewa dawa.?
Hospital zipo hapa tunaongelea kiwanja cha mpira au Olympic stadium sijui umeelewa
 
Wageni wakija Kwa mfano Afcon watakaa wapi zaidi ya sijui Tilapia hotel?
Sheria za CAF international iwe katibu na mji yenu ipo chato.
Ndio nafaham ila sio kwaajili ya AFCON. Maana tumechelewa.
Na kinachofanya ligi yetu iwe ya nne Africa ni mawiwanja Ambayo ni substandard baadhi ya watu wanao ni sawa tu.

Ila ligi yetu ilitakiwa iwe nafasi ya pili
 
Hospital zipo hapa tunaongelea kiwanja cha mpira au Olympic stadium sijui umeelewa
Hivi unahisi wananchi shida yao ni uwanja au vitu vya msingi kama masoko ya bidhaa zao ndani na nje ya nchi, ruzuku katika pembejeo za kilimo.Na siyo Arena. Wewe najuwa unataka maeneo ya kupigia picha. Ukitaka kupiga Pic za kutosha nenda dar piga weeee alafu rud kijijini tuendelee kupambana na maisha.
 
Back
Top Bottom