Mbona haukuandika kwamba "na Mimi nikamwambia Fulani na Fulani ni wanafiki sana"? Mbona hicho haukukiandika kwenye Uzi wako.?
Daby wewe na mbea na hiyo ndiyo fact.
Kwanza kumbuka Mimi nilikuja jf nikakuta tayari wewe ni MSHUTUMIWA na wala siyo kwa sababu yangu ulishutumiwa.
Aje asije haihusiani na wewe kutoa pm za siri na kwenda kuzipachika kwenye Uzi wako kutafuta huruma za wana jf..
Haya hizo huruma ulizipata?
Na Leo unaandika hapa utoko tuu.
" eti mvujisha siri na mvujishiwa wote matahira"
Ulikuwa na namna ya kujitetea bila kuanza kusema hata Fulani alisema hivi.. Pambana na hali yako ndiyo uanaume huo.
Huu Uzi una kuhusu wewe 100 percent.
Dada Gen asante..
Sent using
Jamii Forums mobile app