usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,092
kuna nsichana kalala na daby kaja kumuanika jamaa hadindii na ana kibamia
[Color= yellow]Triple A[/color]
kuna nsichana kalala na daby kaja kumuanika jamaa hadindii na ana kibamia
Naanzaje kukuudhi laaziziOle wako uniudhi...
Sirogeki!!![]()
usije rogwa wewe tu
Yaani hapo ni pm za awali tuAisee hiyo baada ya kufahamiana au ndo kabla yaaa
Pm zina mambo sana wifi.Uwiii picha za uchi tena, hivi mtu unaanzaje kutuma picha ya uchi jamani hata kama ni ukahaba sio wa dunia hii
Ha haaa labda ndo tongozo unaonyeshwa dude ili ulainikeYaani hapo ni pm za awali tu
Saaana.duuhhh...kazi kweli kweli
wadada tunatake risky haswaa...
acha tu.Ha haaa labda ndo tongozo unaonyeshwa dude ili ulainike
Mnavyo nifurahisha mna ambiana wenyewe hukoo mkija huku yenu kuchora tu.Saaana.
Ila basi tu
Ila ndo wanao fanikiwa hao kwa swaga za ku copyacha tu.
Watu wako radhi kupigia picha kwenye majumba ya watu kisa tulainike
hahaha mkuu hapana member wapya kibao sana wanaingiaa humuUsha chelewa wewe ha ha haaa
Hapa kama mtaani tu
miaka ya nyuma huko jf ilikuwa ni full heshima..siki hiz wanaojielwqa hawachangii kama zamana maana mada za kitoto na uongo ni kipenda sifa..zaman ilikiwa loa sana ...si kwamba haya mambo ya kutongozana haya kuwepo yalokuqwpo ila staha na heshima vilitawala..Tatizo wanashindwa kutafautisha kati ya forum na sosho netwek ka ma fb na insta,JamiiFORUM sio sawa na whatsapp group,mbona enzi za kuanzia 2006-2012 haya mazoea mazoea ya ajabu hayakuwepo,sie tunaojimwayamwaya majukwaani bila kuleta mazoea na kujuanajuana mnatuona mafala eeh?.ngoja mpaka siku nudes za mtu ziwekwe humu ndo mtapata akili
We binti umeongea boooonge moja la pointi,kama vipi fika dukani uchukue Samsung S8 plus nakuja kulipia sasa hivi.Aigooo..chatting zisikudanganye ndugu, Kuna watu wengine hawafanani kabisa na chatting zao. Unaweza ona mtu anacomment kichungaji ukasema mtu si ndio huyu? Hatari sana sheikh
Ni id tu ndo zinabadilika watu ni walewale tuhahaha mkuu hapana member wapya kibao sana wanaingiaa humu
Mkuu kwa hiyo ulikuepo tangu hiyo 2006?Tatizo wanashindwa kutafautisha kati ya forum na sosho netwek ka ma fb na insta,JamiiFORUM sio sawa na whatsapp group,mbona enzi za kuanzia 2006-2012 haya mazoea mazoea ya ajabu hayakuwepo,sie tunaojimwayamwaya majukwaani bila kuleta mazoea na kujuanajuana mnatuona mafala eeh?.ngoja mpaka siku nudes za mtu ziwekwe humu ndo mtapata akili