Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

mimi sijawahi kukutana na watu wa aina hii
ila wapo humuhumu na tunasikia malalamiko kila siku ya watu na wengine wanapeana makavu live
Kwanza shost nikwambie humu wanaume wazuri wa jf wa kuhesabu ,,,wengine hovyo hovyo sura ngumu kama wasira,wengine ukiwaona vibaka si vibaka hahahaha,vingine vitoto
Muwe makini shoga zangu
 
Ndo hivyo wifii hata wakikulana pia
Bahati mbaya siku moja box za pm zifunguke jukwaani kwa kila member...aiseee nadhani watu siku hiyo wapo watakaokunywa sumu kabisa.
Maana kuna watu ukiwaona wala huwadhanii.
Yaani dahhh!!!!
Mtu anakuja Pm anakutumia picha ya uchi live...afu aliyetumiwa nae anaisambaza.
Wifi....acha tu pm iheshimiwe
 
Back
Top Bottom