Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Sema tu hunaigundua jf ina watu wazima wasiojitambua..
Inatakiwa uwe makin sana.
Siku ukiona umepatana na mtu humu na akaanza kukupa stor za wengne aliokutana nao humu humu huyo mkimbie maana ipo siku hata ww atakusimulia kwingne...
yalishakukuta nn
 
Back
Top Bottom