Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
- Thread starter
- #721
mimi kwa kweli naheshimu sana PMIla Mimi mkuu nimeshindwa kuelewa kitu Fulani hivi.
Baada ya kuufatilia huu Uzi vizuri.
Mbona watu wanaichukia tabia ya Ku expose mambo ya pm Ila still wana expose wanayokutana nayo huko pm.
Aiseeee.....! Au kuna ya kuwa exposed na yasioyotakiwa kuwa exposed.???
Kama mtu anaweza kuexpose kusema anasalimiwa deile
Mwingine anaexpose Fulani ana pua nyeupe
Mbona hapa naona ngoma droo.
Anyway we can't solve problem by the same level of thinking.
sent from motorola bapa and nokia jeneza