Sukar Kg 1 ni tsh 3000Hivi Zanzibar sukari bei gani? Mafuta ya kula je??
Kunanamna tunachezewa cheku na wajanja...
Sukar Kg 1 ni tsh 3000Hivi Zanzibar sukari bei gani? Mafuta ya kula je??
Kunanamna tunachezewa cheku na wajanja...
TZS 3000 kwa 1kgsukari bei gani?
Naomba kujua huyo ni muislam au aliejitolea sadaka hapo Jakaya kikwete Faiza.Hazikungoja hisani, mtu kajitolea sadaka yake.
Mbona hata sisi pale Jakaya Kikwete Heart Institte yote ile imejengwa kwa saka ya mtu na mpaka leo analeta madaktari kutoka nje na analipia gharama nyingi tu pale. Kuliko hizo za dialysis tu Zanzibar.
Na mama mwingine wa Kimarekani alitujengea wadi yote ya magonjwa ya meno na Kinywa pale Muhimbili na analipia gharama zote.
Wewe lini ulienda kujitolea japo panadol za wagonjwa Hospitali?
Zanzibar Uislam mwingi sana,na uislam siku zote unajari maslahi ya watu mbele bila kuangalia faida,uislam ni dini Njema sana na wengi WASIO waislam wanatambua Hilo,sema basi tuh ubishi.Huduma yoyote ya afya unayolipia ww ukiwa bara kwa upande wa Zanzibar ni bure kabisa.
Slogan Yao ni Mitungiii,Blantiii Mikasiiii....Mnaharibu figo zenu makusudi kwa kunywa mapombe makali mkidai mnakula bata.
Sasa unalialia kulipa Tsh 180,000 kwa ajili ya malipo ya kusafisha figo, nyambaaaf
Ni kwel upo sahih kbsZanzibar Uislam mwingi sana,na uislam siku zote unajari maslahi ya watu mbele bila kuangalia faida,uislam ni dini Njema sana na wengi WASIO waislam wanatambua Hilo,sema basi tuh ubishi.
Ndo maana nikauliza; hizi ni nchi mbili tofauti?Tanzania kila kitu kigumu, Zanzibar vitu bei cheap sana,
Kila baada ya sala ya Ijumaa sadaka yangu nagawa kondomu kuwaepusha wazinzi maambukizi ya ukimwi.Wewe lini ulienda kujitolea japo panadol za wagonjwa Hospitali?
Kwa akili zako hizo, China na India wangekuwa taabani.Zanzibar hawafik 1m Tz tuko 60m
Tumien akili jaman
Nchi ya Zanzibar matibabu yote kabisa ni bure kabisa , siyo hilo tu .Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
=======
Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
Utetezi wa kibwege sana !Zanzibar hawafik 1m Tz tuko 60m
Tumien akili jaman
Atakuwa zaidi ya bwege huyo.Utetezi wa kibwege sana !
Ndio ni tofauti, huoni kama Zanzibar wana Serikali Yao
Tanganyika Ni kama imevaa jina la mtandaoni Tanzania
Bila kujua idadi halisi au tayari alishaframe idadi ?Ndiyo.
Hayo atajuwa yeye, mimi nijuavyo hiyo ni sadaka.Bila kujua idadi halisi au tayari alishaframe idadi ?
Mwinyi unamkumbuka?Kila baada ya sala ya Ijumaa sadaka yangu nagawa kondomu kuwaepusha wazinzi maambukizi ya ukimwi.
Namkumbuka Hussein Mwinyi, ndiye rais anayeineemesha Zanzibar, hulijui hilo?Mwinyi unamkumbuka?
Tanganyika ipo Mpanda Katavi 🙄Tanganyika ndiyo wapi?