Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,528
- 12,221
Huduma za afya kwa watanganyika ni bure hapa Zanzibar, haijalishi una kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi au lah.Hivi uweze kupata hadhi ya kuwa Mzanzibar mkazi na uwe na haki zote za Kizanzibari ikiwemo na kumiliki ardhi na kupata huduma Bure za afya kwa ruhusa ya tajiri wa Zanzibar ni hatua zipi za kufuata? Ukizingatia Nina passport ya JMT
Wengi wanasafiri kuja Zanzibar kwa matibabu ya bure na wanapewa.