Hazikungoja hisani, mtu kajitolea sadaka yake.

Mbona hata sisi pale Jakaya Kikwete Heart Institte yote ile imejengwa kwa saka ya mtu na mpaka leo analeta madaktari kutoka nje na analipia gharama nyingi tu pale. Kuliko hizo za dialysis tu Zanzibar.

Na mama mwingine wa Kimarekani alitujengea wadi yote ya magonjwa ya meno na Kinywa pale Muhimbili na analipia gharama zote.


Wewe lini ulienda kujitolea japo panadol za wagonjwa Hospitali?
Naomba kujua huyo ni muislam au aliejitolea sadaka hapo Jakaya kikwete Faiza.
 
Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?

=======

Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.

Nchi ya Zanzibar matibabu yote kabisa ni bure kabisa , siyo hilo tu .
 
Back
Top Bottom