Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Matatizo ya Tanzania hayasababishwi na Heche yanasababishwa na ccm,Samiah,Katiba inayokumbatia muungano feki na madaraka makubwa ya rais.
 
Mkuu Mkandara

Kwanza, naungana na JokaKuu kuhusu watoa tuhuma.
Mfano, J.Selasini aliyeshirikiana na Msajili kuhujumu NCCR ndiye mtoa tuhuma.
Ukimsikliza anataka maridhiano kwa maana kwamba kuna kikwazo, HECHE

Yupo Lembrus Mchome aliyekodiwa apartment na Msajili kuhujumu CHADEMA, huyu naye unamsikiliza

Yupo Katibu wa UVCCM naye katoa tuhuma kama CHADEMA, naye unamsikiliza

Wapo wa mikoani, wote wanatoa tuhuma hakuna anayetueleza ushahidi upo wapi. Kwamba kuna pesa zimeliwa, hawaelezi wapi na kiasi gani

G. Msigwa wa CCM msemaji wa serikali anapokerwa na tuhuma za CHADEMA kuliko uhuni wa kujiteua uliofanyika pale Dodoma. Naye umamsikiliza kama mtu makini.

Msigwa anakerwa na tone tone lakini hakerwi na Trilioni moja ya Bajeti ya kachori, maandazi na vitumbua! Hakerwi na Wanawake kujifungua juu ya matenga. Huyu unamsikiliza kwa dhati kabisa!!!

Pili, Katibu mkuu kaeleza wazi taratibu za fedha . Kwamba, yeye ndiye anayehusika. Kwanini watu wanamtuhumu HECHE badala ya kuanza na mwenye dhamana?

Tatu, kuna taratibu za Chama chao kuhusu madai. Je wamezifikisha huko? CHADEMA ni taasisi siyo genge la watu. CCM walimwita Kolimba wakamalizana naye. CCM husema kuna taratibu za chama hata Wabunge wao kama caucus hawawezi kuisema serikali yao. Leo unaona utaratibu wa kuzungumza hovyo ni mzuri tu kwasababu ni CHADEMA

Mkuu utaruhusu uholela katika chama hiyo siyo taasisi. Kesho litaibuka kundi linalompinga Mnyika, utachunguza. Keshokutwa Sugu, utachunguza, siku nyingine Lema utachunguza. Yaani huoni kabisa kwamba kuna uhuni hapo !

Kinachotakiwa hapa si pesa za tone tone, ni kumuondoa HECHE aliyekuwa na LISSU katika mazungumzo yaliyofeli.

CCM na Serikali wanataka mtu laini kama MBOWE watakayeweza kupiga naye picha na kukaa vikao miaka 2 bila matokeo. CCM wanawaita akina HECHE Hardliners wanataka waondoke wapachike watu wao kama MBOWE.
Tuachane na hao watoa hoja mnao wasema . Mimi naomba kutoka kwako jibu moja tu.

Taarifa zunasema Lema, Sugu na Boniface ndio walihoji matumizi ya fedha hizo katika Kikao cha Kamati kuu.

Je, Taarifa hii ni ya kweli au Uongo?
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Wanachama wa CHAUMA SIYO WANACHADEMA.Endeleeniu kutumika kama toilet paper na Mwaipopo pamoja na Samia na mtoto wake Abdul.
 
Pure crap or Pure thing... What goes around comes around.

I'm eager to uncover the truth behind the rumors surrounding Heche. If many members believed Mbowe was corrupt during the elections without any evidence, why are they now demanding proof? Why so much Chawaism against these elegations?
Subiria muda wa kampeni ufike kura zitamwondoa tu kama alivyoondolewa Mbowe.Mnajifanya watakatifu kume ni malucifer tu,mioyo yenu imejaa chuki na mnatamani kunyonya damu za wateule.
 
Nayapokea Matusi yote nilotukanwa kwa sababu najua kitu kimoja."MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO"
- Ahsanteni
 
Kama unaleta porojo unategemea nini???Jina zuri lakini mawazo hafifu sana hayo.Hivi Heche ni Rais,ni Waziri,ni Katibu wa Wizara yoyote???? Yeye ni Mwenyekiti msaidizi wa CHADEMA NA SIYO TANZANIA.Mlimfunga TUNDU LISSU mkitegemea hakuna anayeweza kukiendesha chama.Sasa aibu zimewakamata imebaki tu roho mbaya inafanya kazi.
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Sio kila tuhuma ni tuhuma..

1. Kuna zingine zinazoitwa "tuhuma" actually, sio tuhuma bali umbea uliotengenezwa katika maabara za uongo za CCM Lumumba na kisha wakapasiwa baadhi ya hayawani wa CHAUMA lengo likiwa ni moja tu, "nao wachafuke kama sisi..."

2. Na kwa taarifa yako tu ni kuwa, japokuwa huu ni ujinga na upuuzi tu toka kwa wajinga na wapuuzi fulani, tayari uchunguzi umeshafanyika na kujiridhisha pasipo shaka yoyote kuwa, huu ni umbea uliotengenezwa CCM Lumumba na kupelekwa kwa baadhi ya washirika wao wa CHAUMA kama Yericko Nyerere, Lembrose Mchome na wengine kibao na kuanza kuusambaza.

3. Uliofanyika ni uchunguzi wa ndani. Hata hivyo, tunaweza kufanya uchunguzi wa sura mnayotaka nyie iwapo tuhuma hizo zitaletwa kwa utaratibu unaopaswa ukiambatana na ushahidi wake. Kwa kuwa ni ishu ya fedha, basi ingalau tujue ni pesa ipi, kutoka wapi, ikaenda wapi, benki gani, akaunti ipi na ni kwanini wewe mtoa tuhuma unadhani huo ni ubadhirifu...
 
Bora umemjibu huyo jamaa.Asante sana.
 
Narudia kuuliza tena.
Taarifa inayosema Lema, Sugu na Boniface ndio waloibua hoja ya Heche kutumia vibaya fedha za Chama ni za kweli au Uongo?
- Tuanzie hapa
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Siku Samia na wezi wenzake ndani ya ccm watakapoachia nafasi zao kwa sababu ya tuhuma mbalimbali dhidi yao nchi itakuwa imeset precedent nzuri sana.
Nadhani hata maofisini watu wakituhumiwa watakuwa wanachunguzwa na kuachia ngazi!
 
Narudia kuuliza tena.
Taarifa inayosema Lema, Sugu na Boniface ndio waloibua hoja ya Heche kutumia vibaya fedha za Chama ni za kweli au Uongo?
- Tuanzie hapa
Hiyo ilikuwa gepu ya ccm kuitumia kwa vile Heche na Mnyika walikuwa kwenye msafara tofauti na akina Lema,Sugu na Boni yai
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Jibu ni SIMPLE..

HECHE hana tuhuma zozote kwa mujibu wa wana Chadema ..
Wana chadema wanaona yupo safi..
Achana na hao walio lipwa na Abdul

Mwenye tuhuma ni huyo.mama yenu aliye ua watu October 29..
Yeye katuhumiwa kabisa na jumuiya za kimataifa. Kwa nini asikae pembwni ili achunguzwe ..
 
Majibu murua haya.Asante sana kiongozi.
 
..Nilesh Suchak tajiri wa Kihindi ambaye watoa tuhuma walidai ametoa fedha kwa John Heche amekanusha kufanya hivyo.

..vilevile Nilesh amesema yeye ni mwana Ccm na amemchangia Mama Samia shilingi milioni 500 wakati wa kampeni.

..tatizo lingine ni kwamba wanaotoa tuhuma hizo ni wahuni kama Habib Mchange ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakiipiga vita Chadema.

..mtoa tuhuma mwingine ni Shekhe Mwaipopo ambaye pia ni mhuni mhuni na amekuwa akitumika kuvisakama vyama vya upinzani akishadidia ajenda za udini.

..Shekhe Mwaipopo pia alitumika na serikali na Ccm dhidi ya wananchi wa Kusini wakati ule wa sakata la gesi ya Mtwara.

..Serikali kipindi kile ilipeleka majeshi mikoa ya kusini na kuwashambulia vibaya wananchi.

..Vilevile watoa tuhuma wanaonekana kama ni watu waliopangwa. Wote wanatoka ktk maeneo yao ni kuja Dsm kufanya press conference ktk sehemu moja.

..La mwisho ni baadhi ya watoa tuhuma kudanganya wasifu wao wakati wakitoa madai yao. Wako waliodanganya majina yao. Wako waliodanganya kuhusu nyadhifa zao ndani ya Chadema.

..Nadhani ukizingatia yote hayo hapo juu utaona kwamba hakuna sababu za kuridhisha kuanzisha uchunguzi dhidi ya John Heche.

..Kikubwa tunapaswa kujiuliza ni malengo ya wanaotoa tuhuma. Nani amewatuma na kuwafadhili?
Uzi uuishie hapa.
Ume maliza kila kitu mkuu..

Unge ongezea na Kwa nn Huyo mama Naye tuhumiwa na jumuiya za kimataifa asikae pembeni.
 
hizi tuhuma kiukweli zingechunguzwa, ila sasa watoa tuhuma wanasababisha watu waone ni upuuzi wa kijinga jinga
1. mtoa tuhuma n ccm mfano, shekhe mwaipopo na mchome

2. mtu had anajipachika wadhifa wa mtu wa chadema kuonesha anataka uchunguzi ( yule jamaa wa pwani)

3. watu wa chauma ambao wanafahamika kwa maneno ya uwongo na uzushi ie. nyerere wa kuchovya.

kiukweli watoa tuhuma wanaonekana ni wa kutengenezwa na wapumbavu flani ndo maana wamedharaurika.

kuna sakata la kujinufaisha ma bilioni kama sio matrilioni kupitia kampuni za mafuta, nafikiri hili ndo lingekazaniwa sio hizi milioni za heche na tulituma wenyewe wala ajawahi kusimama na kusema nipeni michango.

kuna kinyumba kilipostiwa eti helalu la heche ukiangalia unacheka tu kuna hekalu pale.
 
HECHE kwa Chadema kwasasa ni mtakatifu!! Heche ata akibaka mungu amwepushe👈 lkn wafuasi wake watasema kasingiziwa %100👈

Demokrasia ktk Africa ni ngumu sana 👈

Chadema ni chama cha Upinzani lkn
tayali Wanachedema wamemfutia Dhambi zote kiongozi wao‼️

dhambi za sasa akiwa
kiongozi wao👈
For sure ukimlinganisha chadema na wale wa upande wa pili-ni mtakatifu as you say.
 
watoa tuhuma wamekuwa na maisha ya anasa baada ya tuhuma ndio tunajiuliza fedha za safari na maradhi anawapa nani
 
As per my conscious mind there is only one 'real' opposition party, the rest kwa sababu na namna miendeno ninavyoitathmini siviamini kama seriously viko kwa ajili ya kupambana kuleta mabadiliko.
Hiyo ni haki yako.
-Hao walalamikaji wametoa facts zozote kuhusu wizi/ubadhilifu wa Heche? Kwanini wasiombe hata msaada kwa kisheria kama lengo si kumchafua na kumuweka kwenye mtego wa kumlegeza alazimike kukubali the so called reconciliation?
Lissu alitoa facts gani kuhusu ulambaji asali wa Mbowe? Mbona mlimuamini! Mimi binafsi sidhani kama kweli lengo ni hilo unalosema. Mimi naona lengo ni kumnyima platform ya kukosoa chama tawala. La reconciliation ni kisingizio tu.
-Ni vizuri kila information inayoweza kumtia Heche hatiani wazisambaze ili hata sisi tunaoamini kwamba ni wazushi na wanatumiwa kuihujumu CHADEMA tuone ili tuwaamini.
Sidhani kama mnaweza kuamini taarifa yeyote itakayoletwa dhidi ya Heche. Aidha, lengo lao kubwa ni kuivuruga Chadema na kuipungizia wapambanaji waliokuwa committed. Kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kwenye hilo. K.m. wamesema kuwa sio tu Heche alishutumiwa kwenye kikao cha Kamati Kuu bali kuwa kiongozi wa shambulio hilo alikuwa Lema. Mpaka sasa sijamsikia Lema akikanusha. Sumu ishamwagwa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom