Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

Hela za kwetu na timemruhusu azile. Wewe kinakuwasha nini? Matako yako!

Tatizo Chadema bado ni chama cha Upinzani lkn wanachama wake tayali mmevaa mavazi ya kiburi!!!

Kwaiyo mnadhani Watanzania wote wana akili kama zako!!

Nyinyi mtabaki wapinzani
miaka yote 🫎🫎👈
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
kwakuwa Heche ni kiongozi mwenye maono makubwa ukilinganisha na waccm Sasa utamchunguza mtu ambaye Hana makosa si ww ndio utakuwa na makosa huyo ni TUNU KWA TAIFA LETU na watoto wako
 
..Nilesh Suchak tajiri wa Kihindi ambaye watoa tuhuma walidai ametoa fedha kwa John Heche amekanusha kufanya hivyo.

..vilevile Nilesh amesema yeye ni mwana Ccm na amemchangia Mama Samia shilingi milioni 500 wakati wa kampeni.

..tatizo lingine ni kwamba wanaotoa tuhuma hizo ni wahuni kama Habib Mchange ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakiipiga vita Chadema.

..mtoa tuhuma mwingine ni Shekhe Mwaipopo ambaye pia ni mhuni mhuni na amekuwa akitumika kuvisakama vyama vya upinzani akishadidia ajenda za udini.

..Shekhe Mwaipopo pia alitumika na serikali na Ccm dhidi ya wananchi wa Kusini wakati ule wa sakata la gesi ya Mtwara.

..Serikali kipindi kile ilipeleka majeshi mikoa ya kusini na kuwashambulia vibaya wananchi.

..Vilevile watoa tuhuma wanaonekana kama ni watu waliopangwa. Wote wanatoka ktk maeneo yao ni kuja Dsm kufanya press conference ktk sehemu moja.

..La mwisho ni baadhi ya watoa tuhuma kudanganya wasifu wao wakati wakitoa madai yao. Wako waliodanganya majina yao. Wako waliodanganya kuhusu nyadhifa zao ndani ya Chadema.

..Nadhani ukizingatia yote hayo hapo juu utaona kwamba hakuna sababu za kuridhisha kuanzisha uchunguzi dhidi ya John Heche.

..Kikubwa tunapaswa kujiuliza ni malengo ya wanaotoa tuhuma. Nani amewatuma na kuwafadhili?
Mjadala umefungwa
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Inaonekana na ww umenasa kwenye propaganda za kichovu za ccm, msemaji wa cdm alitangaza mwenye ushahidi na tuhuma zake apeleke kwenye vikao halali vya chama. Hakuna anayepeleka hizo tuhuma kwenye vikao halali vya chama ili uchunguzi wa tuhuma zake uanze. Unataka cdm wacheze Ngoma ya propaganda outdated?

Mbowe alituhumiwa, je aliwahi kutaka mwenye tuhuma dhidi yake akadhibitishe kwenye vikao halali vya chama? Unajua kwanini hakutaka kuwepo na udhibitishi wa tuhuma zake? Kwa maneno marahisi pembe la ng'ombe halifichiki.
 
Kaanzie kwenye chama chako cha majambazi uwaambie hivi uone kama hawajakutoa roho. maana wamejilimbikizia mali kwa kutumia ofisi zao mpaka kufuru.

Sasa tuseme CCM hakitufai kwa matendo yao👈

Mimi kama Wananchi nataka kuchagua upande mwengine!!

Sasa kabla sijafika office za chama kipya tayali nakuta tuhuma
kama izo👈

Nikija mitandaoni nako wenye kukitetea chama ndio kama
nyinyi👈

Majibu yenu sawa sawa na aya‼️

kiongozi wetu hanatuhumiwa kwa Ubakaji

Majibu yenu wafuasi wake mbona uko CCM mnabaka hadi wanafunzi‼️‼️

Kwaiyo nanyinyi mnafanya makosa kwakuwa tu❗️ wapinzani wenu nawao wanabaka zaidi au
wezi zaidi 👈

sasa Watanzania tubaki na CCM au tubaki na Mpinzani mwenye matendo ya kufanana na CCM!!

Mwisho tunakuja kule kule tunatumia nguvu nyingi kumtoa tuite mkoloni CCM 👈

na kumwingiza mkoloni Chadema Heche nk🤠🤠
 
Ni majibu kama haya ndio huwa tunapewa na CCM miaka yote! Kwenye uongozi wa Wananchi hakuna kitu kibaya kama tuhuma, uongo ukiuachwa utembee hugeuka kuwa Ukweli.
Na trust me, this will cost them big time.. Tupo hapa..
Itawacost kwa kipi wakati tonetone imekaribia kabisa 200m? Usichikijua wafuasi wa cdm wengi wanajitambua na hawakamatiki kwa propaganda za kizamani hivyo. Hai washamba mnaowatumia kutoa tuhuma inaonekana kabisa mnawatumia kipuuzi. Kwa taarifa yako hakuna hata mmoja katika hao aliyewahi kuitisha press kuunga mkono ajenda yoyote ya chama, ila sasa wana hela ya kuitishia press za kuichafua cdm!
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Mchunguze kwanza m.kiti na makamo hapo ukimaliza itakuwa zamu ya wengine!
 
Sasa tuseme CCM hakitufai kwa matendo yao👈

Mimi kama Wananchi nataka kuchagua upande mwengine!!

Sasa kabla sijafika office za chama kipya tayali nakuta tuhuma
kama izo👈

Nikija mitandaoni nako wenye kukitetea chama ndio kama
nyinyi👈

Majibu yenu sawa sawa na aya‼️

kiongozi wetu hanatuhumiwa kwa Ubakaji

Majibu yenu wafuasi wake mbona uko CCM mnabaka hadi wanafunzi‼️‼️

Kwaiyo nanyinyi mnafanya makosa kwakuwa tu❗️ wapinzani wenu nawao wanabaka zaidi au
wezi zaidi 👈

sasa Watanzania tubaki na CCM au tubaki na Mpinzani mwenye matendo ya kufanana na CCM!!

Mwisho tunakuja kule kule tunatumia nguvu nyingi kumtoa tuite mkoloni CCM 👈

na kumwingiza mkoloni Chadema Heche nk🤠🤠
Kwani nani kukuambia ukiondoka ccm lazima uende cdm? Viko vyama vingi na tena vilikubali kushiriki uchaguzi wa kihuni. Hamia hivyo, ukiona havifikii unafiki wako anzisha cha kwako kabisa. Ila cdm haikutaki.
 
Tatizo sio kumpa ‼️
tatizo kupokea na kukaa kinyaa ndio msingi wa malalamiko
Na ni jambo la kutia shaka🫎✍️
Alipokuwa anachukua mshahara wake wa ubunge alikuwa anautangazia umma, ili tujue kila hela aliyokuwa anapata alikuwa anatangaza, ila hiyo ndio kaamua kukaa kimya?
 
Hofu yangu kwasasa yumkin Lissu ndio kamwagiza Heche kutafuta pesa popote ili kukinusuru chama chao mana pesa zilikauka kabisa chamani 👈

Ukweli pesa za kuendesha chama walikwama ndiomana John Mnyika tukamuona akidai pesa zao kwa msajili👈

lkn kule wamekosa👈

Plan B ya Lissu pengine ndio iyo Heche hakatafute pesa popote zije kuwafaa chamani ❗️

na kwakuwa chama kina madeni mengi kwasasa kutoka kwa wazabuni👈

Yumkin Lissu kamwagiza Heche pesa ziende kwenye account yake Binafsi ili zisifike kwenye mzunguko wa rasmi wa chama!👈

Ndiomana Heche kawa na kiburi kikubwa kiasi kuwafukuza wanachama wao 👈

Mipango hii Lissu yupo nyuma
yake❗️
kimya kimya hataki watu wajue kamwagiza Heche yeye👈

ikiwa ndio kunauwezekano John Mnyika akaja kufukuzwa baada ya Lissu kutoka ndani na wengine .👈

Baba yangu Hashimu kuna ugeni mkubwa kwako vijana wafagie kabisa❗️ Chauma kinaenda kuneemeka tena nasasa zaidi✍️
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Kamwambie babako achunguze DNA yako ,mtoto wa kahaba umezaliwa kwenye danguro kwa mamako kudinywa na wanywa gongo
 
Mimi nahoji, hoja ya kina Lema, Sugu na Boniface kama kuna Ukweli, sio hao waloichukua na kuanza kuipigia debe. Source ipo wazi lakini inakwepwa! Why?

Mbowe alituhumiwa na Tundu Lissu na Heche, wakaaminika pasipo Uchunguzi wala ushahidi. Mbowe akapigwa chini..

Heche ametuhumiwa na Lema, Sugu na Boniface kula hela za Tone tone! Kwa nini haiaminiki, inasingiziwa CCM ilihali watoa tuhuma hizi ni Lema, Sugu na Boniface. Hawahojiwi wala kuulizwa Ushahidi! Am I clear?
Sijui unanielewa!
Hawa uliowataja ni team Mbowe, hata hivyo utaratibu wa chama uko. wazi, una tuhuma peleka ushahidi kwenye vikao halali vya chama, na sio kwenye press conference.
 
Majibu ya takataka uliyo-post ni rahisi sana.
-Wanachama, supporters na sympathizers wa CHADEMA si wajinga, wanafahamu fika sources za hizo allegations na watu kama wewe matamanio yenu ni kuwatoa kwenye reli waanze mambo hayo ya kichunguzana huku nanyi mkizidi kukoleza moto but you've failed big time and you shamelessly disgraced yourselves.
-Mbowe alifanya kazi kubwa sana kuijenga CHADEMA lakini 'alilegea' au 'alilegezwa' katikati ya mapambano na makamu wake alikiri hadharani kuwa alikuwa ndiyo link ya uongozi uliokuwepo na Abdul(mtoto wa Samia) hivyo ni dhahiri walikuwa compromised sasa hapo kulinganisha hizo phases mbili za uongozi obviously wewe ni miongoni mwa walewale mnaopambana kuitoa CHADEMA kwenye reli.
-Don't forget that CHADEMA ni chama kikubwa and when it comes to diehard supporters there is no party you can compare with so hao diehards hawawezi kukaa kimya wanapona dhahiri kuwa uongozi umekuwa compromised, they ain't stupid.
-The funniest part of this whole saga ni kwamba wanaolilia uongozi uwekwe kando ili uchunguzi ufanyike ni CCM pamoja na members wa CHADEMA ambao mienendo yao inatiliwa shaka ndani ya chama so by reading between the lines you can figure out where 'this whole shit' comes from.
NB: Stop exposing your hypocrisy and let them be kwani chama ni chao na malengo, mikakati, direction na goals wamejipangia wenyewe.
Umemaliza kazi. ASANTE sana
 
Lugha hii inatumika sana na baadhi ya mashabiki wa CCM dhidi ya tuhuma kutoka kwa mashabiki wa CCM.

Lugha nyingine ambayo haistahili. Hakuna mashabiki na viongozi waliokuwa perfect. Na kama chama kinashindwa kutembea na kutafuna chewing gum kwa pamoja basi kina matatizo makubwa.

Uongo mwingine. Lissu alishindwa kutoa ushahidi wa kumuunganisha Mbowe na Abdul. Ushahidi pekee uliokuwepo ni clip iliyomuonyesha Lissu akimshukuru Abdul na kumuahidi kuwa atakuwa rafiki yake daima kama atafanikisha yeye kupata stahili zake. Alipobanwa kuhusu ushahidi alisema kuwa aliyemthibitishia ni marehemu bila kumtaja jina. Aidha, kwa vile ilisemekana kuwa tuhuma hizo kuhusu Abdul ziliongelewa katika Kamati Kuu ilikuwa ni jambo rahisi kuweka dondoo za vikao hivyo zilizokuwa redacted hadharani ili kuthibitisha kuwa Mbowe alihusika na Abdul. Ukimya wao unathibitisha kuwa ni sumu waliyomwaga ili kumharibia Mbowe. Ni strategy ya siasa za Marekani na sasa imewarudia.

Hao unaowaita ni die hard supporters ni wakina nani? Wengi waliokuwa na guts za kusimamia kweli wamenyamazishwa au wamejiondokea. Sasa hivi waongeaji wakubwa ni waliokuja juzi juzi tu na hawakupitia katika tanuri la moto walilopitia hao wanao simangwa. Chadema ya sasa imekuwa kama cult ambayo Dear Leaders wake hawakosei. Hawana tofauti na wapinzani wao.

Ni kitu gani cha kushangaza kuwa CCM haki kitakii mema Chadema? Shida ni pale Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinapoona kila anaekikosoa kuwa ni msaliti anayetumiwa na mpinzani wake Mkuu. Tabia kama hiyo ya ubabe ni sawa kabisa na ya chama tawala. Ndio maana ninaamini uongozi huu wa Chadema ukishika dola hautatofautiana na jinsi CCM inavyoendesha nchi.

Yale yale. Hypocrites ni nyie ambao mnalia sasa baada ya mbinu zile zile mlizozitumia dhidi ya uongozi wenu uliopita zinapotumika dhidi yenu. Obfuscation haitawafikisha mbali. Hii ilikuwa ni nafasi ya kujitofautisha na vyama vingine kama mlivyofanya katika uchaguzi Mkuu. Ni nafasi ya kumsafisha Heche mbele ya kadamnasi. Tamko la mtu ambae anakiri kuwa ni rafiki yake sio uthibitisho. Uchunguzi ufanyike ili ukweli ujulikane na chama kiweke guard rails ambazo zitazuia tuhuma kama hizi kuibuka tena. Tuhuma kuwa suala hili lilijadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu nazo zijibiwe. Matusi sio jawabu.

Amandla...
Kwanza nikuweke sawa kuwa mimi si mwana CHADEMA na sijawahi kuwa affiliated na chama chochote cha siasa, natamani tu nchi iwe na fact-based human rights na civil liberties.
Nchi inahitaji a very sound and strong opposition party(parties) ili pawe na checks and balances si kama ilivyo sasa ambapo watu wanatekwa, wanalawitiwa na askari wanaoishi kwa kodi za wananchi, wanauawa, media houses zinatishiwa matokea wamekuwa chawa wa Samia na mafisadi wenzake hivyo chochote kinachofanyika kudhoofisha opposition ili CCM iendelee kuiburuza nchi na kuburuza raia itakavyo bila ya kuwa accountable.
Hata CHADEMA wakiwa madarakani we'll be squeezing them ili wasiitoe nchi nje ya reli, yeyote ambaye hayuko affiliated na vyama vya siasa internal conflict za vyama si muhimu kama ilivyo ubadhilifu na uhujumu wa kodi za wananchi na rasilimali za taifa. Kuna watu kwa makusudi kabisa wanataka kulinganisha internal conflicts za vyama na uhujumu wa rasilimali na fedha za umma kwa lengo la kutoa watu kwenye focus ya yaliyo muhimu kwa taifa.
Heche na fedha zao za tonetone au za kutoka kwingine kokote kule hazigusi kodi zetu, haziathiri mfuko wa hazina wala haziathiri maliasili za taifa letu.
Wengi wa waliovalia njuga ya michango ya CHADEMA huwa hawalalamiki jinsi mali za nchi zinavyokuwa squandered na mafisadi.
CCM receives billions kutoka kwa wafanyabiashara but we never give a damn on how they spend their money japo tunajua huwa hao wafanyabiashara wanatafuta fevers za misamaha ya kodi na tenders za serikali lakini linapokuja suala la matumizi ya kodi na wizi/uhujumu/ubadhilifu wa rasilimali na mali za umma huwa lazima tupinge kwa namna yoyote ile.
 
Haijawahi tokea CCM kuwatuhumu viongozi wa Upinzani katika Ufisadi, hii ndio mara ya kwanza kusikia.
Haikutokea kwa Mtei, Mbowe wala Tundu Lissu iweje ghafla CCM wampakaze Heche?

Isitoshe nasikia walotoa shutuma hizi ni Lema, Sugu na Boniface ndani ya kikao cha Kamati kuu. Je, hawa nao ni waongo? na ajabu sijasikia mtu hata mmoja akiwataja hawa kama machawa walopewa hela na CCM isipokuwa wanadakwa walosikia kutoka kwao, inatia shaka sana hata kama mtafumbia macho, something isn't right!
Kama walitoa tuhuma ndani ya kamati kuu ya chama nadhani majibu yalitoka huko huko kwenye kikao. Hapa jf ww unataka hatua gani zichukuliwe?
 
Ni majibu kama haya ndio huwa tunapewa na CCM miaka yote! Kwenye uongozi wa Wananchi hakuna kitu kibaya kama tuhuma, uongo ukiuachwa utembee hugeuka kuwa Ukweli.
Na trust me, this will cost them big time.. Tupo hapa..
Kwaiyo ata yale mauwaji alofanya mama samia na genge lake unajua kbsa ipo sku itakuja kuwa cost ila mmekaa kmya hamuoji, akuna uchunguzi wala wahusika hawaja chukuliwa hatua
 
Back
Top Bottom