Tatizo ndani ya CCM hakuna mwenye akili ya kutosha kuendesha smear campaign inayoweza kuuzika kama ukweli. The party is full of super idiots!Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
Haijawahi tokea CCM kuwatuhumu viongozi wa Upinzani katika Ufisadi, hii ndio mara ya kwanza kusikia.Mbona swala dogo sana. Kama uliweza tafiti mpaka hatua hiyo. Utakuwa umegundua kuwa kuna wananchi pia wanataka Heche apate kitu asikae kinyonge, sidhani kama kuna tatizo na hiko.
Hata wewe ukiomba unapewa.
Swai je? Kwa akili zako timilifu kama kungekuwa na sintofahamu yoyote juu ya miamala, kwa joto hili unadhani CCM na vyombo vyake vya dola vingemuacha? Maana miamala iko wazi.
Kijana punguza jazba, mimi sio level yako kabisa..Wewe Nshomile bure kabisa. Unaona kabisa kuwa these nonsensical noises are ccm generated halafu unazipa uzito! Kuigawa Chadema. Ushindwe na ulegee!
I believe that you ain't this👆🏾 dumb, whoever or whatever the reasons behind your cheap plans are, be assured that a lot of sensible people can smell a rat from miles away.Pure crap or Pure thing... What goes around comes around.
I'm eager to uncover the truth behind the rumors surrounding Heche. If many members believed Mbowe was corrupt during the elections without any evidence, why are they now demanding proof? Why so much Chawaism against these elegations?
Haijawahi tokea CCM kuwatuhumu viongozi wa Upinzani katika Ufisadi, hii ndio mara ya kwanza kusikia.
Haikutokea kwa Mtei, Mbowe wala Tundu Lissu iweje ghafla CCM wampakaze Heche?
Isitoshe nasikia walotoa shutuma hizi ni Lema, Sugu na Boniface ndani ya kikao cha Kamati kuu. Je, hawa nao ni waongo? na ajabu sijasikia mtu hata mmoja akiwataja hawa kama machawa walopewa hela na CCM isipokuwa wanadakwa walosikia kutoka kwao, inatia shaka sana hata kama mtafumbia macho, something isn't right!
Natudia kusema hivi, hata CCM wanawaona nyie kama hivi ulivyoandikaMajibu ya takataka uliyo-post ni rahisi sana.
-Wanachama, supporters na sympathizers wa CHADEMA si wajinga, wanafahamu fika sources za hizo allegations na watu kama wewe matamanio yenu ni kuwatoa kwenye reli waanze mambo hayo ya kichunguzana huku nanyi mkizidi kukoleza moto but you've failed big time and you shamelessly disgraced yourselves.
-Mbowe alifanya kazi kubwa sana kuijenga CHADEMA lakini 'alilegea' au 'alilegezwa' katikati ya mapambano na makamu wake alikiri hadharani kuwa alikuwa ndiyo link ya uongozi uliokuwepo na Abdul(mtoto wa Samia) hivyo ni dhahiri walikuwa compromised sasa hapo kulinganisha hizo phases mbili za uongozi obviously wewe ni miongoni mwa walewale mnaopambana kuitoa CHADEMA kwenye reli.
-Don't forget that CHADEMA ni chama kikubwa and when it comes to diehard supporters there is no party you can compare with so hao diehards hawawezi kukaa kimya wanapona dhahiri kuwa uongozi umekuwa compromised, they ain't stupid.
-The funniest part of this whole saga ni kwamba wanaolilia uongozi uwekwe kando ili uchunguzi ufanyike ni CCM pamoja na members wa CHADEMA ambao mienendo yao inatiliwa shaka ndani ya chama so by reading between the lines you can figure out where 'this whole shit' comes from.
NB: Stop exposing your hypocrisy and let them be kwani chama ni chao na malengo, mikakati, direction na goals wamejipangia wenyewe.
Kwa hiyo ina maana kulikuwa na watu wanamchangia au sio?
Sijakuelewa kabisa! Hevhe akamatwe kwa kosa gani? Gari la Lissu kupewa na CCM mbona clip zipo! Tatizo lako nini haswa?1. Naomba nitajie hao viongozi wa CCM waliotoa hizo tuhuma? Na sidhani kama ni mara ya kwanza mtu kusingixiwa ubadhilifu wa pesa.
Kwa kumbukumbu zangu hata michango ya gari la Lissu ilileta maneno.
2. Kumbe na wewe umesikia kama mimi. Nilijua umethibitisha.
3. Nani kadakwa? Kwa chombo kipi ? CHADEMA ina polisi?.
I conclude miama iko kieletroniki, ushahidi upo (tukiachana na hearsay tulizosikia) kipi kinawawia ugumu vyombo vya dola kumkamata Heche? Amejificha?
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Mimi sina Ushauri wowote zaidi ya kuhoji kilochotea ili wananchi wajue Ukweli ni upi? Nahoji matumizi mabaya ya Serikali hii na nitahoji matumizi mabaya ya chama chochote cha Upinzani...inaweza kuwa ni kweli alichangiwa.
..na inawezekana si kweli alichangiwa.
..unashauri nini kifanyike iwapo mwananchi amemchangia kiongozi badala ya taasisi / chama.
..au unawashauri nini wananchi wenye imani na mahaba kwa viongozi kuliko taasisi au chama?
We Hipoppotumus kweli. Nonsense. Kwa kweli watanzania bado ni wajinga sana. Unaacha kujadili bilions of dollars zinazoibiwa kila siku unatuletea uzi wa umbeya tuujadili. Harafu na wewe unajiweka kwenye kundi la watu wenye akili. Huna tofauti na mama yako HipoppotumusNajaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Kwanza mimi si CHADEMA, natetea kila ninachoamini kiko kwa maslahi ya taifa. Human rights na civil liberties ndiyo priority.Natudia kusema hivi, hata CCM wanawaona nyie kama hivi ulivyoandika
Nyie ni watu mnaotaka kuwatoa wao kwenye reli. Wanawaona mna chuki na wivu na rais Samia kwa sababu ni Mwanamke, Mzanzibar na Muislaam. Na wanaamini kabisa hamna hoja za msingi isipokuwa UBAGUZI.
Kwangu mimi sikubaliani na mtazamo wao, ningependa kuona Tuhuma zote zinazomwelekea rais Samia na Waziri Mkuu zipatiwe majibu sahihi kuwahakikisha wananchi hakuna Ufisadi wowote unaofanywa na Serikali hii.
Wee fikiria hata vifo vya October 29, vinapatiwa.majibu mepesi kabisa!
Am shocked! Tunaenda wapi ikiwa tutaendelea kufukia haya kwa visingizio vya upande wa pili?
Ok, let's take it slow - 2 questionsKwanza mimi si CHADEMA, natetea kila ninachoamini kiko kwa maslahi ya taifa. Human rights na civil liberties ndiyo priority.
Kitu cha kuwa makini nacho ni kwa kuwa CCM ndiyo chanzo cha hili sakata, sasa fikiria watu wanavalia njuga michango lakini wanakwepa kuzungumzia ubadhilifu wa kodi na rasilimali za nchi hapo ni kitu gani kutafanya usitilie shaka agenda zao.
Tunahijai opposition party yenye nguvu ili kuweka mizania na kuepuka kuburuzwa na chama kimoja huku viongozi wakitumia kodi za wananchi kuwatesa, kuwatisha, kuwanyanyasa na kuwadhulumu haki zao.
Mimi sina Ushauri wowote zaidi ya kuhoji kilochotea ili wananchi wajue Ukweli ni upi? Nahoji matumizi mabaya ya Serikali hii na nitahoji matumizi mabaya ya chama chochote cha Upinzani.
Infact, naandaa mada mbili kali sana kuhusiana na Viongozi wa nchi hii kutokuwa na Maono (Vision) isipokuwa kuendeleza yale waloyakuta wasijue tunaelekea kubaya zaidi.