RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,726
- 2,604
Focus tu na mambo mengne wananchi wanajua izo tuhuma niza kutengenezwa na wala akuna mwananchi anaye amini katika izo tuhuma sana sana ndo mnawapa molali ya kuchangia chama zaidi na zaidi
Na wewe umesombwa na ujinga wa tuhuma kuhusu Hence? Ili uchunguzi ufanyike huwa malalamiko yanawasilishwa wapi? Au unaweza kuonesha ushahidi wa hizo tuhuma?Kwa hiyo ina maana kulikuwa na watu wanamchangia au sio?
Vipi tuhuma za EPA, ESCROW, RICHMOND, MERENETA, DOWANS, na ripoti kadhaa za C.A.G zimewahi kuchunguzwa?Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Wewe wasema. It makes no difference.Kwanza nikuweke sawa kuwa mimi si mwana CHADEMA na sijawahi kuwa affiliated na chama chochote cha siasa, natamani tu nchi iwe na fact-based human rights na civil liberties.
Hakuna anayekataa haja ya kuwa na that kind of opposition. Ndio maana nashangaa kwa nini mnatumia muda mwingi kuwachafua wapinzani wengine ambao hawana mtazamo kama wenu?Nchi inahitaji a very sound and strong opposition party(parties) ili pawe na checks and balances si kama ilivyo sasa ambapo watu wanatekwa, wanalawitiwa na askari wanaoishi kwa kodi za wananchi, wanauawa, media houses zinatishiwa matokea wamekuwa chawa wa Samia na mafisadi wenzake hivyo chochote kinachofanyika kudhoofisha opposition ili CCM iendelee kuiburuza nchi na kuburuza raia itakavyo bila ya kuwa accountable.
Hayo ni maneno tu. Ingekuwa kweli, msingesita kuwakosoa wanapokosea. Huko kufumbia macho so-called internal conflicts ndio zimetufikisha hapa tulipo. Mimi nilitegemea chama kinacho jinasibu kuwa ni cha demokrasia kinge chukua tuhuma zozote za ubadhirifu ndani ya chama chao the seriousness they deserve. Hasa ukizangatia aliyekuwa Makamu Mwenyekiti alivyosisitiza kuwa tuhuma za ubadhirifu zilizotolewa na Msigwa zisikilizwe. Msigwa huyo ambae alikimbilia kwa Abdul baada ya kutoa tuhuma hizo. Hii selective outrage ndio inatufanya wengine tusiwaamini.Hata CHADEMA wakiwa madarakani we'll be squeezing them ili wasiitoe nchi nje ya reli, yeyote ambaye hayuko affiliated na vyama vya siasa internal conflict za vyama si muhimu kama ilivyo ubadhilifu na uhujumu wa kodi za wananchi na rasilimali za taifa. Kuna watu kwa makusudi kabisa wanataka kulinganisha internal conflicts za vyama na uhujumu wa rasilimali na fedha za umma kwa lengo la kutoa watu kwenye focus ya yaliyo muhimu kwa taifa.
Kama kweli Heche aliiba michango ya aina yeyote hastahili kuwa kiongozi wa chama ambacho kina uwezekano wa kushika dola siku moja. Mtu mwenye tabia hiyo hatasita kuchota kwenye mfuko wa hazina kwa matumizi yake. Ni muhimu sana ashughulikiwe kabla hajapata nafasi hiyo. Kama Heche anasingiziwa basi baada ya uchunguzi atakuwa na moral authority zaidi ya kukemea yanayo endelea.Heche na fedha zao za tonetone au za kutoka kwingine kokote kule hazigusi kodi zetu, haziathiri mfuko wa hazina wala haziathiri maliasili za taifa letu.
Hii argument holds no water. Kwa sababu watu hawalalamiki kuhusu kitu kimoja hakiwanyimi haki ya kulalamikia mengine. Inawezekana kabisa kuwa viongozi na wanachama wanaolalamika wanatumiwa na CCM ambacho sio kitu cha ajabu. Kutokana na uwezekano huu, sisi wengine tulitegemea kuwa Chadema ingetumia mwanya huo kuonyesha kuwa wao ni tofauti na hawatavumilia harufu yeyote ya ufisadi na ubadhirifu popote itakapotokea. Utetezi kuwa aliyempa pesa Heche ni mfanyabiashara mwenzake kunatia wasiwasi kuwa nia yake, isije ikawa kawa anajipanga kumtumia pale atakaposhika madaraka. Hii nchi haihitaji viongozi ambao wako beholden kwa wafanyabiashara.Wengi wa waliovalia njuga ya michango ya CHADEMA huwa hawalalamiki jinsi mali za nchi zinavyokuwa squandered na mafisadi.
CCM receives billions kutoka kwa wafanyabiashara but we never give a damn on how they spend their money japo tunajua huwa hao wafanyabiashara wanatafuta fevers za misamaha ya kodi na tenders za serikali lakini linapokuja suala la matumizi ya kodi na wizi/uhujumu/ubadhilifu wa rasilimali na mali za umma huwa lazima tupinge kwa namna yoyote ile.
tupo busy kwanza kuhakikisha waliouwa watanganyika MO29 wanachunguzwa na ICC kwanzaNajaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Kati ya watu watano niliokuwa nikiwaheshimu humu! Kupita kiasi tangu 2012...na wewe ulikuwa miongoni mwao!Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Kwan heche ni muweka hazina wa chama?Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Watanzania wakipiga sauti kwa Yale majizi pale lumumba nchini itatawalika kweli???Pure crap or Pure thing... What goes around comes around.
I'm eager to uncover the truth behind the rumors surrounding Heche. If many members believed Mbowe was corrupt during the elections without any evidence, why are they now demanding proof? Why so much Chawaism against these elegations?
Unataka kusemaje?,kwamba huu uongo umeshasambaa kiasi cha majority kuamini kwamba Heche amekula hela za tonetone?.Ni majibu kama haya ndio huwa tunapewa na CCM miaka yote! Kwenye uongozi wa Wananchi hakuna kitu kibaya kama tuhuma, uongo ukiuachwa utembee hugeuka kuwa Ukweli.
Na trust me, this will cost them big time.. Tupo hapa..
Huyu aseme Kwanza yeye amelipwa sh ngapi kueneza hiki anachokieneza humu!Watanzania wakipiga sauti kwa Yale majizi pale lumumba nchini itatawalika kweli???
Kwann tusianze na taarifa za CAG kwanza kama kweli mnauchukia wizi?
Ungekuwa na akili kwanza ungehoji heche kapewa pesa na nani, lini, wapi na kwa sababu Gani?
Mlalamikajo amelallamika?
Kapewa kama makamu au kama heche?
Vinginevyo wewe ni kikaragosi. Tu usoye jielewa? Unalijua nyumba ya Samia kule mbweni? Ulishawahi kuhoji pesa alitoa wapi wakati ni kiongozi wa umma?bona Nyerere hakuwa na nyumba kama Ile? Je naye achunguzwe???
Yupo wapi balozi Humphrey polepole?
Unajadili mambo ya kipuuzi ya heche wakati nchi inaporwa?
Unaakili kweli wewe
Kwa maoni yako unadhani ni hatua gani zichukuliwe?Wewe wasema. It makes no difference.
Hakuna anayekataa haja ya kuwa na that kind of opposition. Ndio maana nashangaa kwa nini mnatumia muda mwingi kuwachafua wapinzani wengine ambao hawana mtazamo kama wenu?
Hayo ni maneno tu. Ingekuwa kweli, msingesita kuwakosoa wanapokosea. Huko kufumbia macho so-called internal conflicts ndio zimetufikisha hapa tulipo. Mimi nilitegemea chama kinacho jinasibu kuwa ni cha demokrasia kinge chukua tuhuma zozote za ubadhirifu ndani ya chama chao the seriousness they deserve. Hasa ukizangatia aliyekuwa Makamu Mwenyekiti alivyosisitiza kuwa tuhuma za ubadhirifu zilizotolewa na Msigwa zisikilizwe. Msigwa huyo ambae alikimbilia kwa Abdul baada ya kutoa tuhuma hizo. Hii selective outrage ndio inatufanya wengine tusiwaamini.
Kama kweli Heche aliiba michango ya aina yeyote hastahili kuwa kiongozi wa chama ambacho kina uwezekano wa kushika dola siku moja. Mtu mwenye tabia hiyo hatasita kuchota kwenye mfuko wa hazina kwa matumizi yake. Ni muhimu sana ashughulikiwe kabla hajapata nafasi hiyo. Kama Heche anasingiziwa basi baada ya uchunguzi atakuwa na moral authority zaidi ya kukemea yanayo endelea.
Hii argument holds no water. Kwa sababu watu hawalalamiki kuhusu kitu kimoja hakiwanyimi haki ya kulalamikia mengine. Inawezekana kabisa kuwa viongozi na wanachama wanaolalamika wanatumiwa na CCM ambacho sio kitu cha ajabu. Kutokana na uwezekano huu, sisi wengine tulitegemea kuwa Chadema ingetumia mwanya huo kuonyesha kuwa wao ni tofauti na hawatavumilia harufu yeyote ya ufisadi na ubadhirifu popote itakapotokea. Utetezi kuwa aliyempa pesa Heche ni mfanyabiashara mwenzake kunatia wasiwasi kuwa nia yake, isije ikawa kawa anajipanga kumtumia pale atakaposhika madaraka. Hii nchi haihitaji viongozi ambao wako beholden kwa wafanyabiashara.
Amandla...
Baada ya dereva wa Heche kuzikwa , kesho yake huyu kibaka wa Mbutu Yericko Nyerere aliibuka na ticket feki ya KLM waliyotengeneza kwamba Heche katorokea Nairobi kuelekea Brussels , Ubelgiji wakidai alihamasisha maandaamano huku yeye kakimbia hii unaikumbuka?Nakubaliana na wewe kabisa kuhusu shaka juu ya watoa tuhuma. Ila kuna clip moja Heche alitoka akasema anaomba Wanachama wasimchangie, michango yote kuanzia sasa iende Chadema.
Alikuwa na maana gani?
As per my conscious mind there is only one 'real' opposition party, the rest kwa sababu na namna miendeno ninavyoitathmini siviamini kama seriously viko kwa ajili ya kupambana kuleta mabadiliko.Wewe wasema. It makes no difference.
Hakuna anayekataa haja ya kuwa na that kind of opposition. Ndio maana nashangaa kwa nini mnatumia muda mwingi kuwachafua wapinzani wengine ambao hawana mtazamo kama wenu?
Hayo ni maneno tu. Ingekuwa kweli, msingesita kuwakosoa wanapokosea. Huko kufumbia macho so-called internal conflicts ndio zimetufikisha hapa tulipo. Mimi nilitegemea chama kinacho jinasibu kuwa ni cha demokrasia kinge chukua tuhuma zozote za ubadhirifu ndani ya chama chao the seriousness they deserve. Hasa ukizangatia aliyekuwa Makamu Mwenyekiti alivyosisitiza kuwa tuhuma za ubadhirifu zilizotolewa na Msigwa zisikilizwe. Msigwa huyo ambae alikimbilia kwa Abdul baada ya kutoa tuhuma hizo. Hii selective outrage ndio inatufanya wengine tusiwaamini.
Kama kweli Heche aliiba michango ya aina yeyote hastahili kuwa kiongozi wa chama ambacho kina uwezekano wa kushika dola siku moja. Mtu mwenye tabia hiyo hatasita kuchota kwenye mfuko wa hazina kwa matumizi yake. Ni muhimu sana ashughulikiwe kabla hajapata nafasi hiyo. Kama Heche anasingiziwa basi baada ya uchunguzi atakuwa na moral authority zaidi ya kukemea yanayo endelea.
Hii argument holds no water. Kwa sababu watu hawalalamiki kuhusu kitu kimoja hakiwanyimi haki ya kulalamikia mengine. Inawezekana kabisa kuwa viongozi na wanachama wanaolalamika wanatumiwa na CCM ambacho sio kitu cha ajabu. Kutokana na uwezekano huu, sisi wengine tulitegemea kuwa Chadema ingetumia mwanya huo kuonyesha kuwa wao ni tofauti na hawatavumilia harufu yeyote ya ufisadi na ubadhirifu popote itakapotokea. Utetezi kuwa aliyempa pesa Heche ni mfanyabiashara mwenzake kunatia wasiwasi kuwa nia yake, isije ikawa kawa anajipanga kumtumia pale atakaposhika madaraka. Hii nchi haihitaji viongozi ambao wako beholden kwa wafanyabiashara.
Amandla...
Alikuwa na maana hiyo hiyo uliyoiandika hapa na kuielewa wewe..!Nakubaliana na wewe kabisa kuhusu shaka juu ya watoa tuhuma. Ila kuna clip moja Heche alitoka akasema anaomba Wanachama wasimchangie, michango yote kuanzia sasa iende Chadema.
Alikuwa na maana gani?