Ccm mmejaa mipasho by the way ifike 2030 bila katiba mpya ndio mtaelewa vizuri labda mkimbie nchi tofauti na hapo jiandaeni kisaikolojia.Seriously? Unataka sasa recording ya Lema, Sugu na Boni ndio uamini? Au unataka minutes za kikao husika? Wewe hauoni kukaa kimya kwao kunatia wasiwasi? Na sio wao tu, hakuna hata kiongozi mmoja aliyekuwepo anayekanusha tukio hilo.
Shutuma sio pesa zilizokuwa kwenye akaunti za Chadema zimeliwa. Shutuma ni kuwa Heche amekuwa hafikishi pesa anazopewa kwa ajili ya Chadema. Shutuma ni kuwa anaziingiza kwenye akaunti yake binafsi. Katika hali hiyo Mnyika anahusika vipi? Au KM anasimamis pia akaunti binafsi ya Heche? Ndio maana ili kujibu tuhuma hizi ametokeza mfanyabiashara mmoja na kusema kuwa ana uhusiano wa kibiashara na Heche na pesa anazompa sio kwa ajili ya matumizi ya Chadema. Amesema pia kuwa huwa anachangia pia CCM. Hili nalo ethically ni problematic kwa Heche kama hakuwaambia wenzake kuhusu mahusiano na huyo mfanyabiashara.
Toa mfano wa hicho unachoita kuwa ni ushahidi.
Kwa nini Mnyika ahusishwe wakati katika maelezo yao Katibu Mkuu hakuhusika? Hata alilosema halijibu tuhuma zilizoletwa.
Inawezekana wanasema Heche kwa sababu tuhuma ni kuwa alizihujumu kama Heche na sio kama Mwenyekiti. Wanadai michango hiyo iliingizwa kwenye akaunti ya Heche na sio ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
I am sorry, but this is pure nonsence. Hakuna ushahidi kuwa Mbowe alipelekwa Ikulu. Mbowe ana usafiri wake na anasema kuwa alialikwa na Rais kwenda Ikulu akaenda. Hajawahi kuficha kuwa alienda. Na Mbowe hajawahi kuficha kuwa anapendelea zaidi dialogue kuliko confrontation. Hata wakati wa JPM alienda Mwanza kuomba wazungumze. Hapo kosa liko wapi? Mandela aliongea na De Klerk. Martin Luther King Junior aliongea na Johnson. Hamas wameongea na Israel wakati watu wao wanafanyiwa unyama. Iran inaongea na USA. Zelensky anataka mazungumzo na Putin. Wote hawa ni wasaliti? Na mmoja wa waliofaidika na hayo mazungumzo ni Lissu. Aidha, mamia ya wafuasi wa Chadema waliondolewa magerezani na kesi zao kufutwa kutokana na hayo mazungumzo. Zuio la mikutano ya hadhara liliondolewa na Chadema walitumia fursa hiyo kikamilifu kwa kufanya utitiri wa mikutano ambayo baadhi ilihutubiwa na Lissu na wenzie.
Mbowe aliendelea kuita maandamano hata pale ambapo hao mashujaa wenu walijificha. Na CCM waliposema kuwa anawachuuza watoto wa wengine, aliongozana na binti yake. Nakumbuka picha ya Hilda akiwa amejificha. Lissu aliposhambuliwa Mbeya, Mbowe alikimbilia kwenda kusimama nae ingawa alijua thika kuwa angeweza kukamatwa. Na kweli alikamatwa. Mbowe alichangia zaidi ya milioni 200 ili kuwezesha Mkutano Mkuu wa Chama. Lissu alisema yeye sio tajiri hivyo hawezi kuchangia. Pamoja na kambi ya Lissu kudai kuwa hujuma zitafanyika katika uchaguzi huo, uchaguzi uliendeshwa kwa uwazi ambao ni nadra katika chaguzi tulizo zoea. Na Mbowe aliposhindwa alikubali na kumpongeza Lissu. Katika yote haya huo ushahidi wa kununuliwa na Samia uko wapi? Ni fitna tu.
Kwani ni uongo? Kuna ubaya gani katika kutaka mazungumzo na mpinzani wako? Sio upande wa Chadema peke yake kulikuwa na wasiotaka maridhiano, Kinana nae alisema wazi kuwa CCM nako kuna waliokuwa wanapinga mazungumxo hayo. Aidha, hakuna mtu anayeingia katika mazungumzo ili yashindwe. Lakini akiona mwenzie hana nia njema, anajitoa. Na ndivyo alivyofanya Mbowe. Ni ishara ya maturity.
Hakuna kiongozi asiyefanya madudu. Ni sehemu ya uongozi. Kiongozi anapimwa kwa ujumla wa matendo yake. Ku cherry pick makosa sio kumtendea haki.
CCM hawajawahi kumtaka Mbowe. Machawa wake walimpigia kampeni za wazi ili kumchafua ili mpinzani wake ashinde. Walimtaka Lissu kwa sababu walijua atawapa fursa ya kukibana Chadema na kukitoa kwenye uchaguzi. Na kweli wamefanikiwa. Na walijua kuwa pamoja na kelele hawana ujasiri wa Mbowe. Mbowe aliita maandamano dhidi ya utawala pamoja na dola kuyakataza. Alifanya mikutano, pamoja na watu wake kuzuiwa na wakati mwingine. Mbowe na wenzake walifanya creative civic disobedience. Wakina Husna walikataa kushusha bendera ya chama chao Chato. Wakina Mwakipesile na wenzake walijigala gala nje ya ubalozi wa Marekani. Mwakipesile alikaa ndani lakini alikataa kuwataja wenzake. Wakina Ruge, Halima na wengine wengi walikaa sana rumande. Sugu alifungwa. Mbowe na wenzake nao walifungwa. Heche alipotoka alisema Mbowe alikataa kutoka jela mpaka wenzake wote wametoka.
Yote hayo mnataka kutuaminisha kuwa CCM walimtaka Mbowe kuliko hao wa sasa ambao wanangoja wapewe kibali ili waandamane na kufanya mikutano ya hadhara! CCM wana mmwagia masifa Mbowe ili asikubalike ndani ya Chadema.
Na kwa kiasi fulani wamefanikiwa maana kuna blind hatred dhidi ya Mbowe kiasi ya watu kukataa kuona ushahidi ulio machoni mwao. CCM wanatazama 2030, na watahakikisha kuwa ifikapo hapo Chadema inakuwa kibogoyo. Unfortunately, watu kama nyie mna wa facilitate kufikia kwenye adhma hiyo.
Hapo ndipo Mbowe alionyesha pragmatism. EL alichangia Chadema kupata wageni wengi. Kura alizopata ziliwapa wabunge wa viti maalum wengi na ruzuku ambayo iliwawezesha kukijenga chama chao. Ile ruzuku na uwepo wa wabunge wao ndio ulionyesha watanzania kuwa kuna alternative to CCM. Ujasiri wao chini ya Mbowe wa kukataa kunyamazishwa ndio umefikisha Chadema hapa ilipo. Viongozi wengi wa Chadema wanakiri kuwa Mbowe ana mchango mkubwa katika uwepo wao kwenye siasa.
Chadema ya Mbowe ilikuwa na wigo kubwa la viongozi mahiri na jasiri kiasi kuwa hata alipokuwa ndani chama chake kiliendelea kuisumbua CCM. Bawacha, Bavicha na Bazecha wote walishiriki kikamilifu na walipewa nafasi za kung'ara chini ya Mbowe. Yote haya yaliwezeshwa kwa kiasi kikubwa na master stroke ya kumtumia Lowassa.
Ninachoshangaa ni kuwa hamuonyeshi outrage kwa chama kumkumbatia kiongozi wao ambae aliandika kitabu kukihusisha kilichokuwa chama chake na utekaji na utesaji wa wanachama wake.
Hamuonyeshi outrage kwa kumpokea kiongozi ambae alihamia upande wa pili na kukichafua sana chama chake akiwa amevaa kijani na amebeba picha ya Mwenyekiti wa CCM.
Unafik mtupu.
Amandla....
Kwamba hoja inayofadhiriwa na ccm iaminiwe ni wapumbavu pekee ndio wanaweza kufanya hivyo.Mimi nahoji, hoja ya kina Lema, Sugu na Boniface kama kuna Ukweli, sio hao waloichukua na kuanza kuipigia debe. Source ipo wazi lakini inakwepwa! Why?
Mbowe alituhumiwa na Tundu Lissu na Heche, wakaaminika pasipo Uchunguzi wala ushahidi. Mbowe akapigwa chini..
Heche ametuhumiwa na Lema, Sugu na Boniface kula hela za Tone tone! Kwa nini haiaminiki, inasingiziwa CCM ilihali watoa tuhuma hizi ni Lema, Sugu na Boniface. Hawahojiwi wala kuulizwa Ushahidi! Am I clear?
Sijui unanielewa!
Wekeni basi ushahidi hata robo tu, tuone pa kuanzia.Mimi sina Ushauri wowote zaidi ya kuhoji kilochotea ili wananchi wajue Ukweli ni upi? Nahoji matumizi mabaya ya Serikali hii na nitahoji matumizi mabaya ya chama chochote cha Upinzani.
Infact, naandaa mada mbili kali sana kuhusiana na Viongozi wa nchi hii kutokuwa na Maono (Vision) isipokuwa kuendeleza yale waloyakuta wasijue tunaelekea kubaya zaidi.
CCM wataendelea kuwatawala kwa sababu wanajua mnapata kizunguzungu mkisoma sentensi zaidi ya moja. Mnangoja muambiwe na wengine nini cha kuamini.Ccm mmejaa mipasho by the way ifike 2030 bila katiba mpya ndio mtaelewa vizuri labda mkimbie nchi tofauti na hapo jiandaeni kisaikolojia.
lema, sugu,boni walisema wapi?Umeniuliza Ushahidi katika tuhuma za Heche, nakujibu hivi Muulize Lema, Sugu au Boniface ukweli utaujua. Achana na hao kina Habib Mchange sijii kina mapandikizi, nenda kwenye Source. Somebody gut to raise up!
Isitoshe sidhani hata wewe una Ushahidi kuhusu Mbowe. CCM inamtaka mtu yeyote mwanasiasa kama ilivyo Chadema na vyama vingine vyote hata wewe Ukitaka kesho watakupa kadi yao.
Kama Chadema iliweza mchukua Lowassa na Sumaye ambao wote waliwahi kuwa Mawaziri Wakuu wa nchi cha kushangaza nini?
Ok, tuhuma lukuki zimeelekezwa mara nyingi kwa watawala wa ccm. Je, huwa wanachunguzwa?wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Kwa hiyo unataka kunambia Chadema nao ni kama CCM tu...Ok, tuhuma lukuki zimeelekezwa mara nyingi kwa watawala wa ccm. Je, huwa wanachunguzwa?
Samahani, hao watu walitaka wamchangie Heche kwa sababu gani? Kiongozi hawezi kuamka tu akasema hadharani msinichangie wakati hakuna michango ilowahi kwenda kwake. Kama michango ilikuwa kwa.ajili yake lazima kuna hitaji la fedha hizo! Hitaji gani alokuwa nalo Heche mpaka awatake Wanachama na sii familia au marafiki?Mkuu,
Heche hakusema hivyo.
Alisema kuna watu wanataka kumchangia yeye. Anawaomba hiyo Michango wachangie chama.
Hilo la wasimchangie Michango yoyote kuanzia sasa ni la kwako umechomekea tu.
Hakuna tuhuma we mwehu, unajifanya hujui kuwa hizo tuhuma zimepikwa na mboga mboga, hizo pesa zimetoka wapi wakati mumekalia ruzuku, sasa ulidhani Heche na timu yake watafanya kazi kwa kutoa pesa yao binafsi?Mbona wewe huhoji matumizi mabaya ya pesa haramu wanazokusanya mboga mboga? nenda kahoji Mbogamboga jinsi wanavyotumia hizo hela pia kahoji ripoti ya Mkagauzi Mkuu wa Mahesabu wa Serikali kuhusu ufujwaji wa pesa za umma.Ni majibu kama haya ndio huwa tunapewa na CCM miaka yote! Kwenye uongozi wa Wananchi hakuna kitu kibaya kama tuhuma, uongo ukiuachwa utembee hugeuka kuwa Ukweli.
Na trust me, this will cost them big time.. Tupo hapa..
Mkuu wangu, maelezo yako.mengi ni nukuu ambazo umezipata mitandaoni kama mimi, hunanUshahidi zaidi ya tuhuma zote kuzisikia na majibu yakotolewa ukayapokea kama yalivyo.Swali ni kwamba una uhakika na ushahidi kwamba Lema, Sugu na Boni walisema hayo?
Tunachotaka ni proof siyo kwenda na habari za kusikia.
Mnyika kasema yeye ndiye anatunza pesa na zipo salama. Iwe kweli au uongo tumesikia kutoka kinywa chake
Habibu Mchange akisema Lema, Boni na Sugu walisema, huo si ukweli achilia mbali credibility yake.
Hata kama walisema, je, walitoa ushahidi? na nani wa kutuhumiwa Katibu mkuu au Heche?
Kwanini wanasema HECHE na si Makamu Mwenyekiti.
Ushihidi wa MBOWE upo. Walimtoa magereza wakamkimbiza Ikulu. Kutokea hapo Mbowe akabadilika. Walikaa na Mbowe mwaka wakizungumza mwisho wa siku zero
Mbowe alisema kwa ushahidi kwamba kuna wenzetu walishiriki kuharibu maridhiano! Ushahidi kwamba yeye na CCM walikuwa na mitazamo sawa.
Mkandara, MBOWE alifanya madudu sana! hilo linahitaji ushahidi kweli. Ndiye wanamtaka au photocopy yake
Ni kweli, na bahati nzuri sisi wengine tulikemea hilo kwa msingi ule ule kwamba EL alikuwa fisadi kwa ushahidi
Sasa kwani alimtuhumu ni Chadema?sasa wenyewe hawana mashaka naye majirani ndiyo mnaleta mashaka hii ni akili ya wapi?Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Point! Point1Kule mtandao wa X , Lema na Sugu walisema yao, mimi siwezi chukua maneno yale kama ushahidi wangu maana sikuwepo katika kikao cha Kamati Kuu.
Unamkumbuka Samson Mwigamba! unakumbuka Laptop. Unakumbuka Kitila alisema nini wakati deal limebumburuka!Na kama unakumbuka hata zile kesi za Zitto na kila Kitila tuliaminishwa walitaka kupindua Uongozi wa Chama! Sina Ushahidi huo
Lema alisema katika mkutano alifuatwa na Watu kwa amri ya Magufuli kwamba akubali awe Mbunge wa Arusha. Lema anatoa ushahidi. Unataka upi zaidi? Unakumbuka Arusha madiwani 7 kuhama kwa mpigo., Kuna baadhi viongozi walihama chama wakati wa Magu kwenda CCM tuliaminishwa wamelipwa hela, Kina Kitila, Sina Ushahidi huo.
Tundu Lissu kasema alifuatwa na kiongozi na Abdul wakiwa na maburungutu. Leo tunajua alikuwa WenjeIsitoshe hata hawa wanaosemwa wamelipwa hela na CCM sidhani kama unao Ushahidi?
I mean wata deal na wapuuzi wangapi?Yawezekana hata yule alojifanya Katibu wa Chama ni mchezo wa Chadema wenyewe, asimame mtu asokuwa Katibu aweke madai hayo ili kesho yake aje kiongozi halisi amkane!
Kisheria mtu huyu alitakiwa akamatwe, afunguliwe mashtaka na Chadema lakini naona kimyaa!
Public service na shughuli za vyama ni tofauti. Watu wanakamatwa kwa kutumia nembo za Taifa jambo lenye hatari kiusalama. Matumizi ya nembo ya CHADEMA yana athari gani! Kuna mashtaka yanayoweza kufikishwa mahakamani na CHADEMA kama kughushi mengine ni kupoteza muda.Mbona kuna watu hujifanya watumishi wa Umma iwe Polisi au Afisa Usalama hukamatwa na wakafunguliwa mashtaka! Leo wanatumikia kifungo?
You could be right! na nadhani unaomba iwe hivyo kwasababu wewe ni Lissu-phobia, Xeno-Heche.All I can say, something isn't right!
Unaniuliza maswala ambayo hayahusiani na Mada hii. Sijasema mahapa popote nayachukua maneno ya kina Habib Mchange ambaye kwanza sijawahi kumsoma wala kumsikiliza. Na hao wengine wote tuhuma zao nimeziona awali yao walitangilia Lema na Sugu kule X nitaanza kutia shaka nikitegemea Chadema watalifanyia kazi.Point! Point1
Na usichukue habari za Mchange, Selasini, Odero, Balile, Lembrus Mchome , Msigwa n.k. kuwa basis ya kutaka uchunguzi ufanywe. Unajua fika hawa wana kazi maalum, don't venture into their territory.
Ndio maana tunakuuliza , kwanini Heche na si Katibu mkuu Mnyika! huna jibu.
Tunakuuliza tone tone na maridhiano vinahusiana vipi, huna jibu.
Tunakuuliza kwanini tone tone na si Trilioni Moja ya tambuu, kashata, vitumbua na makaimati Ofisini! huna jibu.
Unamkumbuka Samson Mwigamba! unakumbuka Laptop. Unakumbuka Kitila alisema nini wakati deal limebumburuka!
Lema alisema katika mkutano alifuatwa na Watu kwa amri ya Magufuli kwamba akubali awe Mbunge wa Arusha. Lema anatoa ushahidi. Unataka upi zaidi? Unakumbuka Arusha madiwani 7 kuhama kwa mpigo.
Unamkumbuka Ali Bananga na alichosema Lema kabla hajaenda CCM!
Tundu Lissu kasema alifuatwa na kiongozi na Abdul wakiwa na maburungutu. Leo tunajua alikuwa Wenje
Unataka ushahidi gani zaidi ya ule wa aliyetakwa kuhongwa! Wenje hajakanusha m bado unatafuta ushahidi
I mean wata deal na wapuuzi wangapi?
Kuna video ya Mwenyekiti wa BAWACHA kanda ya kati akizungumza na Sheikh mmoja. Mwenyekiti alirekodi na kuvujisha mazungumzo hayo! Sheikh hajakana! unataka ushahidi upi tena!
Public service na shughuli za vyama ni tofauti. Watu wanakamatwa kwa kutumia nembo za Taifa jambo lenye hatari kiusalama. Matumizi ya nembo ya CHADEMA yana athari gani! Kuna mashtaka yanayoweza kufikishwa mahakamani na CHADEMA kama kughushi mengine ni kupoteza muda.
You could be right! na nadhani unaomba iwe hivyo kwasababu wewe ni Lissu-phobia, Xeno-Heche.
Hilo si kosa ni msimamo na mtazamo wako na tuna uheshimu.
Muhimu ni kwamba, tafuta sababu na mada legit si hizi za kina Mchange! Bro! Stand for what is right
Tusirudishwe kule kwa CUF, NCCR . Tumekuwa derailed na CCM , tunajadili Tone tone ya sh Miioni 20 tumeacha kujadili Trilioni Moja ya kununua chips dume, visheti, makaimati, vitumbua, katlesi kwa viongozi wakiwa Ofisini.
Tunataka uchunguzi wa Tone tone ! kwamba ni tatizo la Taifa, please Mkandara
i'm out
Mkuu wangu, maelezo yako.mengi ni nukuu ambazo umezipata mitandaoni kama mimi, hunanUshahidi zaidi ya tuhuma zote kuzisikia na majibu yakotolewa ukayapokea kama yalivyo.
Kule mtandao wa X , Lema na Sugu walisema yao, mimi siwezi chukua maneno yale kama ushahidi wangu maana sikuwepo katika kikao cha Kamati Kuu.
Na kama unakumbuka hata zile kesi za Zitto na kila Kitila tuliaminishwa walitaka kupindua Uongozi wa Chama! Sina Ushahidi huo, Kuna baadhi viongozi walihama chama wakati wa Magu kwenda CCM tuliaminishwa wamelipwa hela, Kina Kitila, Sina Ushahidi huo.
Isitoshe hata hawa wanaosemwa wamelipwa hela na CCM sidhani kama unao Ushahidi? Yawezekana hata yule alojifanya Katibu wa Chama ni mchezo wa Chadema wenyewe, asimame mtu asokuwa Katibu aweke madai hayo ili kesho yake aje kiongozi halisi amkane!
Kisheria mtu huyu alitakiwa akamatwe, afunguliwe mashtaka na Chadema lakini naona kimyaa!
Mbona kuna watu hujifanya watumishi wa Umma iwe Polisi au Afisa Usalama hukamatwa na wakafunguliwa mashtaka! Leo wanatumikia kifungo?
Huyu alojifanya Katibu wa Chadema, anaachwa kwa sababu gani ikiwa nia yake ni kukivuruga Chama? Tena Chadema ina Mawakili kibao ambao hawawezi kukaa kimya kwa upuuzi kama huu usambae kukivuruga Chama.
All I can say, something isn't right!