Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

..sasa mwananchi kama amempa kiongozi fedha kwa hiyari yake sisi watu wa pembeni tunaanzi wapi kuhoji?

..Na tutahakiki vipi kwamba majibu tutakayopewa ni ya kweli, au uongo?
Mimi nahoji, hoja ya kina Lema, Sugu na Boniface kama kuna Ukweli, sio hao waloichukua na kuanza kuipigia debe. Source ipo wazi lakini inakwepwa! Why?

Mbowe alituhumiwa na Tundu Lissu na Heche, wakaaminika pasipo Uchunguzi wala ushahidi. Mbowe akapigwa chini..

Heche ametuhumiwa na Lema, Sugu na Boniface kula hela za Tone tone! Kwa nini haiaminiki, inasingiziwa CCM ilihali watoa tuhuma hizi ni Lema, Sugu na Boniface. Hawahojiwi wala kuulizwa Ushahidi! Am I clear?
Sijui unanielewa!
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Anawadondoshea vitomu vya nyama wale waliopo kwenye mnyororo wa thamani,au wale maalumu,anakosea sana kuwanyima vitomu vya nyama baadhi ya vigogo wa chama hicho!
#Cdm hali si shwari,ukila kuleni wengi kwa mapana na marefu,hata wazee wa kanda msiwasahau!....
 
Nimekosea wapi? Au nimekubana kwenye kona?

Nisamehe sikujua kuwa ni darasa, nilijua umekuja ili ueleweshwe hiyo sintofahamu. Nipende kukutakia siku njema.
Hakuna pahala nimesema Heche amekula hela za watu!
hoja ya mada hii "Kwa nini Chadema imeshindwa kumchunguza Heche" majibu mnayotoa yote ni mepesi,.mnakana tuhuma bila vielelezo, sawa na majibu ya CCM kwenye Ufisadi na mauaji.
Hapa saa hizi ni usiku mkubwa nitarudi kesho!
 
Mkuu Mkandara

Kwanza, naungana na JokaKuu kuhusu watoa tuhuma.
Mfano, J.Selasini aliyeshirikiana na Msajili kuhujumu NCCR ndiye mtoa tuhuma.
Ukimsikliza anataka maridhiano kwa maana kwamba kuna kikwazo, HECHE

Yupo Lembrus Mchome aliyekodiwa apartment na Msajili kuhujumu CHADEMA, huyu naye unamsikiliza

Yupo Katibu wa UVCCM naye katoa tuhuma kama CHADEMA, naye unamsikiliza

Wapo wa mikoani, wote wanatoa tuhuma hakuna anayetueleza ushahidi upo wapi. Kwamba kuna pesa zimeliwa, hawaelezi wapi na kiasi gani

G. Msigwa wa CCM msemaji wa serikali anapokerwa na tuhuma za CHADEMA kuliko uhuni wa kujiteua uliofanyika pale Dodoma. Naye umamsikiliza kama mtu makini.

Msigwa anakerwa na tone tone lakini hakerwi na Trilioni moja ya Bajeti ya kachori, maandazi na vitumbua! Hakerwi na Wanawake kujifungua juu ya matenga. Huyu unamsikiliza kwa dhati kabisa!!!

Pili, Katibu mkuu kaeleza wazi taratibu za fedha . Kwamba, yeye ndiye anayehusika. Kwanini watu wanamtuhumu HECHE badala ya kuanza na mwenye dhamana?

Tatu, kuna taratibu za Chama chao kuhusu madai. Je wamezifikisha huko? CHADEMA ni taasisi siyo genge la watu. CCM walimwita Kolimba wakamalizana naye. CCM husema kuna taratibu za chama hata Wabunge wao kama caucus hawawezi kuisema serikali yao. Leo unaona utaratibu wa kuzungumza hovyo ni mzuri tu kwasababu ni CHADEMA

Mkuu utaruhusu uholela katika chama hiyo siyo taasisi. Kesho litaibuka kundi linalompinga Mnyika, utachunguza. Keshokutwa Sugu, utachunguza, siku nyingine Lema utachunguza. Yaani huoni kabisa kwamba kuna uhuni hapo !

Kinachotakiwa hapa si pesa za tone tone, ni kumuondoa HECHE aliyekuwa na LISSU katika mazungumzo yaliyofeli.

CCM na Serikali wanataka mtu laini kama MBOWE watakayeweza kupiga naye picha na kukaa vikao miaka 2 bila matokeo. CCM wanawaita akina HECHE Hardliners wanataka waondoke wapachike watu wao kama MBOWE.
 
Unatakiwa ufahamu kwanza tuhuma zimeanzia kutoka wapi, hizi tuhuma alianzisha kibaka wa Mbutu Yericko Nyerere baadae zikadakwa na akina Mchome na wakafuatia mamluki, huyu kibaka handler wake tunamjua na tunajua anamfanyia nani hii kazi mpya hivyo wala haitushangazi.

Press tatu mfululizo zimefanyika katika chumba kina pazia aina moja kwa watu waliojiita viongozi wa CHADEMA na wala sio viongozi.

Sote tunajua CCM wanataka maridhiano kwa udi na uvumba ili wakajisafishe kwa waliyofanya October 29. Wanataka mapicha ya maridhiano ambayo kwa upande wao ni feki ili mradi tu wakawaonyeshe watu wanaotaka kuwawekea vikwazo, kwa sasa kigingi kilichopo anaonekana ni Heche.

So kipindi kama hiki chama lazima kijue kipi cha muhimu kipi cha kupuuza, maana katibu mkuu kawaambia walio na ushahidi wapeleke hakuna aliyeenda.

Wanaishia kusema Heche kala pesa za wadau , je hao wadau ni akina nani na kwanni wao wasijitokeze kudai hizo pesa hadi watume hao mamluki?

Hao mamluki inawezekana wanaojiita ni viongozi wa kutoka Tanga, Morogoro, na Pwani kufanya press mikoani kwao katika chumba kina position moja na pazia moja?

Please msitutukane watanzania kwa sasa watu wanajielewa sana hizi propaganda haziwezekani tena.
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Ni lini CCM itamchunguza Samia?
 
Wakati mwingine nikiona genz wakiwakashifu nyie wazee naona ni sahihi.
Nilitegemea kama kweli unaakili hata kidogo ungeuliza kwanini wanaomtuhumu heche wasifuate proper chanel za chama kupeleka mashitaka kuliko kupiga kelele kupitia mitandao?
Hivi mtoa mada ni kitu gani usichoelewa intetion ya watoa malalamiko kuweka allegation kwenye mitandao badala ya kupeleka kwenye chama.
Mbona lissu kila siku tunaambiwa amehongwa na wazungu ni msaliti kwa nini hamsemi achanguzwe. Kila tuhuma ikitolewa tena bila ushahidi ukisema ichunguzwe utachunguza tuhuma ngapi?Kitakuwa chama cha kuchunguza, Slaa mwenyewe mlisema amepola mke wa mtu alichunguzwa?
Mkikabwa kwenye kona mnaanzisha vituhuma uchwara.
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Wamchunguze kwa ajili ya propaganda za mavi ya CCM ?
 
Hajachunguzwa kwasababu mchezo wenu umebuma hivyo andaeni script nyingine
 
Kwa hiyo ina maana kulikuwa na watu wanamchangia au sio?
Hata kama walichangia yeye binafsi kwa jitihada zake binafsi za kuongoza vyema mapambano kuna tatixo gani chama kinacho zingatia majungu kuhusu kiongozi wake kitakuwa unethical and un proffessional party,leteni ushahidi wa awali preliminary invedtigation ifanyike siyo talala tu.
 
Ni majibu kama haya ndio huwa tunapewa na CCM miaka yote! Kwenye uongozi wa Wananchi hakuna kitu kibaya kama tuhuma, uongo ukiuachwa utembee hugeuka kuwa Ukweli.
Na trust me, this will cost them big time.. Tupo hapa..
Hiyo imewacost nyie wapumbavu mnaopayuka jf na Abdul wenu baada ya kuliwa hela kijinga bila mafanikio.
 
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?

Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?

Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.

Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.

Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?

b
Wamchunguze kwa ajili ya propaganda za mavi ya CCM kwanza hiyo propaganda yenyewe imesha buma kitambo waanzilishi washabeba aibu yao wameufyata
 
Back
Top Bottom