Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,690
- 16,639
Huwezi kuunda Tume ya Uchunguzi kwa kila udaku na kelele za mitandaoni, CHADEMA ina Katiba na mifumo rasmi inayohitaji malalamiko yawasilishwe kwa njia rasmi.
Hawajashindwa kumchunguza Heche lakini hakuna mwanachama hata Mmoja ambaye anaweza kuthibitisha kuwa amepeleka malalamiko rasmi Lisu aliwashutumu baadhi ya watu kuhongwa fedha na aliambiwa athibitishe kapeleka uthibitisho ukajadiliwa kwenye vikao vya chama kwahiyo wao wanaotoa shutuma wakiitws wathitishe au hata kusema chanzo Cha habari hizo kimetoka wapi hawana jibu Kila mtu Mimi ni mesikia tu nimesikia tu.utaratibu haupo hivyo .Inatakiwa kuwe na watu wanaoshutumu wapeleke shutuma zao kwenye ngazi husika za chama kinyume na hapo hayo ni majungu tu.Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Upo sahihi Kabisa je watu kama Habibu Mchange na said Mwaipopo wanaweza kuwa na Nia Nzuri kweli ya kuisaidia CDM?..Nilesh Suchak tajiri wa Kihindi ambaye watoa tuhuma walidai ametoa fedha kwa John Heche amekanusha kufanya hivyo.
..vilevile Nilesh amesema yeye ni mwana Ccm na amemchangia Mama Samia shilingi milioni 500 wakati wa kampeni.
..tatizo lingine ni kwamba wanaotoa tuhuma hizo ni wahuni kama Habib Mchange ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakiipiga vita Chadema.
..mtoa tuhuma mwingine ni Shekhe Mwaipopo ambaye pia ni mhuni mhuni na amekuwa akitumika kuvisakama vyama vya upinzani akishadidia ajenda za udini.
..Shekhe Mwaipopo pia alitumika na serikali na Ccm dhidi ya wananchi wa Kusini wakati ule wa sakata la gesi ya Mtwara.
..Serikali kipindi kile ilipeleka majeshi mikoa ya kusini na kuwashambulia vibaya wananchi.
..Vilevile watoa tuhuma wanaonekana kama ni watu waliopangwa. Wote wanatoka ktk maeneo yao ni kuja Dsm kufanya press conference ktk sehemu moja.
..La mwisho ni baadhi ya watoa tuhuma kudanganya wasifu wao wakati wakitoa madai yao. Wako waliodanganya majina yao. Wako waliodanganya kuhusu nyadhifa zao ndani ya Chadema.
..Nadhani ukizingatia yote hayo hapo juu utaona kwamba hakuna sababu za kuridhisha kuanzisha uchunguzi dhidi ya John Heche.
..Kikubwa tunapaswa kujiuliza ni malengo ya wanaotoa tuhuma. Nani amewatuma na kuwafadhili?
Mkuu, nikuulize swali dogo tu. Mtu yeyote mwenye pesa, hajui kama anataka kuchangia pesa Chadema atume kwenye account ya nani? Huwezi kuwa na pesa ukashindwa kutofautisha kati ya mtu binafsi na Taasis/Chama.Tatizo sio kumpa ‼️
tatizo kupokea na kukaa kinyaa ndio msingi wa malalamiko
Na ni jambo la kutia shaka🫎✍️
Kaanzie kwenye chama chako cha majambazi uwaambie hivi uone kama hawajakutoa roho. maana wamejilimbikizia mali kwa kutumia ofisi zao mpaka kufuru.Hata ukipewa chupa ya chai kwa misingi ya uwepo wapo kwenye nafasi ya chama!!
Unatakiwa kusema tu vile na vile ni lengo kuondosha shaka na kuondosha neno tuhuma kwako!!
Anatuhumiwa kupokea chupa ya chai nk.
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Kwani ni kosa kumchangia heche yeye binafsiKwa hiyo ina maana kulikuwa na watu wanamchangia au sio?
Hapo ni wewe tu ndiyo unaonesha kuukubali uongo kuwa ukweli kwa sababu tu umetamkwa mara nyingi.Ni majibu kama haya ndio huwa tunapewa na CCM miaka yote! Kwenye uongozi wa Wananchi hakuna kitu kibaya kama tuhuma, uongo ukiuachwa utembee hugeuka kuwa Ukweli.
Na trust me, this will cost them big time.. Tupo hapa..
Kama u mfuatiliaji utagundua kuwa baada ya zile tuhuma wananchi wengi walikuwa wakiomba namba yake ili wamchangie yeye kama yeye. Hata alipokuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa walimuomba sana namba wamchangie. Ndipo akasema wamaotaka kumchangia yeye, basi waelekeze michango hiyo kwa chama.Kwa hiyo ina maana kulikuwa na watu wanamchangia au sio?
Naunga mkono hoja yakoKinachonitia wasiwasi si tuhuma zenyewe, bali namna tunavyozijibu. Mara nyingi tunapokuwa na mapenzi makubwa kwa kiongozi au chama, tunakuwa wepesi kuamini kwamba kila tuhuma ni uzushi na kila anayezitoa ana nia mbaya. Huo ni mtazamo wa kibinadamu, lakini unaweza kuwa na madhara makubwa.
Hakika mkuuTuhuma si hukumu. Mtu anayetoa tuhuma si lazima awe tayari ameshathibitisha kosa; ndiyo maana kuna taasisi na taratibu za kufanya uchunguzi. Vivyo hivyo, mtuhumiwa hapaswi kuhukumiwa na umma kabla ya uchunguzi kukamilika.
Ndiyo maana naamini njia bora si kutukanana wala kudhalilishana, bali kuruhusu uchunguzi wa haki na huru ufanyike. Uchunguzi ukionyesha tuhuma hazina msingi, kiongozi husika atasafishwa kwa ushahidi na mjadala utaisha. Lakini ukibaini kuna ukweli, hatua zinazostahili zichukuliwe bila kujali cheo au umaarufu wa mhusika.
"Mwisho tusifike mahali ambapo uaminifu kwa mtu au chama unakua sababu ya kukataa hata uchunguziHistoria ya siasa zetu inaonyesha kwamba vyama vyote, vikiwa upinzani au madarakani, vimewahi kutoa tuhuma za ufisadi dhidi ya wapinzani wao na kudai uchunguzi ufanyike. Kwa hiyo, ni muhimu kutumia kigezo kilekile kwa kila mtu bila viwango viwili.
Nina imani kwamba uongozi unaojiamini haupaswi kuogopa uchunguzi. Kiongozi anayesimamia ukweli atakuwa wa kwanza kutaka jambo lichunguzwe ili ukweli ujulikane. Hilo ndilo linalojenga imani ya wananchi na kuimarisha utamaduni wa uwajibikaji katika siasa zetu.
Mwisho, tusifike mahali ambapo uaminifu kwa mtu au chama unakuwa sababu ya kukataa hata uchunguzi. Taifa lenye misingi imara ya uwajibikaji linapaswa kuhimiza ukweli ubainike, si kuuzima kwa matusi au hisia.
Mleta mada wamekukanda 😅
Kama haujaelewa basi…. Mkishajificha kwenye maandishi mnaanza kujiona kuwa mna akili kuliko wengine, watu sio wajinga bana.
Mambo mnayohoji hata mtoto wa miaka 12 akifikiria critically anaweza kuyatolea majibu sahihi
Lucas MwashambwaMleta mada wamekukanda 😅
Kama haujaelewa basi…. Mkishajificha kwenye maandishi mnaanza kujiona kuwa mna akili kuliko wengine, watu sio wajinga bana.
Mambo mnayohoji hata mtoto wa miaka 12 akifikiria critically anaweza kuyatolea majibu sahihi.
😂😂😂😂 Aisee JF!!Sisi CHADEMA tunamsubiri Humphrey Polepole aje kuchukua nafasi ya umakamu mwenyekiti ndani ya chama chetu,hapo Heche tutamuweka pembeni na uchunguzi utaanza mara moja.
Wako,
John Mnyika,
Katiba Mkuu,
CHADEMA.
Sasa bila ya ushahidi itakuwa tuhuma hiyo? Ushahidi ni muhimu. Ile ya Mbowe ni kweli wakina Lisu walitoa ushahidi hadi ushahidi wa Abdul kuwanunua wanachama. Sandal ya Msigwa na Mbowe, kwa Mbowe kuwanunua wanachama Nyasa. Au ndiyo kujito ufahamu?Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Mimi nahoji, hoja ya kina Lema, Sugu na Boniface kama kuna Ukweli, sio hao waloichukua na kuanza kuipigia debe. Source ipo wazi lakini inakwepwa! Why?
Mbowe alituhumiwa na Tundu Lissu na Heche, wakaaminika pasipo Uchunguzi wala ushahidi. Mbowe akapigwa chini..
Heche ametuhumiwa na Lema, Sugu na Boniface kula hela za Tone tone! Kwa nini haiaminiki, inasingiziwa CCM ilihali watoa tuhuma hizi ni Lema, Sugu na Boniface. Hawahojiwi wala kuulizwa Ushahidi! Am I clear?
Sijui unanielewa!