Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,332
- 95,710
Hahahaha,tupo wote hapamwanzoni mwanzoni hapa nasubiri kusoma comment
Hahahaha,tupo wote hapamwanzoni mwanzoni hapa nasubiri kusoma comment
jibu kwanza kwanini bado unanamba za yule mamsi wako😎Hahahaha,tupo wote hapa
Kama bado hana mtu , sio vibaya tukapasha bwashee 😀Aaah Mangi
Kuna hatari ya kupasha kiporo
HahahahaMimi sina na sitaki! Uwe tulizaa au la!
Wateja ehNinazo ni marafiki na wateja wangu pia .
Ewaaaaaaaa jibu murua kabisa hiliEx ni mchumba aliyeko benchi lolote likitokea ndani ya mchezo basi anatoka huyu anaingia ex
Na kama hujazaa nae?
Hahahaha, usiogope, imeseviwa tu ,ila haipigwijibu kwanza kwanini bado unanamba za yule mamsi wako😎
Eeee bwasheeWateja eh
kwaninSina no.ya x,na yeye sitaki awe na yangu!
Mnauziana nini banaEeee bwashee
Usaliti Kwa shem🤣😄😀
au sio😅 umeweka kama pambo la kwenye simu eehHahahaha, usiogope, imeseviwa tu ,ila haipigwi
UkweliiUongooooooooooooo
Hahahaha,siku nikipata yako hii naifuta na kuiweka ktk blacklistau sio😅 umeweka kama pambo la kwenye simu eeh
nikupe mara ngapi sasa, au ulisahau kuisave 😥Hahahaha,siku nikipata yako hii naifuta na kuiweka ktk blacklist
Kama mmezaa mtoto anaongeaje na baba yake ?Mimi sipigi simu