Hakunifanya lolote! Basi tu kisirani..Mwamba sijui alimfanyaje mrembo wetu
Na kipondo juu😂
Namsamehe lakini kwanini nimpigie simu!Msamehe tu Kwa niaba yake😀
Unanitotolesha nikiwa coma au?
Kuna mshkaji wangu mmoja alikuwa analea mimba, yuko bk dem yuko dar lol hajawahi ona mimba wala mtoto, alipelekeshwa vibaya sana! Nikamwambia wewe unamlea huyo mjinga, kuna kiamba haifanyi hiyo kazi ya kipuuzi, eti anaambiwa tuma ela mtoto analia njaa, imagine mtoto wa miezi mi4 analiaje njaa? Anatuma 200k hata week mbili haziishi anasema ela imeisha! Aisee nilimwambia huyu ukimchekea atakumyoosha, piga kimya mtoto peleka kwenu, mama yako si yukohome tu! Hakuna mtoto alopelekea wala nini, mbona mpaka leo ananishukuru anasema nilimsaidia! Huwa tu apima uzito kwakweli..😁Kuna jamaa yangu mmoja, yeye ilikuwa ikifika muda wa kulipa ada, sio matusi yale anatukanwa. Simu kila muda. Nikamwambia, mwanangu utapata ugonjwa wa moyo. Peleka mtoto shule unayoweza imudu, usipangiwe shule ya mamilioni na mama wa mtoto, hataki usilipe ada, tia msimamo.
Ilibidi mtoto apelekwe shule ya chini kidogo mshikaji anayomudu. 😊
Uweeeh! Sirudiagi kosa! Afe kipa afe beki, aiseee!We Seran, temea mate chini; utapigwa saundi utajua jamaa anaoa, badae anakuachia mtoto, anasepa. 😊
Watu wameisha? Kutafuta tu sababu za kupasha viporo hizo!Kuwasiliana sio vibaya
Mnaweza share ideas za business na life
Hahahaha 😂 😂,sawa sawaKawaida tu wakurya ndio zetu!
Kuna mshkaji wangu mmoja alikuwa analea mimba, yuko bk dem yuko dar lol hajawahi ona mimba wala mtoto, alipelekeshwa vibaya sana! Nikamwambia wewe unamlea huyo mjinga, kuna kiamba haifanyi hiyo kazi ya kipuuzi, eti anaambiwa tuma ela mtoto analia njaa, imagine mtoto wa miezi mi4 analiaje njaa? Anatuma 200k hata week mbili haziishi anasema ela imeisha! Aisee nilimwambia huyu ukimchekea atakumyoosha, piga kimya mtoto peleka kwenu, mama yako si yukohome tu! Hakuna mtoto alopelekea wala nini, mbona mpaka leo ananishukuru anasema nilimsaidia! Huwa tu apima uzito kwakweli..😁
Uweeeh! Sirudiagi kosa! Afe kipa afe beki, aiseee!
Kuwasiliana sio vibaya
Mnaweza share ideas za business na life
Sinamwanzoni mwanzoni hapa nasubiri kusoma comment
Hii ya kupeleka watoto Kwa wazee wetu sio fairSeran, hiyo ya kupeleka mtoto kwa bibi yake, ulimshauri vibaya mshikaji. 😊
Angemwacha kwa mama yake; ila awe bandidu, hela itumwe ila isiwe nongwa!
Mimi huwa siamini sana malezi ya mabibi, wanadekeza sana watoto. 😊
Wanakuungisha bwasheeNinazo ni marafiki na wateja wangu pia .