Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,284
- 6,750
Kwa sababu yeye ni Contact
Sina namba ikitokea dharura nitaitafuta!Kumbe unayo namba na unaeza kupiga ikiwa kuna ulazima sio?
Duh,Ni ngumu sana! Ukipata mzazi mwenzio kama Seran, hakawii kukufuata kazini kukujazia nzi kisa hujatoa upkeep. 😊
Unanitotolesha nikiwa coma au?Hahahaha,hawa ndio watu wanatotolesha halafu kona
Hahahaha, nacheka kwa sautiSina namba ikitokea dharura nitaitafuta!
Na kipondo juu😂Ni ngumu sana! Ukipata mzazi mwenzio kama Seran, hakawii kukufuata kazini kukujazia nzi kisa hujatoa upkeep. 😊
Basi tu siwapendagi maex😁Huyo EX wako alikukosea nini?
Mbona una chuki nae hivo?
Au ulimpa Figo alivopona akakutosa🤣
Huyo itakua alikitana na kitu kizito sanaHuyo EX wako alikukosea nini?
Mbona una chuki nae hivo?
Au ulimpa Figo alivopona akakutosa🤣
Hebu weka hapa nikusikie!Hahahaha, nacheka kwa sauti
Hapo nimelainika😝Acha hasira mrembo wangu
Sijakutana na chochote!Huyo itakua alikitana na kitu kizito sana
Sio kwa hasira hizi,Sijakutana na chochote!
Za nini???? Kwanza ukishamla mwanamke thamani yake inashukaNaomba jibu
Kawaida tu wakurya ndio zetu!Sio kwa hasira hizi,