Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,306
- 83,741
Labda nikuulize swali kwahiyo wanaume siyo chanzo cha wanawake kuwa single mothers na wala hawahusiki kabisa?? Jibu ndiyo au hapana!!
Mkuu hiki unachokiona hapa sio cha kisikushangaze sana, ndivyo walivyo hawa, ndivyo namna ambavyo wanavyoshiriki mada, ndivyo uwezo wao wa kushiriki mijadala kama hii ulivyo, sidhani kama wanaweza kuchangia mada kwa namna nyingine tofauti na hapa.
Mara nyingi kwenye mada inayo mlenga mwanamke kwa namna wasioipenda wao hasa kama inagusa uozo wa mwanamke utawaona wanakimbilia kutaka na wanaume nao wahusishwe kwenye uozo huo, haijalishi hata kama hakuna umuhimu wa kumuhusisha mwanaume kwenye mada hiyo wao watasimamia hapo hapo wanapotaka wao. Hili tu washinde mabishano na kufunika uozo wa wanawake wenzao.
Ndio maana hapa tunaona wanakomaa sana ku-divert hii mada kuipeleka kwenye namna wanavyotaka wao.. Wanaume hivi wanaume vile blah.. blah.. Bulshiit
Usitegemee zaidi ya hicho kwenye argument zao.
Ndivyo walivyo hawa, ndivyo uwezo wao wa kushiriki mijadala kama huu ulipoishia hawana uwezo wa kujadili kwa namna mada ilivyo japo kuna mmoja aliofanya hivyo.
Nimeona pia kuna wanaume pro-single mothers wamekuja na mihemko yao utafikiri labda ndio single mothers wenyewe, hao nao usiwashangae sana sio makosa yao. Kumbuka kizazi hiki cha kiume tulichonacho ni kizazi kilichomezwa na uanamke.
Tuko katika zama ambazo zaidi ya 80% ya wanaume wote wamemeza na mfumo jike na wanaishi kwa kuwafurisha wanawake, na hao ndio wabariki wakubwa wa uozo wa wanawake tunaouona leo, maana muda wowote wako tayari kutetea ama kukingia kifua wanawake pale upuuzi wao unapoongelewa. Na mara nyingi wanaibuka kuwatetea wanawake pale upuuzi huo wa wanawake unapoongelewa na wanaume wenzao. Hawa mimi nawaita FEMALE ASS-KISSING ZOMBIES.
Mtu anakwambia eti 80% ya single mothers chanzo ni wanaume, sasa mwanaume kama huyu bado ana uanaume wake asilia kweli? Si tayari ameshatengenezwa kuwalamba makalio wanawake..!!
Na ndio maana hata wanawake wenyewe siku hizi hawaoni soni kufanya mambo ya ovyo ovyo yenye athari kwao sababu wanajua jamii yetu ina watu wa ovyo ovyo watakaowatetea tu na kuwaonea huruma.
Pasi na shaka haya mengine yako kwenye ufahamu wako!!