Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 8,950
- 35,405
Kwanini unataka kutoka kwa Yesu na sio Mungu Baba?Nataka unipe maelezo hayo kutoka kwa Yesu kwamba Yesu amesema hivyo kwamba kuna mungu mwana,kuna mungu roho.
Weka andiko fasta tuokoe muda.
Kwanini unataka kutoka kwa Yesu na sio Mungu Baba?Nataka unipe maelezo hayo kutoka kwa Yesu kwamba Yesu amesema hivyo kwamba kuna mungu mwana,kuna mungu roho.
Weka andiko fasta tuokoe muda.
Usiniambie nichukulie.Sikumbuki alikuwa na miaka mingapi ila alikuwa na miaka mingi kumzidi mama Aisha.
Chukulia,kwamna alikuwa labda ana miaka 60 au 70, vipi ndio hitwa kubakwa huko ?
Kwanza tafuta maana ya tamko "Kubakwa" kisha uje kuajdili jambo ukiwa unalijua.
Lipi,hapo nimeandika ambalo hujaniuliza ? Jayo nimekuoa maelezo kwa mujibu wa swali lako.
Sawa,nipe andiko toka kwa Mungu baba linalo onyesha kwamba kuna utatu.Kwanini unataka kutoka kwa Yesu na sio Mungu Baba?
Nimeweka hivyo kutokana na msingi wengu ni kuwa umri ulikuwa mkubwa ndio maana mnasema alibaka.Usiniambie nichukulie.
Nambie kitu halisi..nianze kuchukulia mfano na wakati unaweza ongea bila mfano.
Tafuta Kama hukumbuki..nasubiri majibu.
Na Leo atatoka hapa yupo hoi maanaAnataka tule matango pori yake hapa
Wewe si uliniuliza kwamba kama kweli mtume amebaka au la ?!Usiniambie nichukulie.
Nambie kitu halisi..nianze kuchukulia mfano na wakati unaweza ongea bila mfano.
Tafuta Kama hukumbuki..nasubiri majibu.
Halafu mbona umekazania ubakaji,,wapi nimekuuliza kuhusu ubakaji!?
Mbona unajihami hivyo Zurri?
Mimi wapi nimesema alimbaka?Nimeweka hivyo kutokana na msingi wengu ni kuwa umri ulikuwa mkubwa ndio maana mnasema alibaka.
Wamemchokoza kibenten wako,na mimi siwaachi hawa mpaka wakimbie.Mmeanza eti??
Wewe si uliniuliza kama hayo yanayosemwa ni kweli au ?Mimi wapi nimesema alimbaka?
Mbona unanipa majibu ya maswali nisiyoyajua.
Nasubiri umri halisi ,,,hujanijibu bado,naona unazunguuka
Si kama ninyi tu mnavyotuhukumu tunavyowapa??Sasa kwanini mlalamike kuombwa ?
Hilo si umelijibu na nikakuuliza swali jingine!??Wewe si uliniuliza kwamba kama kweli mtume amebaka au la ?!
Ushasahau mara hii ?
Sasa SI ulijibu na nimekuuliza jingine...mbona umeganda kwenye swali moja.Wewe si uliniuliza kama hayo yanayosemwa ni kweli au ?
Ndio tumekuita kafiri.Wamemchokoza kibenten wako,na mimi siwaachi hawa mpaka wakimbie.
Nimewaambia hivi,huwa siitiki mpaka niitwe,wameniita nimeitika.
Nikisema nguo hii huwa wanavaa watu kama "sisi" ninamaanisha kwamba "mmoja wapo" wa wanaovaa nguo kama hii ni "Mimi" lakini sipo pekee yangu ..kuna wengine wenye hadhi kama niliyonayo mimi.
Bado haujanishawishi. MUNGU mmoja je "sisi " inatoka wapi? Msikaririshwe.
Tatizo lipo kwa anaye elekezwa hayo.Splendid
Wao ni mazwazwa ila wewe utakae ombwa na kutoa ndio utaonekana zwazwa zaidi kwa kukubali kwako.
Kwa maana hiyo uzwauzwa unaonekana sana kwenu,kwa kukubali kushawishiwa.
Nyinyi ndio mnapuyanga sana sababu sisi tinawafata.Si kama ninyi tu mnavyotuhukumu tunavyowapa??
Unajua akili za chini Ni zipi!?Sasa hizo akili za chini kwanza hazipo,mkiambiwa mazwazwa mnalia lia,kuna akili za chini tangu lini ? Hasemi maneno haya isipokuwa mtu asie jua akili ni nini ?!
Haujajibu swali wewe uliowatoa bikira waolewe na kina nani maana nao ni wake zako
Sasa suala la Mola si liko wazi bibie kwamba jambl hilo ni baya na anatuona ?Oohh kwahiyo kumbe shida ni kuonekana na watu na siyo kuonekana na Mungu?? Na hata hivyo hao watu ni kina nani hadi mimi niogope kwamba watanionaje??