Kwaherini JF

Status
Not open for further replies.
mi nachoweza kusema wala usiogope. labda TAFUTA ligonjwa lingine kabambe zaidi ya kakansa hako kama LIEBOLA hivi,, eheee dawa ya moto ni moto, ata sphiis zamani ikikuwa inatibiwa kwa maleria..... yaani in short kuwa kauzu mpaka hicho kigonjwa kione kimepotea njia... pia try new thing vuta fegi au bangi get new experience

katika playlist na recomend hii song kwako by Tim Mcgraw " live like your dying" bonge la ngoma hutojutia...
 
Saratani ya nini, waliokutabiria miezi miwili ya kuishi ni hospitali ya nje ya nchi au? Wapo watu wanaishi na saratani na bado wanadunda, inategemea ni saratani ya nini.​
 
Nimezunguka wee nimerudi tena mmmh japo ni anonymous niseme ukweli inauma Joanah sina maneno ya kukwambia,ila usiache kushirikisha ndugu japo wachache watakaokusaidia katika safari za hospital. I wish its just a joke,a prank and april fools but its august now.
 
Hey people,

Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu

Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo

Naumia lakini sina jinsi
Pole sana ndugu yetu, mwanaJamii mwenzetu.
Mama mtoto wangu anapitia hayo, ni habari nzito kuimudu. Nimemwambia tumweke Mungu mbele (ya Mungu ni mengi), asiruhusu masikitiko yatawale (japo si rahisi) kwa sababu mwili huwa unaitikia feelings espesheli unapojaribu kujiponya. Pia nimemshauri atafiti dawa zetu za kienyeji pamoja na milo mizuri ya kiasili yenye sifa za kuponyesha na/ama kurutubisha mwili kichanya.
 
Mnajuaje huyu kabakisha muda fulani wa kuishi
 
Hey people,

Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu

Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo

Naumia lakini sina jinsi
Ni cancer ya nini joanah

Ova
 
Hutakufa kwa maneno ya kuambiwa na daktari

Pole sana

MUNGU MWENYEZI akupiganie sana
 
Hey people,

Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu

Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo

Naumia lakini sina jinsi
Umekosea sana kukubali Akili za mwanadamu.
Tuombe msamaha, mwenye hatma ya mwisho ya uhai wako ni Mungu tuu. Usitoe ruhusa kwa shetani kukufanya apendacho.
 
Niko na mixed feelings yaani hata sielewi nikuandikie nini kikupe faraja 😭
Sema kama uwezo upo jaribu hospitals tofauti,ikiwezekana nenda hata nairobi ukapate second opinion.
Hizi hospital zetu za bongo kwakweli sio za kuziamini mara moja kwa issue nzito kama hizi,
Kivyovyote vile usikubali kuondoka kirahisi jaribu kupambania uhai wako as you said bado mdogo mno!
 
Pole our dearest sister sisi tupo na ww kwny kukuombea bega Kwa bega tunaamini MUNGU ni msikivu na atasikia maombi ....usihuzunike it's just a lyf tuko pa1💪👊 FAMILIA
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…