DaahKabla sijaandika uzi nilishawasiliana na mods
Mimi sio mtu wa drama
Kimsingi nipumzike kwa amani, sijawahi kudhani kama nitapata mwanga wa kifo changu namna hii
Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Japo wote tutaonja mauti ila hili limeumiza, maana umejua mauti yako ni lini.
Naumia lakini sina jinsi
Daah...am getting very emotionalKwa hizi essay mimi marehemu nitapumzika kweli?
Utani pembeni hapa nilipo i feel lost .
Nipo katikati ya mshangao,huzuni na ajabu wakati huo huo nipo excited kufa ...sijui nipo sawa ama nimeshaanza kuchanganyikiwa
Kuhusu kuambia watu wangu hapana, mwenzangu tu hana anachojua sitaki kupanikisha watu
Really???? Kumbuka dr sio Mungu!Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Hivi huyu si alisema yupo mjamzito wakati fulani? Yeye ana n moja na wewe una n mbili katika majina yenu! Ni nini hiki? Au nachanganya ni mwingineDaah
Kwanza nilitaka nije inbox nijue ni yupi maana hizi ID huwa zinanichanganya!Daah...am getting very emotional
Hawa ni watu 2 tofautiHivi huyu si alisema yupo mjamzito wakati fulani? Yeye ana n moja na wewe una n mbili katika majina yenu! Ni nini hiki? Au nachanganya ni mwingine
Kwahiyo huyu mwenye cancer ni tofauti na Joanah chakaramu tuliyemzoea hapa JF?Hawa ni watu 2 tofauti
ukifa ghafla watasema umelogwa bora uwashilikishe wajue wanakusaidiajeKwa hizi essay mimi marehemu nitapumzika kweli?