Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Lara 1 umefika mbali sana kiasi cha kuamini ushirikina. Hapana, katika dunia ya leo kuamini waganga wa jadi. Kuamini dawa ya mapenzi ipo hapo Lara 1 utakuwa umechemsha. Cha msingi ni kukubali kuwa mwanaume kwa asili ni kuwa na wake wengi. Ukiangalia katika makundi yote hata ya wanyama wa kiuume ni wachache kulko wa kike. La pili ni kuwa wanawake wanamvuto, wanawavutia wanaume. Kwa asili wanaume huvutika kirahisi sana kwa wanawake. Sio hiari yao ni maumbile tu. Ukikuta mwanaume hatamani wanawake wengine kuna hatari hata mke wake asimtamani kwa kuwa vichicheo vinamfanya akutamani mke wake ni vilevile vinavyomfanya amtamani mwanamke mwingine. Tamaa huanzia kichwani na dushelele huhitimisha tamaa. Pengine n jambo la kufurahisha kuona mwanaume anatamani mwanamke ila anapaswa kujitahidi kuzuia tamaa ama anavyoweza kuzuia njaa. Kumtamani mwana mke is a response to stimuli. Stimuli ikizidi na kukawa hakuna response kunaleta stress. Hii yote ni kazi ya mwili na Mwili by definition is a machine for life. Kila kitu kinafanyika automatically. Kuna wanawake wengine wana stimulate hata bila kuwafikiria chochote. Hata kama hukukusudia automatically unashawishka na hata mwanamke mwenyewe anakuwa hanuia kukusisimua.
Sio suala la nadharia ni nature kama vile kuwa nangozi
Hahahaaaaaaaa! Ndo mmefikia hapa wanawake wenzangu? Loooooh! (Siwanangi wenzangu, ninestuka tu!)

Naonaga watu wanaombe boxer za waume zao, mara sijui kupaka mafuta ya mzeituni, ilimradi tu hali si shwari! Hahaaaaaaaaa! Wangejua kina Yuda nao wamo katikati yao kwenye maombi duuuuuuuh!

DAWA KWA YESU TU! Akichepuka tu ataona kama anaweza na kumchepuka Yesu! Akifika huko hana HAMU kabisaaaa! Itaimbiwa mpaka simama dede kitu zzzzzzzzzzzzz! Concious inawaka moto! Sugua goti dada hilo! Oooooooooh! Wake za watu siku hizi jmosi huwakuti majumbani, wapo kwenye MAOMBIIIIII!

Nyumbq ndogo nazo hazikai jmosi, kwenye VILINGE VYA WAGANGAAA! Wanamaliza tu nazi njia panda! Hahahaaaaaaa! Hawakaubali kushindwaaa! Wewe uwe na mume mzuri hivo una nini, yeye adode ana nini? Mtabanana hapo hapo! Anakurushia kimavi hata cheo hupandi, mumeo anakuona big simba wakati uzazi umekuongeza kidogo tu, anakuona bibi yake si bibi yake kumbe midawa ile! Hahaaaa! (Its not a laughing matter!)
 
Lol!, leo bahati mbaya kibao humu ndani...lol!

Hata mimi hapa jimeingia kwa bahati mbaya... na hiyo imesababishwa na kutak kumkosoa mwanzisha mada kwenye TITLE ya thread... badala ya kuiita kwa wanawake tu... angeandika .... KWA NYUMBA KUBWA NA MICHEPUKO TU....

Eti polisi wana kikao na majambazi kujadiri namna ya kupunguza au kuuondoa kabisa ujambazi...... MWEEEH MNACHEKESHA.....

YAANI MNACHOFANYA NI KAMA MATAJIRI WANAPOKAA VIKAO VYA KUMALIZA UMASKINI BILA KUWASHIRIKISHA MASKINI WENYEWE.... hapo ni ndoto kuuondoa umaskini....

MWISHO WA BAHATI MBAYA
 
Tunaongea kwa uwazi sababu mbinu za nyumba kubwa haziwezi kuibwa na mchepuko wewe...
Mfano sala...unasali kwa Mungu gani mume wa mtu asikuache???

Sana sana atatafuta mbinu mbadala...ambazo na sie tunazijua...
hakuna siri chini ya jua...
Na wala hakuna jipya humu...tunakumbushana tu...

Ndio maana hata kicheni party hatuchagui wala kubagua...uwe Mrs fulani au kimada wa fulani ni wewe tu na sare zako...

Hata mimi hapa jimeingia kwa bahati mbaya... na hiyo imesababishwa na kutak kumkosoa mwanzisha mada kwenye TITLE ya thread... badala ya kuiita kwa wanawake tu... angeandika .... KWA NYUMBA KUBWA NA MICHEPUKO TU....

Eti polisi wana kikao na majambazi kujadiri namna ya kupunguza au kuuondoa kabisa ujambazi...... MWEEEH MNACHEKESHA.....

YAANI MNACHOFANYA NI KAMA MATAJIRI WANAPOKAA VIKAO VYA KUMALIZA UMASKINI BILA KUWASHIRIKISHA MASKINI WENYEWE.... hapo ni ndoto kuuondoa umaskini....

MWISHO WA BAHATI MBAYA
 
Kwani wanaume wanachepuka na nani kama siyo ninyi wanawake. Dont be bias bwana....

soma vizuri uzi utanielewa....halafu utapigwa faini we si kidume?mbona umefungua huu uzi?
 
Nimepiga chabo maana naona mmesahau kufunga mlango!Mie nauliza hawa wanaume wanachepuka na kina nani?

Yaani ipo ivi nilimaanisha mume mke mnaishi mume hatulii mwisho wa siku ukimwi familia inaangamia....mifano ipo mingi na mara nyingi ukichunguza chanzo kikuu ni baba kulianzisha....sasa hapa tunatafuta mwarobaini,,,.....!
 
Hata mimi hapa jimeingia kwa bahati mbaya... na hiyo imesababishwa na kutak kumkosoa mwanzisha mada kwenye TITLE ya thread... badala ya kuiita kwa wanawake tu... angeandika .... KWA NYUMBA KUBWA NA MICHEPUKO TU....

Eti polisi wana kikao na majambazi kujadiri namna ya kupunguza au kuuondoa kabisa ujambazi...... MWEEEH MNACHEKESHA.....

YAANI MNACHOFANYA NI KAMA MATAJIRI WANAPOKAA VIKAO VYA KUMALIZA UMASKINI BILA KUWASHIRIKISHA MASKINI WENYEWE.... hapo ni ndoto kuuondoa umaskini....

MWISHO WA BAHATI MBAYA

NIMESIKITIKA sana hujaelewa na kama ungeelewa usingesema haya nipm nikufafanulie kinaganaga.
 
Hata mimi hapa jimeingia kwa bahati mbaya... na hiyo imesababishwa na kutak kumkosoa mwanzisha mada kwenye TITLE ya thread... badala ya kuiita kwa wanawake tu... angeandika .... KWA NYUMBA KUBWA NA MICHEPUKO TU....

Eti polisi wana kikao na majambazi kujadiri namna ya kupunguza au kuuondoa kabisa ujambazi...... MWEEEH MNACHEKESHA.....

YAANI MNACHOFANYA NI KAMA MATAJIRI WANAPOKAA VIKAO VYA KUMALIZA UMASKINI BILA KUWASHIRIKISHA MASKINI WENYEWE.... hapo ni ndoto kuuondoa umaskini....

MWISHO WA BAHATI MBAYA

Jamaaaani!, yaani shughuli ya wengine wakalia vikao wengiiine!, mbona makubwaaa!, yani leo naona ME wote wamejazana humu kwenye hii topic, na mnapiga chabo after every 5 minutes kuona nini kimesemwa...lol!
If this topic jam, I'll know who caused it....lol!
 
Aisee sasa nyie kina mama na kina dada mbona ni kama mmewaweka wanaume wote kundi moja?!!!! Kuna wanaume hawatoki bwana, sio kila mwanaume ni mtu wa wanawake wengi!! Halafu na nyie mbona mmejifanya malaika. Siku hizi si mnasema ngoma droo mmeamua kukigawa njea kama kawa kama dawa!

By the way samahanini kwa kuwaingilia kunako mjadala.
 
hii thread si nimeona imeandikwa
[h=2]Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa[/h]sasa mbona kuna mabeberu humu nao washaanza!!!

lazima muwe monitored jaman tunataka kujua mbinu zetu mnazijua kama mnazijua sisi tubadilike kidogo tuweke mbinu zaid yan grade A
 
Back
Top Bottom