Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

mwanangu jamani umejuaje wewe jamani wakati nimekupeleka boarding usome haya tuachie siye mmama zako best
meona eeeh mwingine akishaolewa anajichia kama alikuwa portable atafutukaje, hajijali tena no mazoezi, mapenzi yote anahamisha kwa watoto kujiweka sop sop mpaka asikie kuna mtoko plus gubu mwanaume hapo akitegwa kidogo lazima achepuke
 
Uko right miss neddy tumejisahau mno
 
hii thread si nimeona imeandikwa
Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

sasa mbona kuna mabeberu humu nao washaanza!!!

Huwezi kuwatenganisha hawa ndugu mkuu, wanapendana kidhati hawa! Hata likianzishwa jukwaa la wanawake bado tutakuwemo tu tuone wanapanga nini dhidi yetu! Kwani uliishaona wanawake wanaomba wapewe bunge lao peke yao? Wanataka tubanane humo humo ili kajoto kawepo. Wanataka haki sawa, hawajaomba wawe peke yao.

Kama hapa nimeona mapwenti ya huyu ameline post number 42, watuwache tupuyangeeee, ndo heshima ya kiume hiyo!
 
Last edited by a moderator:
kuna wengine hata usiponenepeana wao ku cheat kama kawa kama dawa...halafu wakati jinsia ya Ke mambo ni mengi,upikie mume,usafi wa mume,wa watoto,wa nyumba (esp.chumbani kwenu)..kazi,kitchen party ya cuzo,harusi ya mdogo wako..mambo ni meeengi usishangae muda wa sop sop unaukosa..hapo hujapumzika bado..
meona eeeh mwingine akishaolewa anajichia kama alikuwa portable atafutukaje, hajijali tena no mazoezi, mapenzi yote anahamisha kwa watoto kujiweka sop sop mpaka asikie kuna mtoko plus gubu mwanaume hapo akitegwa kidogo lazima achepuke
 
First Born....na bado unasema wanawake wafanyeje vile?..
Huwezi kuwatenganisha hawa ndugu mkuu, wanapendana kidhati hawa! Hata likianzishwa jukwaa la wanawake bado tutakuwemo tu tuone wanapanga nini dhidi yetu! Kwani uliishaona wanawake wanaomba wapewe bunge lao peke yao? Wanataka tubanane humo humo ili kajoto kawepo. Wanataka haki sawa, hawajaomba wawe peke yao.

Kama hapa nimeona mapwenti ya huyu ameline post number 42, watuwache tupuyangeeee, ndo heshima ya kiume hiyo!

Last edited by a moderator:
Ishu ya msingi ni kupiga maombi kwa mungu kila kitu kimawezekana kwa wale ambao hawajaolewa bado tujitahidi kuwaombea b4 hatujaingia huku tuweke agano na mungu na sisi pia tuwe waaminifu. Ni hayo tu
 
Hao hawafugiki jamani cha msingi ni kupiga maombi tu tuache mungu ashughulike nao siye tuzidishe mapenzi na uaminifu tu
 
Mengi tunaweza kufanya yet they find their way out and back
I might be an old school ila cha msingi wanawake tutabaki kuwa wa chini despite the fact the gender impowerment na haki sawa
Kikawaida mwanamke ndio huijenga nyumba yake yeye mwenyewe at times na support mawazo ya #lara1 on how to handle men but in reality yale walioyafanya bibi zetu ni sawa japo tutawaona ni wazamani
Ndoa nying zilizo weza kulast hufikia hapo kwa kitu kimoja nacho ni UVUMILIVU, unajua kabisa jamaa ana cheat and the shit he does but you still have that patince in yu and pray for that fool huko anapoenda arudi salama
Kumlinda mwanaume asiweze vua boxer nje ni ngumu ni ngum sana cha msingi have a positive thought over him atakama una mdobt dont act upon it with that Mungu huweka mkono in that atarudi

Patience is a virtue seldom granted to all
 
Hahahaaaaaaaa! Ndo mmefikia hapa wanawake wenzangu? Loooooh! (Siwanangi wenzangu, ninestuka tu!)

Naonaga watu wanaombe boxer za waume zao, mara sijui kupaka mafuta ya mzeituni, ilimradi tu hali si shwari! Hahaaaaaaaaa! Wangejua kina Yuda nao wamo katikati yao kwenye maombi duuuuuuuh!

DAWA KWA YESU TU! Akichepuka tu ataona kama anaweza na kumchepuka Yesu! Akifika huko hana HAMU kabisaaaa! Itaimbiwa mpaka simama dede kitu zzzzzzzzzzzzz! Concious inawaka moto! Sugua goti dada hilo! Oooooooooh! Wake za watu siku hizi jmosi huwakuti majumbani, wapo kwenye MAOMBIIIIII!

Nyumbq ndogo nazo hazikai jmosi, kwenye VILINGE VYA WAGANGAAA! Wanamaliza tu nazi njia panda! Hahahaaaaaaa! Hawakaubali kushindwaaa! Wewe uwe na mume mzuri hivo una nini, yeye adode ana nini? Mtabanana hapo hapo! Anakurushia kimavi hata cheo hupandi, mumeo anakuona big simba wakati uzazi umekuongeza kidogo tu, anakuona bibi yake si bibi yake kumbe midawa ile! Hahaaaa! (Its not a laughing matter!)

Yaani ungekuwa karibu leo cjui ningekupa nn!
Uwiiiiiiii

Umeongea kitu mhimu sn ambacho wadada wengi wamekipotezea!
Wamebaki kulalamika tu/kuongea sn instead of kuomba sn!
 
Biblia inasema
' aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo ilivyo'
Kwahyo wale wanaoona na kuamini mwanaume hawawezi kubadirika, itabaki hivyo!

'Vile unavyokiri ndivyo unavyopekea'
Dunia iliumbwa kwa neno!
Tunepewa mamlaka, so unapokiri mwanaume wako hawez kubadirika itakuwa hivyo!

'Mungu ameumba jambo jipya duniani, mwanamke atamlinda mwanaume ( mume ).
Kumlinda huku sio kumfuatilia nk..
Omba Mungu atashughulika nae na hatachepuka!Mungu c mwanadamu hata aseme uongo!

'Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe'

Ndio!
Mwanamke ndo mlinzi ndo mbeba maono ya familia Ndo maana ndoa ikiyumba lawama kwa mama Yes!
Kwa sbb mama hajacheza kwenye nafasi yake.....

Siamini kuwa.mume wangu atacheat kamwe km Mungu aishivyo.

Tatizo letu tukishaolewa basi ht maombi watu wanasahau mpaka mume aanze kuzingua ....
Muda wa kulalamika kuwa.mumeo hajatulia sema na Mungu omba kwa ajili ya mume
Huko nje vimada wanachofanya wanaenda kwa waganga then wananuiza.maneno yao basi!
Nothing new, shetani hana jipya
So nafsi ya.mumeo ikishabebwa u a in trouble!

Raha ya maombi ni silaha na ulinzi wa familia
Na adui anapopanga unaonyeshwa kwny ulimwengu wa roho na unaomba basi na.ukishaonyesha ni kuwa ushamshinda adui!
Coz Mungu hawatupi walio wake atakufunulia tu yajayo.

Omba omba omba hyo ndo dawa

Coz lucifer sshiv ana dili na hii institutions kuliko mnavyofikiria.

Maoni yangu!
 
kuna wengine hata usiponenepeana wao ku cheat kama kawa kama dawa...halafu wakati jinsia ya Ke mambo ni mengi,upikie mume,usafi wa mume,wa watoto,wa nyumba (esp.chumbani kwenu)..kazi,kitchen party ya cuzo,harusi ya mdogo wako..mambo ni meeengi usishangae muda wa sop sop unaukosa..hapo hujapumzika bado..

hizo sababu hazihalishi mwanamke kuwa rough kila kitu ukifanya kwa ratiba na dada si yupo kukusaidia
 
hizo sababu hazihalishi mwanamke kuwa rough kila kitu ukifanya kwa ratiba na dada si yupo kukusaidia

Mpaka awepo sasa...na pia kunenepeana si sababu halalishi mwanaume kuchepuka...
 
For better for worse asili ya wanaume wana kiburi ukimuona mstaarabu ujue anapretend tu..waongo..wanafiki...wazinzi...tamaaa...na mengine mabaya mabaya tu wamepewa wao..kupenda nako wameumbiwa thats why wanapendapenda hovyo wao hufikiri na kuamua nasi tunahis kisha tunafikiri hapo ndo tofauti..halafu wanawaheshim sana marafik na kuwaamini kuliko wake zao thats why weng wao hujikuta wanapotoka bila kujua ushaur wanaopeana huko mabaa ama vijiweni ni useful kias gani.
cha muhim ni maombi tu i swear hakuna kitu kingine kinachoweza kuwabadilisha ama kuwazuia.unakuta mtu ni mrembo mashallah umejaliwa everything..unajitahid nyumba yako iwe na heshima zote kama mwanaume atakavyo..u give him everything......unatafuta unapigana..i mean sio tegemez lakin baado tu atatoka na secretary...hilousegurl...vishankupe..yaan baasi tu baasi tu...nilikua nanunua gazet mahali siku moja nkakuta wale wanaume wanaokaaga kwenye vijiwe vya magazet wakijadili mpira na siasa etc..wanajadili et nyumba ndogo..mara likoja likaaema toka lakin mheshim mkeo..ukizaa utakua umemkosea heshima usizae nje..we nenda gonga rud home saafi...yaani nilikasirika mpaka nikasahau chenji....
u can see how these men act...yaani anakuheshim anakupa kila kitu lakin badooo anatoka tu...only God Almighty! can solve this...

For better for worse,umenikumbusha Bugema 2013
 
Back
Top Bottom