Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

mkuu walivyo busy sijui kama watamruhusu maana,....

AAGH wapi... ubize haushindi kugegeda.... Ye amwandikie tu sms kwamba bi mkubwa ndo yumo huko kwenye kikao chao HIVYO HUU NDO MUDA MZURI WA KWENDA KUMCHEPUSH KWA UHURU WOTE....mbona atatoka fasta.... USIFAJYE MCHEZO MCHEPUKO UKIONA NAFASI AU MCHEPUIO UKIJUWA NYUMBA KUBWA KASAFIRI AU YUPO KIKAONI NA WENZIE ...halafu bi mkubwa ndo mwenyekiti wa kikao...
 
lazima muwe monitored jaman tunataka kujua mbinu zetu mnazijua kama mnazijua sisi tubadilike kidogo tuweke mbinu zaid yan grade A

Halafu hiyo michepuko iliyoko ndani ya kikao ikitoka tu itatumwagia stori zote...THEN TUTAZILINGANISHA NA TULICHOKIONA WAKATI TUNAWAMONITA...

By the way...usikite humo kikaoni 90% ni nyumba kubwa na michepuko at ze semu taimu... 5% nyumba kubwa na 5% nyumba michepuko PURE... WE SOMA POST ZA RALA 1 na waliomuunga mkono ndo utajuwa hiyo 5% ya upure mchepuko..
 
NIMESIKITIKA sana hujaelewa na kama ungeelewa usingesema haya nipm nikufafanulie kinaganaga.

Yaani mbona nakuPM leo leo wala hakuna shida.... Ili mradi utoe majibu nitakayoyaelewa.... ASANTEE
 
Ngoja nielezee uzoefu wangu mimi na mume wangu niko nae sasa kwenye ndoa kwa miaka 9 sasa unaenda wa 10 lakini nauhakika he never cheat ...sababu zangu ni hizi tunafanya kazi sehemu moja yani tuna kampuni yetu wenyewe so kila siku asubuhi tunatoka wote kwenda ofisi kawaida hutoka nyumbani saa 4 coz kunawatu hufungua so mimi nitatayarisha chai mwenyewe naiyo niratiba yangu sikuzote hata chapati nitaipika iyo asubuhi nashukuru mungu mimi nimtu ninae penda kupika na najua sijisifii ....then tunaenda kwa ofisi mchana lunch tutaenda wote au tutatuma mtu haya jioni tutaondoka wote njiani kawaida yangu lazima nimuulize atakula nini usiku so kama hivyo vitu havipo home tutanunua wakati tunarudi ..sasa w.end wakati mwingine tuko home tu au tutawatoa watoto au yeye atabaki home mimi nitatoka na watoto sasa sijui mda gani huchepuka wallah...na hii biashara tunayofanya inahusu kusafiri sana nje hata akisafiri yeye mimi baada ya wiki nitaenda ...jingine anaamani na sm yake kuliko mfano nauwezo wakupokea sm yake ninavyotaka msg zikiingia atakwambia usome ujibu.....
 
Ngoja nielezee uzoefu wangu mimi na mume wangu niko nae sasa kwenye ndoa kwa miaka 9 sasa unaenda wa 10 lakini nauhakika he never cheat ...sababu zangu ni hizi tunafanya kazi sehemu moja yani tuna kampuni yetu wenyewe so kila siku asubuhi tunatoka wote kwenda ofisi kawaida hutoka nyumbani saa 4 coz kunawatu hufungua suo mimi nitatayarisha chai mwenyewe naiyo niratiba yangu sikuzote hata chapati nitaipika iyo asubuhi nashukuru mungu mimi nimtu ninae penda kupika na najua sijisifii ....then tunaenda kwa ofisi mchana lunch tutaenda wote au tutatuma mtu haya jioni tutaondoka wote njiani kawaida yangu lazima nimuulize atakula nini usiku so kama hivyo vitu havipo home tutanunua wakati tunarudi ..sasa w.end wakati mwingine tuko home tu au tutawatoa watoto au yeye atabaki home mimi nitatoka na watoto sasa sijui mda gani huchepuka wallah...na hii biashara tunayofanya inahusu kusafiri sana nje hata akisafiri yeye mimi baada ya wiki nitaenda ...jingine anaamani na sm yake kuliko mfano nauwezo wakupokea sm yake ninavyotaka msg zikiingia atakwambia usome ujibu.....
Marko 5 : 34.
 
Jamani Ladies najua tuko bize na majukumu ya watoto, ndani na nje ya nyumba but, tujitahidi sana kuonekana vizuri zaidi ya wanaume wetu, we better look waaay good than THEM!,no matter what, so they dont get a reason to Ef up!
If our men look good than us, especially physically?!, we need to have another mjadala like this one..lol!
Najua kwa maumbile yetu most of the times is not that easy but at least let's try to make sure they become allergic na michepukos, we better look good than them biatches too. Kama boo anakazana kwenda sijui bar "mwenyewe" kila siku use the same time to nurture yourself, let's say go to the gym and then work out with a HOT! trainer with some hot! Six packs(tusijaribiwe tu..lol!) Anza ku work out at least 3 times a week, ME akisema nae anaanza kwenda gym 3 times a week, go 5 times a week alimradi tuonekani vizuri kuwazidi wao, gym nimetolea mfano tu but am sure there's a lot of other things we can do to look waay better than them(especially physically)
LADIES IF OUR MEN LOOK BETTER THAN US?!, IT'S A RECIPE FOR DISASTER!, AND AN INGREDIENT TO START MICHEPUKOS!
 
Tatizo utakuta wanawake wengine wakishazaa ndio wamemaliza kila kitu anaanza kua ovyo ovyo hata mume kutoka nae anaona karaha
 
Nimechungulia tuu, ila la msingi, msiwe munabadilika tabia baada ya kuolewa. Tabia ya uchumba nyingine na tabia ya baada ya kufunga ndoa, nayo hua tofauti. Kwa namna hio nakua sikuelewi. Yani, ulikua unajipendekeza kwa kunionyesha tabia nzuri ili uolewe au? Don't pretend, acha nikujuwe tabia yako before marriage na inasaidia sana. Sote kwa pamoja, tuache kuongopeana, tuwe watu wenye uwazi katika mambo yetu. La mwisho, mwanamke jiweke vizuri kila siku. Usilete mazoea kwenye ndoa. Nilikukuta unajipodoa safi, ndio maana ukanivutia, ulikua una vaa vizuri sana. Baada ya kuolewa na kuzaa, unaanza unabadilika hata uvaaji wako huvutii. Utavaaje T-shirt ya ccm jioni wakati narudi nyumbani? Unakuwa hunivutii hata kidogo. Endelea kua smart na kunivutia kama ilivyokua wakati wa uchumba wetu. Sitaku kinai! Mie langu jicho na nimemaliza, na huyooooooo!
 
haya mama unaweza kueleza tunachangiaje kama sio vitamaa vyao ?

Mbona sisi hatuchepuki pamoja na mauzi yao mengi??

Nadhani mnavyolalamika kuchepuka, mngeelewa kwanza kuwa kikulacho ki nguoni mwako, yaani huyo anayekuibia ni mwanamke mwenzako, kwa hiyo mi nadhani mngekabiliana wenyewe kwanza muweke tabia zenu vizuri halafu tuone sasa wanaume watachepukia wapi, yani kila ukitaka kuchepuka ukutane na mchepuko umetia ngumu unakurudishia kwa mumeo hapo nadhani mngekuwa mmedhibiti kikamilifu hiyo tabia. Ni mtizamo tuu, nina girlfriend wala sio mke ila sijawahi kuchepuka na sitegemei kuchepuka.
 
Nimechungulia tuu, ila la msingi, msiwe munabadilika tabia baada ya kuolewa. Tabia ya uchumba nyingine na tabia ya baada ya kufunga ndoa, nayo hua tofauti. Kwa namna hio nakua sikuelewi. Yani, ulikua unajipendekeza kwa kunionyesha tabia nzuri ili uolewe au? Don't pretend, acha nikujuwe tabia yako before marriage na inasaidia sana. Sote kwa pamoja, tuache kuongopeana, tuwe watu wenye uwazi katika mambo yetu. La mwisho, mwanamke jiweke vizuri kila siku. Usilete mazoea kwenye ndoa. Nilikukuta unajipodoa safi, ndio maana ukanivutia, ulikua una vaa vizuri sana. Baada ya kuolewa na kuzaa, unaanza unabadilika hata uvaaji wako huvutii. Utavaaje T-shirt ya ccm jioni wakati narudi nyumbani? Unakuwa hunivutii hata kidogo. Endelea kua smart na kunivutia kama ilivyokua wakati wa uchumba wetu. Sitaku kinai! Mie langu jicho na nimemaliza, na huyooooooo!

hehehehe Point taken with thanks .
 
Jamani Ladies najua tuko bize na majukumu ya watoto, ndani na nje ya nyumba but, tujitahidi sana kuonekana vizuri zaidi ya wanaume wetu, we better look waaay good than THEM!,no matter what, so they dont get a reason to Ef up!
If our men look good than us, especially physically?!, we need to have another mjadala like this one..lol!
Najua kwa maumbile yetu most of the times is not that easy but at least let's try to make sure they become allergic na michepukos, we better look good than them biatches too. Kama boo anakazana kwenda sijui bar "mwenyewe" kila siku use the same time to nurture yourself, let's say go to the gym and then work out with a HOT! trainer with some hot! Six packs(tusijaribiwe tu..lol!) Anza ku work out at least 3 times a week, ME akisema nae anaanza kwenda gym 3 times a week, go 5 times a week alimradi tuonekani vizuri kuwazidi wao, gym nimetolea mfano tu but am sure there's a lot of other things we can do to look waay better than them(especially physically)
LADIES IF OUR MEN LOOK BETTER THAN US?!, IT'S A RECIPE FOR DISASTER!, AND AN INGREDIENT TO START MICHEPUKOS!

wanaume mmmh Ni viumbe wengine.

Siku moja tumemaliza Meeting ofisini ,baada ya hapo tukawa na break fupi kurefresh mind zetu kabla hatujarudi maofisini
eeeeh story za wanaume ni kasheshe tupu
Mmoja anasemaje yaani mie mke wangu amenyonyesha watoto watatu manyonyo yamelalala so nataka kitu kipya na kila ninayekutana nae lazima ziwa liwe saa sita ,siwezi acha mke ndani nyonyo limelala na mie natafuta mtu nyonyo limelala hata awe mzuri vip simtaki,
Mwingine ooh mie mwanamke naemtaka kwanza namfanyia evaluation awe mkali kuliko wife la sivyo simuhitaji

mwingine ooh mke wangu sasa ana tumbo kubwa baada ya kujifungua watoto wawili ingawa ni mrembo na mie nataka kitu cha flat unapapasa ,unakamatia tumbo bila karaha

Mungu aingilie kati tu

Ni juu ya nini lakini??
 
Ulivyoshabikia hii thread una mchepuko nishajua sasa...

Moja ya sababu ya sisi kuchepuka ni hii... KUHISIWA... yaani kila nikirudi...ulikuwa kwa mwanamke....DAILY... kweli sitchepuka..? wakati mwingine tunawaoneeni huruma kuwaacha na dhambi ya kusema uwongo, bora tuchepuka ili muwe hamtendi dambi ya kutusingizia
 
wanaume mmmh Ni viumbe wengine.

Siku moja tumemaliza Meeting ofisini ,baada ya hapo tukawa na break fupi kurefresh mind zetu kabla hatujarudi maofisini
eeeeh story za wanaume ni kasheshe tupu
Mmoja anasemaje yaani mie mke wangu amenyonyesha watoto watatu manyonyo yamelalala so nataka kitu kipya na kila ninayekutana nae lazima ziwa liwe saa sita ,siwezi acha mke ndani nyonyo limelala na mie natafuta mtu nyonyo limelala hata awe mzuri vip simtaki,
Mwingine ooh mie mwanamke naemtaka kwanza namfanyia evaluation awe mkali kuliko wife la sivyo simuhitaji

mwingine ooh mke wangu sasa ana tumbo kubwa baada ya kujifungua watoto wawili ingawa ni mrembo na mie nataka kitu cha flat unapapasa ,unakamatia tumbo bila karaha

Mungu aingilie kati tu

Ni juu ya nini lakini??
Ndo kama lililokugusa lipo ujirekebishe.... Yaani kama ulivyoipenda ya T0shirt ya CCM
 
Kwa dunia ya sasa wala sioni tofauti ya me na ke. Kupenda ngono kunaanzia kichwani siku hizi hata
wanawake asubuhi anafanya na mmewe lunch time anafanya na mchepuko ni jnsi ya kujicontrol tu ndio maana sisi ni binadamu tumepewa utashi na akili hatuwezi kujifananisha na mbwa au mbuzi!
Wapo wanaume waliotulia na wake zao so sio wote ni wahuni.
 
Ndo kama lililokugusa lipo ujirekebishe.... Yaani kama ulivyoipenda ya T0shirt ya CCM

Brother kama manyonyo yangu yameanguka kwa kunyonyesha nikafanye Plastic surgery or??

Na hayo mengine ukishazaa jamani umbo haliwi tena kama ilivyokuwa Mwanzo tunafanya mazoezi sana lakini kurudi kama awali ni ngumu mkoje nyie

na kama wewe unataka mwanamke mrembo kuliko mie unataka nizaliwe upya ??lakini bado utaenda kutafuta Miss India LoL
Hamna jema nyie
 
....haipendezi kutembea barabarani na mume watu wakafikiri ni mdogo wako wa kiume!

Bora hata mdogo wa kiume unaweza fikiri mtu na mama yake! Kuna siku tulipeleka mjukuu hospital tukakuta me na ke wako na mtoto mgonjwa tukaanza kujiuliza maskini sijui mama wa mtoto yuko wapi mpk kaletwa na bibiyake na baba ake heee kuja kushtuka ile ni couple! Loooh kijana mrefu mwembamba mke ni tinginya akikulia lazima upelekwe MOI!
Jamani kinamam mpendezeeeee!! Punguzeni miili na matumbo hayavutiii kabisa!! Yaani mtu hueleweki kama ni kitunguu au biringanya mme hata hajui aanzie wapi kushika!
 
Back
Top Bottom