Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

mmmh tabia ya mtu pia ina matter, mtu hata umpende vipi, kiuno umkatie kama feni mbovu, ukabe vipi asubuhi umuage na mabusu na uchi umempa jioni umpokee na mabusu sekunde atakayoipata ataenda kutiana tu!!!!
mungu anipunguzie tu wivu mie nisijekufa na presha mboo yake bana acha aitembeze atakavyo...
bad enough ni pale unadhibiti nje ila atamtia hata mtu aliepo ndani ya nyumba shemeji, ndugu wote halali yake

hahahaha shogaa umenifurahisha sana..umeongea na kahasira na kukata katamaa na kawivu na kakiburi hahaha..
sometimea namm huwa nasema sitaki mapresha nikianza kuwaza ntajikuta nakufa na mapresha na kuwakosesha wanangu malez ya.mama huku nikimwacha akiendelea kutesa..ni kumwacha tu maana ipo siku atachoka mwenyewe..usiogope kufaa mamy hakuna atakaedumu hapa duniani what matters ni kwamva muda tu wa kuondoka ndo unatofautiana..
mim atakuja saa saba ntamsubiri mpaka aje namfungulia namwandalia everything tunalala..siuliz chochote..ataamka kesho atarud saa nne siulizi..anaona aibu keshokutwa anarud saa mbili..we kaa kimya tu uone atakavyopata presha akijiuliza ni kitu gani ananiwazia huyu mtu..ila ukiwa mkorofi kugombana sijui nn atakudharau...
 
sio wote bwana, baadhi nakubali lakini asilimia kubwa waume wengi hawashikiki hata apendwe vipi na mkewe atachepuka. Naafiki hilo la kuomba mungu tu.

Sisi pia tunachangia sana wanaume zetu kuchepuka tunachangia kwa asilimia zote
 
hahahaha shogaa umenifurahisha sana..umeongea na kahasira na kukata katamaa na kawivu na kakiburi hahaha..
sometimea namm huwa nasema sitaki mapresha nikianza kuwaza ntajikuta nakufa na mapresha na kuwakosesha wanangu malez ya.mama huku nikimwacha akiendelea kutesa..ni kumwacha tu maana ipo siku atachoka mwenyewe..usiogope kufaa mamy hakuna atakaedumu hapa duniani what matters ni kwamva muda tu wa kuondoka ndo unatofautiana..
mim atakuja saa saba ntamsubiri mpaka aje namfungulia namwandalia everything tunalala..siuliz chochote..ataamka kesho atarud saa nne siulizi..anaona aibu keshokutwa anarud saa mbili..we kaa kimya tu uone atakavyopata presha akijiuliza ni kitu gani ananiwazia huyu mtu..ila ukiwa mkorofi kugombana sijui nn atakudharau...

kufa siogopi as najua ntakufa tu ila binadamu asiniharakishie safari yangu kabla muumba mwenyewe hajanita
ameline hili swala la kukaa kimya inategemea na mwanaume mwenyewe yuko vp
oooh kuna watu ukijifanya bubu ye anajifanya kiziwi sasa kwann kujiumiza bure?
heri niongee nipate nafuu, anaona akikiri kosa na kusema hata sorry ya kinafiki labda dushe yake itakuwa papuchi!!!!
 
sio wote bwana, baadhi nakubali lakini asilimia kubwa waume wengi hawashikiki hata apendwe vipi na mkewe atachepuka. Naafiki hilo la kuomba mungu tu.

kivip mamito

Ndio sio wote mamanzara ila hapa nasemea wale ambao kutwa house gal anashika kila kitu had maji ya mume kuoga atenge housegal unadhan ataona mke anahudumia au housegal wengine.hawawapi waume.zao.mahitaj.stahiki kwa nin.astoke nje akatafte anapopewa ya kustahili wanaume nao sio wote wachepukao
 
Last edited by a moderator:
Ila wanaume laiti mngelijua mnavyo-risk maisha ya wake na watoto wenu na hata maisha yenu pia kutokana tu na michepuko yenu, kwa kweli msingejilegeza kuwa nyie kuchepuka ni lazima.

•Mnatuletea magonjwa huko jamani (sijamaanisha kuwa wanawake hatuleti magonjwa). Mara nyingine Mungu anatupigania, mnachepuka hadi mnahamia huko, mnapata migonjwa yenu, but at the end of the day mnarudi kwa wake zenu, na ndo wanaowabadilisha nepi hadi mnakufa

• Michepuko mingine ni washirikina dunia nzima. Utainamishwa weee hadi utasahau kama una mke na watoto. Watoto watateseka kwa kukosa huduma as if hawana baba. We umekomaa tu kumneemesha mchepuko. Mwingine atataka akumiliki kabisa, so ataenda extra miles atake kumtoa roho mkeo ili abaki yeye (hapa nina ushuhuda heavy). Hujaweka maisha ya mkeo rehani? Mkeo akifa huyo mchepuko atawalea wanao vizuri?

•hizo hela unazohonga michepuko hadi unasahau familia, zisingetumika kuimprove maisha ya familia yako? Wangapi wanawanufaishaa michepuko afu mwisho wa siku wanaachwa tu na suruali zao, kwa aibu wanarudi kwa wake zao hawana chochotee

Mie sio mtakatifu jamani, but naamini Mungu pekee ndo anayeweza kukuchungia mumeo. Tusugue magoti kwa ajili ya waume zetu, kila mtu kwa imani yake. Afu maombi pia yatakulinda dhidi ya adui zako, ikitokea mumeo kachepuka kweli. Yani mchepuko akikupa skadi linarudi fastaaa, inaitwa "GO BACK TO SENDER". Wanaume na nyie mjiombee, msije mkaingia majaribuni. Sio kujiendekeza tu oooh its our nature kucheat eeh
 
tunaomba jukwaa la wanawake mods lolest
back to the topic sina uzoefu but let me try,hiyo tabia nahisi iko kwenye damu na kuna wanaofanya mambo yao kimaficho bila kumuonyesha mke wake na kuna wale wanaoonyesha live kwa mke wake but all in all men are not good pretenders kama sisi mwisho wa siku utajua tu.

Communication inaweza kusaidia,kama kuna mabadiliko mmoja wenu kayaona kwa mwenzake ni vizuri kukaa chini na kuyaongelea bila ku involve outsiders,msiwe watu wa kuweka vitu moyoni.

Uwazi, kila mtu awe wazi kwa mwenzake bila kufichana jambo na kuelezana mapungufu ili mjue mnakabiliana nayo vipi coz unaweza kukuta mmoja wenu ana kitu kinachomkera mwenzake lakini hasemi solution anaona ni kuchepuka. Au kuna jinsi anavyotaka kufanyiwa kitu flani lakini mtu hasemi.

Tupunguze midomo coz kwenye swala zima la kuongea tuna phd,tujue tunaongea nini kwa wakati gani na namna gani,hawa viumbe wanapenda sana mambo ya chini ya pua so ukiwa unawakorofishia vizuri inaweza kusaidia.

La msingi kuliko yote ni kumtegemea Mungu,binadamu hachungiki lakini Mungu akiwa nguzo ya ndoa yenu mambo yanaweza kwenda vizuri,kujiwekea hata mazoea ya kusalia pamoja familia nzima kabla ya kulala na kuwa mnahudhuria nyumba za ibada pamoja,kuna wakati unaweza ukataka kufanya jambo baya lakini kutokana na ukaribu wako na Mungu ukasikia kabisa roho inakusuta na kitu kinakwambia donot do this na unaacha kweli.
 
Kisaikolojia Unapozuia Mtu Fulani Asipate Access Ya Jambo au Kitu Fulani Ndiyo Kwanza Unamchochea Na Kumtia Ndimu Yeye Akifanye au Akijaribu. Sasa Mimi GENTAMYCINE Dume La Mbegu Nimefungua Thread Yako Na Nachangia Kwako Dada Yangu Na Dada Zangu Wengine Wote Na Wengi Wapendwa Humu JF Kwamba HEBU ACHENI KUISHI MAISHA YA FILAMU. Kwa Mfano Sisi Akina Poti Wa Vita Ni Vita Mura MNATULETEA MALAVIDAVI YENU YA FILAMU Hivi Mnategemea TUSIWAKATE VIBAO au TUSIWAPE NAKOZ ZA Kutosha Bila Kusahau Na KUWAGECHA? Acheni Hizo Dada Zetu Hebu Badilikeni! Kingine Siku Hizi Nanyi MNAPENDA KUTOKA SARE KIMATOKEO NA SISI WANAUME ( Kushindana KUCHEPUKA ). Kamwe HAMUWEZI KUSHINDANA na SISI na Mkae MKIJUA KUWA MWANAUME YOYOTE AMEUMBWA NA TABIA ZA MNYAMA Shupavu CHUI ( Hapa Namaanisha Kwamba MWANAUME YOYOTE HATA AWE AMEOA ILA KUWA NA MICHEPUKO NI KITU CHA LAZIMA ILA WANAUME WENZANGU WANACHOKOSEA NI KUTOJIHESHIMU na KUJIONYESHA ) Chui Hata Kama Kakamata Mnyama Na Anapanda Nae Mtini Akiona Mnyama Mwingine Chini Atamuhifadhi Yule Aliyempata Na KUJA au KUANZA KUMNYEMELEA Huyo Mnyama Mwingine. Namalizia Kwa Kusema Tu Kuwa HAKUNA MWANAUME RIJALI HUMU JF ASIYE NA MCHEPUKO au MICHEPUKO na KAMA YUKO BASI HUYO NI BONGE LA BOYA au POPOMA. Na Mchepuko au Kuchepuka Kunamwongezea MWANAUME MAUJUZI na MAUTUNDU Haswa ktk 6*6. Wanaume Wenzangu TUENDELEE TU KUCHEPUKA na HAKUNA KUBAKI NJIA KUU. ( Nimelianzisha Leo NITAKOMA Humu ila Poa Tu )

Sio kosa lenu (Kina Mura) wengi wenu ulimbukeni unawasumbua na UKIMWI utawamaliza sana! Kwanza umefuata nini huku? Ebu mleteeni dera kwanza tumvalishe
 
Hahaaaahahaaaaa! MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION INDEED! Basi yeyeakiwa ana dadisi K na wewe una dadisi. Sampuli za midushelele tu, akirudiunarudi ngoma droooo! Mwaga mboga nimwage ugali, Hii mambo unakaa kimya unaletewa watoto wa 3wa nje, mchezo sasa!

Shosti yangu Amber rose kimenuka tayari anamuacha Wiz khalifa! Hahaaa!

Nimeona hii ya Amber Rose nikabaki mdomo wazi

Nimesoma ndondoo kwamba ameonekana kuwa karibu na Nick Cannon X wa Mariah Carey

Ila huu mwaka naona maceleb kibao wanatwangana talaka tu
 
mi napenda tujadiliane sisi kwa sisi wanawake ivi ni kwa nini wanaume zetu hawatulii(dushelele zao hazitulii kwenye suruali) na mke au mwanamke mmoja?

Yaani utafiti unaonyesha hata ungeyafanya mazuri yote nje atatoka tu awe mlokole au sijui mswahilina.

Je dawa yao ni ipi? Maana tukichekacheka ndo maukimwi hayataisha.

Tupeane mbinu pengine kuna mtu ana mbinu na amemdhibiti wa kwake ili nasi tuige.

Asanteni.

nimeshindwa kuvumilia...nimechungulia tu.......napita huyooooooooo
 
Halafu tabia hii ya wanaume ndio mwanzo wa anguko la familia nyingi......


Mke anavumilia mpaka anakuwa fedup

Anaamua liwalo na liwe

Mwisho ndoa inavaa bukta


Ila wanaume laiti mngelijua mnavyo-risk maisha ya wake na watoto wenu kutokana na michepuko yenu, kwa kweli msingejilegeza kuwa nyie kuchepuka ni lazima.

•Mnatuletea magonjwa huko jamani (sijamaanisha kuwa wanawake hatuleti magonjwa). Mara nyingine Mungu anatupigania, mnachepuka hadi mnahamia huko, mnapita migonjwa yenu, but at the end of the day mnarudi kwa wake zenu, na ndo wanaowabadilisha nepi hadi mnakufa

• Michepuko mingine ni wachawi dunia nzima. Utainamishwa weee hadi utasahau kama una mke na watoto. Watoto watateseka kwa kukosa huduma as if hawana baba. We umekomaa tu kumneenesha mchepuko. Mwingine atataka akumiliki kabisa, so ataenda extra miles atake kumtoa roho mkeo ili abaki yeye (hapa nina ushuhuda heavy). Hujaweka maisha ya mkeo rehani? Mkeo akifa huyo mchepuko atawalea wanao vizuri?

•hizo hela unazohonga michepuko hadi unasahau familia, zisingetumika kuimprove maisha ya familia yako? Wangapi wanawanufaishaa michepuko afu mwisho wa siku wanaachwa tu na suruali zao, kwa aibu wanarudi kwa wake zao hawana chochotee

Mie sio mtakatifu jamani, but naamini Mungu pekee ndo anayeweza kukuchungia mumeo. Tusugue magoti kwa ajili ya waume zetu, kila mtu kwa imani yake. Afu maombi pia yatakulinda dhidi ya adui zako, ikitokea mumeo kachepuka kweli. Yani akikupa skadi linarudi fastaaa, inaitwa "GO BACK TO SENDER". Wanaume na nyie mjiombee, msije mkaingia majaribuni. Sio kujiendekeza tu oooh its our nature kucheat eeh
 
kufa siogopi as najua ntakufa tu ila binadamu asiniharakishie safari yangu kabla muumba mwenyewe hajanita
ameline hili swala la kukaa kimya inategemea na mwanaume mwenyewe yuko vp
oooh kuna watu ukijifanya bubu ye anajifanya kiziwi sasa kwann kujiumiza bure?
heri niongee nipate nafuu, anaona akikiri kosa na kusema hata sorry ya kinafiki labda dushe yake itakuwa papuchi!!!!

hahaha well said ma dia
 
For better for worse asili ya wanaume wana kiburi ukimuona mstaarabu ujue anapretend itu..waongo..wanafiki...wazinzi...tamaaa...na mengine mabaya mabaya tu wamepewa wao..kupenda nako wameumbiwa thats why wanapendapenda hovyo wao hufikiri na kuamua nasi tunahis kisha tunafikiri hapo ndo tofauti..halafu wanawaheshim sana marafik na kuwaamini kuliko wake zao thats why weng wao hujikuta wanapotoka bila kujua ushaur wanaopeana huko mabaa ama vijiweni ni useful kias gani.
cha muhim ni maombi tu i swear hakuna kitu kingine kinachoweza kuwabadilisha ama kuwazuia.unakuta mtu ni mrembo mashallah umejaliwa everything..unajitahid nyumba yako iwe na heshima zote kama mwanaume atakavyo..u give him everything......unatafuta unapigana..i mean sio tegemez lakin baado tu atatoka na secretary...hilousegurl...vishankupe..yaan baasi tu baasi tu...nilikua nanunua gazet mahali siku moja nkakuta wale wanaume wanaokaaga kwenye vijiwe vya magazet wakijadili mpira na siasa etc..wanajadili et nyumba ndogo..mara likoja likaaema toka lakin mheshim mkeo..ukizaa utakua umemkosea heshima usizae nje..we nenda gonga rud home saafi...yaani nilikasirika mpaka nikasahau chenji....
u can see how these men act...yaani anakuheshim anakupa kila kitu lakin badooo anatoka tu...only God Almighty! can solve this...
You nailed it maam!!!!
 
Maombi ni silaha jamani, tuwaombee waume zetu mara kwa mara hakika hizi presha za kuchepuka zitaisha.
Kwa dunia ya sasa hivi, mbinu nyingine hakuna ukisema kumchunga sanasan utajichosha tu. Kitu kingine cha muhimu kama mwanamke timiza wajibu wako ipasavyo. MAOMBI + WAJIBU = NO MICHEPUKO.
 
Back
Top Bottom