kinyoba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,267
- 720
Aisee sasa nyie kina mama na kina dada mbona ni kama mmewaweka wanaume wote kundi moja?!!!! Kuna wanaume hawatoki bwana, sio kila mwanaume ni mtu wa wanawake wengi!! Halafu na nyie mbona mmejifanya malaika. Siku hizi si mnasema ngoma droo mmeamua kukigawa njea kama kawa kama dawa!
By the way samahanini kwa kuwaingilia kunako mjadala.
kweli aisee... Wenyewe wanatoa nje kama hawana akili nzuri siku hizi. Sasa mumeo kama alikuwa anachepuka na mchepuko mmoja halafu akakukuta wewe mwanamke unachepuka na mtu mmoja... Basi hapo ni sawa na umempa ruksa mumeo kuchepuka na michepuko kumi. Siku hizi kama unataka demu wa kugegeda wa fasta fasta bora utongoze mke wa mtu atakukubalia ki urahisi kuliko demu ambaye hajaolewa. Mambo ya kusema oooh eti mnajiachia mnanenepeana sio sababu ya wanaume wengi kutoka nje. Sababu kuu ni nyie wenyewe tabia mbovu, hamjiheshimu.. Biiiiiize kwenye magroup ya whatsapp na facebook na mitandao mingine ya kuuzia sura kuchat na wanaume na kuongelea ngono. Jiheshimuni kwanza ndio muheshimiwe msijidai ninyi ni malaika. Kwani hao wanaume mnaosema wanapenda michepuko mnadhani wanachepuka na akina nani haswa? Ni tunachepuka na wake za watu sana tuuu.... Najua mtanimind lakini poa tu.. Vitu vingine inabidi tuchangie tu hata kama haturuhusiwi.