Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Hahaaaahahaaaaa! MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION INDEED! Basi yeyeakiwa ana dadisi K na wewe una dadisi. Sampuli za midushelele tu, akirudiunarudi ngoma droooo! Mwaga mboga nimwage ugali, Hii mambo unakaa kimya unaletewa watoto wa 3wa nje, mchezo sasa!
Shosti yangu Amber rose kimenuka tayari anamuacha Wiz khalifa! Hahaaa!
wengine kumwaga mboa haiwezekani kaolewa ndoa yenyewe kaibembeleza yeye ana watoto watatu na hapo baba ndo bread winner akishaamwaga mboga kifuatacho.............