Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Mi napenda tujadiliane sisi kwa sisi wanawake ivi ni kwa nini wanaume zetu hawatulii(dushelele zao hazitulii kwenye suruali) na mke au mwanamke mmoja?

Yaani utafiti unaonyesha hata ungeyafanya mazuri yote nje atatoka tu awe mlokole au sijui mswahilina.

Je dawa yao ni ipi? maana tukichekacheka ndo maukimwi hayataisha.

Tupeane mbinu pengine kuna mtu ana mbinu na amemdhibiti wa kwake ili nasi tuige.

Asanteni.
 
Hahahaaaaaaaa! Ndo mmefikia hapa wanawake wenzangu? Loooooh! (Siwanangi wenzangu, ninestuka tu!)

Naonaga watu wanaombe boxer za waume zao, mara sijui kupaka mafuta ya mzeituni, ilimradi tu hali si shwari! Hahaaaaaaaaa! Wangejua kina Yuda nao wamo katikati yao kwenye maombi duuuuuuuh!

DAWA KWA YESU TU! Akichepuka tu ataona kama anaweza na kumchepuka Yesu! Akifika huko hana HAMU kabisaaaa! Itaimbiwa mpaka simama dede kitu zzzzzzzzzzzzz! Concious inawaka moto! Sugua goti dada hilo! Oooooooooh! Wake za watu siku hizi jmosi huwakuti majumbani, wapo kwenye MAOMBIIIIII!

Nyumbq ndogo nazo hazikai jmosi, kwenye VILINGE VYA WAGANGAAA! Wanamaliza tu nazi njia panda! Hahahaaaaaaa! Hawakaubali kushindwaaa! Wewe uwe na mume mzuri hivo una nini, yeye adode ana nini? Mtabanana hapo hapo! Anakurushia kimavi hata cheo hupandi, mumeo anakuona big simba wakati uzazi umekuongeza kidogo tu, anakuona bibi yake si bibi yake kumbe midawa ile! Hahaaaa! (Its not a laughing matter!)
 
Cheating ni stage katika ndoa...what matters ni aftermath...
Ukisusa wenzio wala...

Kwanza kuwa na msimamo; na usipanic...mwanaume ku sex nje ya ndoa inaweza isimaanishe kuwa hampendi mkewe...ni udadisi tu...wakisikia wanawake wa Tanga sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wa bara sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wenye wowowo sijuhi wakoje wanajaribu...

Na in all these experiments wanakuta hakuna jipya...lakini usipotumia busara wanaondoka kimoja japo aendako anajua fika hakuna la ziada...

Ila ukigundua unachitiwa na ukatumia busara kumrudisha mumeo kwenye mstari...itakuwa historia...

Siri kubwa ni kutotoa nafasi...kaba mpaka penati...jumamosi ni mtoko wa familia (na watoto) jumapili ni wa baba na mama...huyo wa pembeni ata enjoy mda gani?

Ukiona mabadiliko jigeuze FBI...si kumlilia Mungu wakati katupa mbinu za kuwalinda waume zetu...

Kingine jipende ili aogope kuwa akikuacha asubuhi jioni umeshapata mume mwingine...

Lazima ujiweke in such a way mumeo anakuwa na wasiwasi wa kukupoteza...ukiona wivu mumeo hana jiulize...labda umejiachia umechuja...
 
Hahaaaahahaaaaa! MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION INDEED! Basi yeyeakiwa ana dadisi K na wewe una dadisi. Sampuli za midushelele tu, akirudiunarudi ngoma droooo! Mwaga mboga nimwage ugali, Hii mambo unakaa kimya unaletewa watoto wa 3wa nje, mchezo sasa!

Shosti yangu Amber rose kimenuka tayari anamuacha Wiz khalifa! Hahaaa!
 
lara 1 ushauri gani huo mamy?...au kwa kuwa ww bado hujajaliwa mume?UTAPATA tu toa mchango positive kidogo.
 
and one should know the time to stay, walk away and to run...

Ingawa hawa ma star wana run hata pale walipotakiwa ku stay...sijui jeuri ya feza au umaarufu? ndio maana ndoa zao hazidumu kabisa...

Mfano Gabrielle alichitiwa na jamaa yake...japo hawakuwa kwenye ndoa...the girl is humble ndio maana leo ameolewa...
Jamaa inawezekana alikuwa trapped mpaka kuzaa lakini his love for Gabby bado iko pale pale....kwa wanaume sex should not be equated with love... a man can have sex with one lady while his heart is with someone else...

Ndio maana kuna wengine wanakuja wanalia humu nimempa mimba binti nisiyempenda nifanyeje...watu mnashangaa...kumbe yeye alikuwa after sex service....
 
Hahaaaaa! Mchango wangu nimetoa very postive namba 3 pale juu! Mimi (nyumba ndogo) na ndugu yangu. nyumba kubwa ni wapinzani wa jadi! Nikitetea nyumba ndogo lazima anichallange na yeye nyumba kubwa kukifuka moshi lazima nije nivae kibwebwe! Hahahaaaa! Sisi ni kama Simba na Yanga, atarudi mwenyewe hapo mda si mda kunipa MAKAVU LIVE yangu utamuona!

SORRY GUYS FOR INSENSITIVITY! Haikulenga kukatisha mtu tamaa bali namchallange big hoise tu!
 
Last edited by a moderator:
Hizo seminar ziko ngapi kwa mwaka? Wakati mwingine unatakiwa uwe na amani tu...you are the one!
Na nikisema kukaba mpaka penati sina maana ya kumyima uhuru...ni kumpumbaza na malovedove ili a enjoy comapny yako...
Nasema hivyo kwa kuwa ukianza kuweka masharti kama unayomwekea mtoto na yenyewe majanga...
Make him enjoy being around you...

Mfano kama anapenda kuangalia mpira Bar...jitahidi uwe unampa company mara kwa mara...hata siku haupo usitarajie kuna demu atachukua siti yako...

Mimi mume wangu naenda nae Bar japo sinywi zaidi ya glas ya wine...na unaona wasichana wanavyokodoa kwa wizi...naona wananiona nuksi...

kweli kuna point hapo kwamba kumbana na je kwenye masemina anaposafirisafiri? mana hapo ndo majanga yanapoanziaga.
 
and one should know the time to stay, walk away and to run...

Ingawa hawa ma star wana run hata pale walipotakiwa ku stay...sijui jeuri ya feza au umaarufu? ndio maana ndoa zao hazidumu kabisa...

Mfano Gabrielle alichitiwa na jamaa yake...japo hawakuwa kwenye ndoa...the girl is humble ndio maana leo ameolewa...
Jamaa inawezekana alikuwa trapped mpaka kuzaa lakini his love for Gabby bado iko pale pale....kwa wanaume sex should not be equated with love... a man can have sex with one lady while his heart is with someone else...

Ndio maana kuna wengine wanakuja wanalia humu nimempa mimba binti nisiyempenda nifanyeje...watu mnashangaa...kumbe yeye alikuwa after sex service....

Hahaaaaaa! Gaby mnafiki tu! Ulimsikia reasons for his first divorse? SILLY N STUPID! Sasa alishi dwa kumvumilia mumewe wa kwanza akaja kumvumilia huyu serengeti boy? Hahahaaaaa! Mapenzi kweli hayana kanuni!

Sawa nakubali wanaume hawawezi kukaa na mwanamke mmoja as a stage! IS IT FAIRKWA MWANAMKE.?
 
Ukiuliza if it is fair or not baaas....ligi hiyo
boys will be boys...

Hahaaaaaa! Gaby mnafiki tu! Ulimsikia reasons for his first divorse? SILLY N STUPID! Sasa alishi dwa kumvumilia mumewe wa kwanza akaja kumvumilia huyu serengeti boy? Hahahaaaaa! Mapenzi kweli hayana kanuni!

Sawa nakubali wanaume hawawezi kukaa na mwanamke mmoja as a stage! IS IT FAIRKWA MWANAMKE.?
 
Mi ninachofanya ni kumfanya akiwa kwangu awe wangu na asipokuwa kwangu akumbuke kuwa kuna Mimi! Yaani hakuna mimi mwingine! So atachepuka lakini mwisho wa saa atakumbuka kuwa kuna mimi! Lol all in all aliyesema men are migrant animals sijui alitamka Dogma? @ Lady nyatu hebu njoo huku utoe ma eksipirience.
 
Hizo seminar ziko ngapi kwa mwaka? Wakati mwingine unatakiwa uwe na amani tu...you are the one!
Na nikisema kukaba mpaka penati sina maana ya kumyima uhuru...ni kumpumbaza na malovedove ili a enjoy comapny yako...
Nasema hivyo kwa kuwa ukianza kuweka masharti kama unayomwekea mtoto na yenyewe majanga...
Make him enjoy being around you...

Mfano kama anapenda kuangalia mpira Bar...jitahidi uwe unampa company mara kwa mara...hata siku haupo usitarajie kuna demu atachukua siti yako...

Mimi mume wangu naenda nae Bar japo sinywi zaidi ya glas ya wine...na unaona wasichana wanavyokodoa kwa wizi...naona wananiona nuksi...

Lol!...Eti wanakuona nuksi!, but gal your husband is one lucky man to have such a brilliant woman!, I hope he knows it. Hata kama mnaenda mahali pamoja you can guarantee there's going to be a constructive conversation and you don't get bored, huwa nashangaa ME wengine jmn anaacha mke mzuri nyumbani anaenda kuokoteza huko nje wa ajabu ajabuu!,kisa anataka kuonja!, ndo maana wanaonja na migonjwa and then they 'burn'
 
Cheating ni stage katika ndoa...what matters ni aftermath...
Ukisusa wenzio wala...

Kwanza kuwa na msimamo; na usipanic...mwanaume ku sex nje ya ndoa inaweza isimaanishe kuwa hampendi mkewe...ni udadisi tu...wakisikia wanawake wa Tanga sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wa bara sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wenye wowowo sijuhi wakoje wanajaribu...

Na in all these experiments wanakuta hakuna jipya...lakini usipotumia busara wanaondoka kimoja japo aendako anajua fika hakuna la ziada...

Ila ukigundua unachitiwa na ukatumia busara kumrudisha mumeo kwenye mstari...itakuwa historia...

Siri kubwa ni kutotoa nafasi...kaba mpaka penati...jumamosi ni mtoko wa familia (na watoto) jumapili ni wa baba na mama...huyo wa pembeni ata enjoy mda gani?

Ukiona mabadiliko jigeuze FBI...si kumlilia Mungu wakati katupa mbinu za kuwalinda waume zetu...

Kingine jipende ili aogope kuwa akikuacha asubuhi jioni umeshapata mume mwingine...

Lazima ujiweke in such a way mumeo anakuwa na wasiwasi wa kukupoteza...ukiona wivu mumeo hana jiulize...labda umejiachia umechuja...

You are always wise and genious. Huwezi kumchunga mwanaume. Matege
 
Last edited by a moderator:
and one should know the time to stay, walk away and to run...

Ingawa hawa ma star wana run hata pale walipotakiwa ku stay...sijui jeuri ya feza au umaarufu? ndio maana ndoa zao hazidumu kabisa...

Mfano Gabrielle alichitiwa na jamaa yake...japo hawakuwa kwenye ndoa...the girl is humble ndio maana leo ameolewa...
Jamaa inawezekana alikuwa trapped mpaka kuzaa lakini his love for Gabby bado iko pale pale....kwa wanaume sex should not be equated with love... a man can have sex with one lady while his heart is with someone else...

Ndio maana kuna wengine wanakuja wanalia humu nimempa mimba binti nisiyempenda nifanyeje...watu mnashangaa...kumbe yeye alikuwa after sex service....

Don't you think Gabby is in for money?, imagine Dwayne angekuwa ME pu.mbu mchosho!,do you think she would've taken him back?!, yaani ka cheat na Mtoto juu!
 
Back
Top Bottom