Nimepiga chabo maana naona mmesahau kufunga mlango!Mie nauliza hawa wanaume wanachepuka na kina nani?
Angekuwa masikini ningesema ni pesa... sidhani kwamba Gabby hana hela ya ku take care of herself if need be...
And the guy is hot...
Kuchiti na mtoto juu si issue...kuchiti ni kuchiti...ila kama mume pesa yake ndefu ina maana mtoto hataharibu budget ya familia...
Kwa mke mwenye mume mwenye ela ya kuunga unga hasira inazidi kupanda kukiwa na mtoto maana unaanza kufikiria kibanda mlichochangia kukijenga na tugari mlivyonunua kwa kujinyima...na fact kuwa mme aki resti in pici kuna third parties watakuja kudai kuwa nao wana haki na hizo mali...ndio maana cheating ya mume mwenye ela ya kawaida inaleta hasira sababu inatishia uchumi wa familia...
Lakini mume kama wa Gabby...ela ipo hata azae watoto 10 nje ya ndoa...
Kuna family friend wetu kazaa nje tena mtoto wa kiume huku wife ana watoto wawili wa kike tu...toka issue ibumburuke mke kawa mbogo...na mke ana pesa ndefu kuliko mume...basi kila siku anaongelea mali...na ameanza kufikiria namna ya kujitenga na mumewe kwenye suala la family investments...ni shiiider
You are always wise and genious. Huwezi kumchunga mwanaume. Matege
Umeambiwa wanawake tu we umekuja kutafuta nini huku????
Hawa ni vitombi tu hata akiiloeka usiku kucha kesho ataenda tu kutmbesha tenaWanaume kutoka nje sometimes kama nature yao vile ila sababu kubwa tunasababisha sie tunabana mchezo sana kila siku tukiombwa tumechoka mara tunaumwa hahahaha hebu tuwape mchezo hadi asubuh lol alafu tuone pumzi za kutoka nje atazitolea wapiiiii........
Kama unayo hio tabia jirekebishe shoga angu
ndo ushangae sasa, bora mim sijachangia chochote, nasoma tu!!!!.Umeambiwa wanawake tu we umekuja kutafuta nini huku????
Hawa ni vitombi tu hata akiiloeka usiku kucha kesho ataenda tu kutmbesha tena
Biblia inasema
' aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo ilivyo'
Kwahyo wale wanaoona na kuamini mwanaume hawawezi kubadirika, itabaki hivyo!
'Vile unavyokiri ndivyo unavyopekea'
Dunia iliumbwa kwa neno!
Tunepewa mamlaka, so unapokiri mwanaume wako hawez kubadirika itakuwa hivyo!
'Mungu ameumba jambo jipya duniani, mwanamke atamlinda mwanaume ( mume ).
Kumlinda huku sio kumfuatilia nk..
Omba Mungu atashughulika nae na hatachepuka!Mungu c mwanadamu hata aseme uongo!
'Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe'
Ndio!
Mwanamke ndo mlinzi ndo mbeba maono ya familia Ndo maana ndoa ikiyumba lawama kwa mama Yes!
Kwa sbb mama hajacheza kwenye nafasi yake.....
Siamini kuwa.mume wangu atacheat kamwe km Mungu aishivyo.
Tatizo letu tukishaolewa basi ht maombi watu wanasahau mpaka mume aanze kuzingua ....
Muda wa kulalamika kuwa.mumeo hajatulia sema na Mungu omba kwa ajili ya mume
Huko nje vimada wanachofanya wanaenda kwa waganga then wananuiza.maneno yao basi!
Nothing new, shetani hana jipya
So nafsi ya.mumeo ikishabebwa u a in trouble!
Raha ya maombi ni silaha na ulinzi wa familia
Na adui anapopanga unaonyeshwa kwny ulimwengu wa roho na unaomba basi na.ukishaonyesha ni kuwa ushamshinda adui!
Coz Mungu hawatupi walio wake atakufunulia tu yajayo.
Omba omba omba hyo ndo dawa
Coz lucifer sshiv ana dili na hii institutions kuliko mnavyofikiria.
Maoni yangu!
Kwa bahati mbaya nimejikuta nimefungua
Hawa ni vitombi tu hata akiiloeka usiku kucha kesho ataenda tu kutmbesha tena
Akirudi tu mvue suruali umnuse dushelee utajua tu na akijua unamfatilia kwa kumnusa ataacha kuchepuka
Mpwa umekuja kufanya nini huku?
Wanaume kutoka nje sometimes kama nature yao vile ila sababu kubwa tunasababisha sie tunabana mchezo sana kila siku tukiombwa tumechoka mara tunaumwa hahahaha hebu tuwape mchezo hadi asubuh lol alafu tuone pumzi za kutoka nje atazitolea wapiiiii........
Kama unayo hio tabia jirekebishe shoga angu
Kwahyo mjomba anapewa mzigo hadi asubuhi?