Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwani wanaume wanachepuka na nani kama siyo ninyi wanawake. Dont be bias bwana....
 
Halafu tabia hii ya wanaume ndio mwanzo wa anguko la familia nyingi......


Mke anavumilia mpaka anakuwa fedup

Anaamua liwalo na liwe

Mwisho ndoa inavaa bukta

Kweli kila mtu ana matatizo kwenye ndoa yake, but tunatofautiana kwenye jinsi ya kuyasolve matatizo hayo. Kuna watu wana roho nyepesi mno, ataamua bora na yeye ajichepukie tu ili apunguze stress zake. Mwingine ataamua ni bora tu mtengane. Mwingine ataamua kupiga goti kwa Mungu na mwingine ataamua na yeye aende kwa waganga ili amdhibiti vizuri mmewe, haya hujapewa tu limbwata ukawa kama ndondocha??
Please msijilegeze kuwa hamuwezi mkatulia kwenye ndoa zenu. Na sisi wanawake, tusikurupuke kwenye kufanya maamuzi unapogundua mumeo anachepuka. Kila maamuzi utakayoyafanya kwa akili za kibinadamu, jua u are just worsening the situation
 
hivi ni wanawake tu oooooooh shit am very sooorrry daaah nimekuta mnavaa aiseee, nimekosea njia
kwani hakuna njia ya kutokea upande wa pili maana hii si yangu kumbe ?
 
Angekuwa masikini ningesema ni pesa... sidhani kwamba Gabby hana hela ya ku take care of herself if need be...
And the guy is hot...

Kuchiti na mtoto juu si issue...kuchiti ni kuchiti...ila kama mume pesa yake ndefu ina maana mtoto hataharibu budget ya familia...

Kwa mke mwenye mume mwenye ela ya kuunga unga hasira inazidi kupanda kukiwa na mtoto maana unaanza kufikiria kibanda mlichochangia kukijenga na tugari mlivyonunua kwa kujinyima...na fact kuwa mme aki resti in pici kuna third parties watakuja kudai kuwa nao wana haki na hizo mali...ndio maana cheating ya mume mwenye ela ya kawaida inaleta hasira sababu inatishia uchumi wa familia...

Lakini mume kama wa Gabby...ela ipo hata azae watoto 10 nje ya ndoa...

Kuna family friend wetu kazaa nje tena mtoto wa kiume huku wife ana watoto wawili wa kike tu...toka issue ibumburuke mke kawa mbogo...na mke ana pesa ndefu kuliko mume...basi kila siku anaongelea mali...na ameanza kufikiria namna ya kujitenga na mumewe kwenye suala la family investments...ni shiiider

Don't you think Gabby is in for money?, imagine Dwayne angekuwa ME pu.mbu mchosho!,do you think she would've taken him back?!, yaani ka cheat na Mtoto juu!
 
no way out ya kumdhibiti mwanaume, ni yeye mwenyewe busara yake ndio anaweza kudhibiti hisia zake..
Kwa hakika japo mimi mwanamke lakini wanaume ndivyo walivyoumbwa kuwa na hisia za matamanio kushinda wanawake...Mwanamme anaweza toka fanya na wewe na baada ya masaa akatoka nje ya nyumba na kumuona mwanamke mwingine kutamani kufanya nae...Hiyo ni maumbile...

Ila sisi wanawake ni tofauti kidogo...Tukishapata baasi tunaridhika labda hadi kesho kutwa yake au kesho yake kama hujaridhishwa vizuri..

Ndio maana baadhi ya Tamaduni mfano za AFrica zinaruhusu mwanamme kuoa mke zaidi ya mmoja...Au baadhi ya Dini zinaruhusu mwanamme kumiliki mke zaidi ya mmoja sababu kuna wanaume wamepewa au wamejaliwa nguvu na matamanio makubwa mwanamke mmoja kumridhisha inakuwa issue la sivyo huyo mwanamke atakoma atatoka na pichu mkononi akimbie siku.....

Wanawake kinachopaswa ni kuwa wavumilivu, na kuwatimizia waume zetu, usimnyime mmeo akitaka wewe mwanamke, mpe kama ni mzima huumwi mpe mmeoana ili mpeane....Usipompa wewe watampa wengine...

Kuna wanaume ambao wamejaliwa busara ya kuweza kucontrol hisia zao, ila wengine hawapo hivyo ndipo ikisimama hutafuta tuu wakuwa nae...Hao ndio wale wanaopenda kuchapachapa hata ndugu wao twende...Hawana busara hawa wala heshima...

Haya yanayofanywa sasa hivi na wanaume wa leo Si kama hayakuwepo enzi za mama zetu, yalikuwepo ila yalikuwa yanafanywa kwa kificho, na mama akigundua alikuwa anastahmili sana...japo sasa imezidi ila ni sababu pia na hali ya maisha ilivyobadilika mfano; mavazi ya sasa ya sisi wanawake yanachangia kuongeza matamanio yao nk.

Mwanaume ni kiumbe amaye hutamani sehemu mbali mbali za mwanamke, mfano mwingine akiona Ziwa tuu yeye uuuhh hoi, mwingine paja yu hoi na hivi vimekuwa wazi sana katika enzi hizi...hasa hahahaha samahani kwa hili KWA WALE WAVAAJI mfano zile skin tight zetu ambazo enzi hizo zilikuwa zinavaliwa ndani sasa zinavaliwa nje na mtu kutembea nazo blouse ikiwa fupi....Dah utakuta mtu mshepu huo....amevaa ile, Vagina yoote shape yake inaonekana, Kalio linaonekana lilivyokaa, ziwa kaweka jeki loote lipo juu akiinama tuu limechomoka...Dah lazima wachepuke, lazima akikutana na mwanamke kama huyu na hisia zake zikiwa karibu ataharibu au atatamani....

Yatubidi sisi tukubali mazingira, tuongee na wenzetu hao wanaume, tuvumilie ndivyo hivyo tena...Ila na watoto tunaowakuza wakiume tuwalee katika mazingira ya kuwafahamisha hali ilivyo, wajitambue wawe wenye busara na kuelewa wanawake wapo hawaishi kila kukicha wanazaliwa, athamini mwanamke, athamini mwanamke mwenye tabia njema...nk...

NDIYO MAONI YANGU







Mi napenda tujadiliane sisi kwa sisi wanawake ivi ni kwa nini wanaume zetu hawatulii(dushelele zao hazitulii kwenye suruali) na mke au mwanamke mmoja?

Yaani utafiti unaonyesha hata ungeyafanya mazuri yote nje atatoka tu awe mlokole au sijui mswahilina.

Je dawa yao ni ipi? maana tukichekacheka ndo maukimwi hayataisha.

Tupeane mbinu pengine kuna mtu ana mbinu na amemdhibiti wa kwake ili nasi tuige.

Asanteni.
 
and one should know the time to stay, walk away and to run...

Ingawa hawa ma star wana run hata pale walipotakiwa ku stay...sijui jeuri ya feza au umaarufu? ndio maana ndoa zao hazidumu kabisa...

Mfano Gabrielle alichitiwa na jamaa yake...japo hawakuwa kwenye ndoa...the girl is humble ndio maana leo ameolewa...
Jamaa inawezekana alikuwa trapped mpaka kuzaa lakini his love for Gabby bado iko pale pale....kwa wanaume sex should not be equated with love... a man can have sex with one lady while his heart is with someone else...

Ndio maana kuna wengine wanakuja wanalia humu nimempa mimba binti nisiyempenda nifanyeje...watu mnashangaa...kumbe yeye alikuwa after sex service....

Ila maisha haya jamani..mpaka kuletewa mtoto si manake hata kinga zimedunda! Mkistuka wote mnakohoa mfululizo...
 
kwa kweli kwa uvumilivu wanawake wanaongoza..ila ikifikia hatua mtu umechoka ndo unapoonekana mwanamke mbaya,umebadilika..na kila kitu kibaya juu yako kitasemwa..hakuna anaejiuliza imekuwaje hivyo?
Halafu tabia hii ya wanaume ndio mwanzo wa anguko la familia nyingi......


Mke anavumilia mpaka anakuwa fedup


Anaamua liwalo na liwe

Mwisho ndoa inavaa bukta
 
kwa kweli kwa uvumilivu wanawake wanaongoza..ila ikifikia hatua mtu umechoka ndo unapoonekana mwanamke mbaya,umebadilika..na kila kitu kibaya juu yako kitasemwa..hakuna anaejiuliza imekuwaje hivyo?

Na kuishia kuimbiwa mapambio ya...mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba na mikono yake....Hivi ni mikono ya mwanamke tu ndio inatakiwa 'kushikilia' ndoa?
 
hivi ni wanawake tu oooooooh shit am very sooorrry daaah nimekuta mnavaa aiseee, nimekosea njia
kwani hakuna njia ya kutokea upande wa pili maana hii si yangu kumbe ?

Aah bwana...rudi ulikotokea...mpaka ukatafute njia upande wa pili si utakutana na wavaaji wengine...!
 
Na kuishia kuimbiwa mapambio ya...mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba na mikono yake....Hivi ni mikono ya mwanamke tu ndio inatakiwa 'kushikilia' ndoa?

Ndo hapo sasa....wanaume wanaposhindwa kutumia akili zao vizuri ndo mambo ya familia huwa yanaharibika
 
Sisi pia tunachangia sana wanaume zetu kuchepuka tunachangia kwa asilimia zote

meona eeeh mwingine akishaolewa anajichia kama alikuwa portable atafutukaje, hajijali tena no mazoezi, mapenzi yote anahamisha kwa watoto kujiweka sop sop mpaka asikie kuna mtoko plus gubu mwanaume hapo akitegwa kidogo lazima achepuke
 
jamani dawa yao hawa vijanaume vilunga nyembe na vyenye kuvyonza kila kona ya mtaa dawa yao ni
moja ni kuwakabidhi kwa Mungu na amaombi ya nguvu hapo watakuwa wamekula mweleka hata wakienda kuduu
dude lao halikamati helikopta linapaki kulalama na mwishoe ndo anajifunza kumbe mke ni bora kuliko hao vishakunaku
vyake atatatulia na kumpa Yesu maisha yake atatulia katika ndoa ambayo Mungu amempa

kwanini shostito mwenzangu uteseke na janaume la namna hiyo lipeleke kwenye maombi tu litanyoosha mikono juu na
kukurudia wewe laazizi wake wa ndoa huo ndo mpango mzima
 
Ungejua 99.99 ya watembea nje ya ndoa hawatumii kinga usingemshangaa mume wa Gabby...

Mtu mroho unadhani anakubali kula ndizi na ganda...angekuwa anajali kiasi cha kujua kuna kinga asingechiti in the first place...hawatumii kinga hawa...


Ila maisha haya jamani..mpaka kuletewa mtoto si manake hata kinga zimedunda! Mkistuka wote mnakohoa mfululizo...
 
Mi pia naamini kwenye sala...si kumuombea mume tu ila kuwa na tamaduni ya kusali pamoja kama familia...na kukemea mapepo na vishawishi vyote vya duniani...daily


jamani dawa yao hawa vijanaume vilunga nyembe na vyenye kuvyonza kila kona ya mtaa dawa yao ni
moja ni kuwakabidhi kwa Mungu na amaombi ya nguvu hapo watakuwa wamekula mweleka hata wakienda kuduu
dude lao halikamati helikopta linapaki kulalama na mwishoe ndo anajifunza kumbe mke ni bora kuliko hao vishakunaku
vyake atatatulia na kumpa Yesu maisha yake atatulia katika ndoa ambayo Mungu amempa

kwanini shostito mwenzangu uteseke na janaume la namna hiyo lipeleke kwenye maombi tu litanyoosha mikono juu na
kukurudia wewe laazizi wake wa ndoa huo ndo mpango mzima
 
Cheating ni stage katika ndoa...what matters ni aftermath...
Ukisusa wenzio wala...

Kwanza kuwa na msimamo; na usipanic...mwanaume ku sex nje ya ndoa inaweza isimaanishe kuwa hampendi mkewe...ni udadisi tu...wakisikia wanawake wa Tanga sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wa bara sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wenye wowowo sijuhi wakoje wanajaribu...

Na in all these experiments wanakuta hakuna jipya...lakini usipotumia busara wanaondoka kimoja japo aendako anajua fika hakuna la ziada...

Ila ukigundua unachitiwa na ukatumia busara kumrudisha mumeo kwenye mstari...itakuwa historia...

Siri kubwa ni kutotoa nafasi...kaba mpaka penati...jumamosi ni mtoko wa familia (na watoto) jumapili ni wa baba na mama...huyo wa pembeni ata enjoy mda gani?

Ukiona mabadiliko jigeuze FBI...si kumlilia Mungu wakati katupa mbinu za kuwalinda waume zetu...

Kingine jipende ili aogope kuwa akikuacha asubuhi jioni umeshapata mume mwingine...

Lazima ujiweke in such a way mumeo anakuwa na wasiwasi wa kukupoteza...ukiona wivu mumeo hana jiulize...labda umejiachia umechuja...


you nailed itttt
 
Hahahaaaaaaaa! Ndo mmefikia hapa wanawake wenzangu? Loooooh! (Siwanangi wenzangu, ninestuka tu!)

Naonaga watu wanaombe boxer za waume zao, mara sijui kupaka mafuta ya mzeituni, ilimradi tu hali si shwari! Hahaaaaaaaaa! Wangejua kina Yuda nao wamo katikati yao kwenye maombi duuuuuuuh!

DAWA KWA YESU TU! Akichepuka tu ataona kama anaweza na kumchepuka Yesu! Akifika huko hana HAMU kabisaaaa! Itaimbiwa mpaka simama dede kitu zzzzzzzzzzzzz! Concious inawaka moto! Sugua goti dada hilo! Oooooooooh! Wake za watu siku hizi jmosi huwakuti majumbani, wapo kwenye MAOMBIIIIII!

Nyumbq ndogo nazo hazikai jmosi, kwenye VILINGE VYA WAGANGAAA! Wanamaliza tu nazi njia panda! Hahahaaaaaaa! Hawakaubali kushindwaaa! Wewe uwe na mume mzuri hivo una nini, yeye adode ana nini? Mtabanana hapo hapo! Anakurushia kimavi hata cheo hupandi, mumeo anakuona big simba wakati uzazi umek


We lara 1 umewaza nini hii kitu inaukweli mwanaume au binadamu hachungwi we umekazana kulinda coco yeye anaibukia zanzibar :angry:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom