Biblia inasema
' aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo ilivyo'
Kwahyo wale wanaoona na kuamini mwanaume hawawezi kubadirika, itabaki hivyo!
'Vile unavyokiri ndivyo unavyopekea'
Dunia iliumbwa kwa neno!
Tunepewa mamlaka, so unapokiri mwanaume wako hawez kubadirika itakuwa hivyo!
'Mungu ameumba jambo jipya duniani, mwanamke atamlinda mwanaume ( mume ).
Kumlinda huku sio kumfuatilia nk..
Omba Mungu atashughulika nae na hatachepuka!Mungu c mwanadamu hata aseme uongo!
'Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe'
Ndio!
Mwanamke ndo mlinzi ndo mbeba maono ya familia Ndo maana ndoa ikiyumba lawama kwa mama Yes!
Kwa sbb mama hajacheza kwenye nafasi yake.....
Siamini kuwa.mume wangu atacheat kamwe km Mungu aishivyo.
Tatizo letu tukishaolewa basi ht maombi watu wanasahau mpaka mume aanze kuzingua ....
Muda wa kulalamika kuwa.mumeo hajatulia sema na Mungu omba kwa ajili ya mume
Huko nje vimada wanachofanya wanaenda kwa waganga then wananuiza.maneno yao basi!
Nothing new, shetani hana jipya
So nafsi ya.mumeo ikishabebwa u a in trouble!
Raha ya maombi ni silaha na ulinzi wa familia
Na adui anapopanga unaonyeshwa kwny ulimwengu wa roho na unaomba basi na.ukishaonyesha ni kuwa ushamshinda adui!
Coz Mungu hawatupi walio wake atakufunulia tu yajayo.
Omba omba omba hyo ndo dawa
Coz lucifer sshiv ana dili na hii institutions kuliko mnavyofikiria.
Maoni yangu!