Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,165
- 41,903
Nimekupenda bure! Nina imani kwa mane no haya umeponya wengi
Amina
Mungu atusaidie wanawake tujitambue
Nimekupenda bure! Nina imani kwa mane no haya umeponya wengi
Anhaa kumbe christine ibrahim uko engaged....!! Basi sina usemi.
Jamani toka 2003, 3 yrs kabla ya ndoa na 9yrs sasa after ndoa sijawahi chepuka lknlkn kinachoniudhi no wanawake kudanganyana na kukosa kujiamini. Utasikia wanaume nyie mbwa tu, hakuna mwanaume asiye na mchepuko.ukishawaza tu hayo hutaishi kwa a man I wala kufurahia ndoa
Sisi pia tunachangia sana wanaume zetu kuchepuka tunachangia kwa asilimia zote
Akirudi tu mvue suruali umnuse dushelee utajua tu na akijua unamfatilia kwa kumnusa ataacha kuchepuka
wengine wanachepukia sehemu safi kama guest house etc ina maana huyu akimaliza anaoga anajisafisha utamjua mama
Cheating ni stage katika ndoa...what matters ni aftermath...
Ukisusa wenzio wala...
Kwanza kuwa na msimamo; na usipanic...mwanaume ku sex nje ya ndoa inaweza isimaanishe kuwa hampendi mkewe...ni udadisi tu...wakisikia wanawake wa Tanga sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wa bara sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wenye wowowo sijuhi wakoje wanajaribu...
Na in all these experiments wanakuta hakuna jipya...lakini usipotumia busara wanaondoka kimoja japo aendako anajua fika hakuna la ziada...
Ila ukigundua unachitiwa na ukatumia busara kumrudisha mumeo kwenye mstari...itakuwa historia...
Siri kubwa ni kutotoa nafasi...kaba mpaka penati...jumamosi ni mtoko wa familia (na watoto) jumapili ni wa baba na mama...huyo wa pembeni ata enjoy mda gani?
Ukiona mabadiliko jigeuze FBI...si kumlilia Mungu wakati katupa mbinu za kuwalinda waume zetu...
Kingine jipende ili aogope kuwa akikuacha asubuhi jioni umeshapata mume mwingine...
Lazima ujiweke in such a way mumeo anakuwa na wasiwasi wa kukupoteza...ukiona wivu mumeo hana jiulize...labda umejiachia umechuja...
Shika kama ya moto ujue imetoka kutumika
Mbona wacheka kulikoni?Hahahaa haaaa
Mbona wacheka kulikoni?
haya mama unaweza kueleza tunachangiaje kama sio vitamaa vyao ?
Mbona sisi hatuchepuki pamoja na mauzi yao mengi??
Wanaume kutoka nje sometimes kama nature yao vile ila sababu kubwa tunasababisha sie tunabana mchezo sana kila siku tukiombwa tumechoka mara tunaumwa hahahaha hebu tuwape mchezo hadi asubuh lol alafu tuone pumzi za kutoka nje atazitolea wapiiiii........
Kama unayo hio tabia jirekebishe shoga angu
Yaani Jane kila nikikutana na wewe lazima niitafakari hiyo signature yakoUtofauti ni kutaka na kuhitaj
Mwanaume anahitaji sex muda wowoote sasa kama haupo ndo anakimbilia Kwa mwingine
invest what you are willing to lose