Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Escapism
ɪˈskeɪpɪz(&#601😉m,ɛ-/Submit
noun
the tendency to seek distraction and relief from unpleasant realities, especially by seeking entertainment or engaging in fantasy.
"virtual reality offers a form of escapism"
synonyms: fantasy, fantasizing, dreaming, daydreaming, daydreams, reverie, romance, illusion(s), fancy, imagination, flight(s) of fancy, pipe dreams, castles in the air, castles in Spain, wishful thinking, wool-gathering; informalpie in the sky
"musicals always do well in a recession because people want escapism"

Kwahyo unataka kumaanisha kuna mtu anatafuta attention?
 
Hahaha huwezi kuamini babu, vijana hawaogopi binduki hii. Halafu kuna anaeuza cv, ooh niko udsm bcom 2nd year. Hata sijubu manake watoto wanajiadvertise kwa mama yao mzazi!
dunia hii!
Hivi ni kweli Komando wangu hata wewe unajaziwa PM?

Nashindwa kuelewa kwa kweli....Labda kwa sababu bongo zenyewe zimesha-expire!
 
Hahah umenikumbusha wiki iliyopita kwenye game ya Real Madrid Legends pale Taifa kuna tiketi nilikuwa nagawa BUREE za VIP sasa kuna binti nikamfata nimsalimie nimuulize chochote kama anajua jina lolote la mchezaji wa Real Madrid Legends huwezi amini binti aligoma kuitikia salamu sijui alihisi akiitikia nitamtongoza maskini ya Mungu.


||Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for couple of days||

Kuna mmoja alikuja kwangu katimuliwa na jamaa yake!! Namuhoji then analeta nyodo, nilimpa makavu, kama hujisikii kujieleza nenda!! Utakapojisikia uje, wacha alie na kuomba msamaha! Baada ya hapo alinyoosha maelezo bila kuulizwa
 
Hata kama hazijai, lakini zinakurupukaga ghafla once in a while unabaki unashangaa tu.

Kuna watu hawana adabu kwa kweli, anakurupuka wakati wengine tunashare id/pasiwedi zetu na mazombie.

Hivi ni kweli Komando wangu hata wewe unajaziwa PM?

Nashindwa kuelewa kwa kweli....Labda kwa sababu bongo zenyewe zimesha-expire!
 
Tulia kaka, nimeotesha viazi na alizeti. Nikivuna tu nakuita nakupikia chipsi. Afu jogoo ukucha unazidi kukomaa.
halafu ule mwaliko wa lanchi jamani toka mwaka gani sijui hadi leo sijapewa...
 
Sasa wewe nisaidie,maana nimemuuliza missneddy hajajibu,nikipost hi,hataki je nikitiririka baada ya hiyo hi,si ndo nitakuwa nampotezea muda zaidi? wakati mwingine Hi,inafungua mazungumzo kama mtu ana muda wa kuchat badala ya kuandika ukurasa mzima wakati mtu hamfahamiani.

tunatofautiana, mimi sihitaji hadi niwe namfahamu mtu ndio nichat nae huko pm. nikiwa na muda nakujibu tu hiyo hi yako.
 
Last edited by a moderator:
tunatofautiana, mimi sihitaji hadi niwe namfahamu mtu ndio nichat nae huko pm. nikiwa na muda nakujibu tu hiyo hi yako.

Ila zangu tu ndio hujibu!!


||Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for couple of days||
 
That's very true...bora mitongozo kuliko umbea...umbea umekaribia kuiua JF MMU...
Kuna kipindi nilihama jukwaa nkajiendea international forum kuongea na watu walio serious...
Maana na kwenye siasa ni full kushauti...

Unakaribishwa na jukwaa la wakenya, tunapeana za uso tu mule
 
Tulia kaka, nimeotesha viazi na alizeti. Nikivuna tu nakuita nakupikia chipsi. Afu jogoo ukucha unazidi kukomaa.

ngoja nitulie mwanakwetu miye....nani asiyetaka kupikiwa chips na dada yake!!!
 
Hahah umenikumbusha wiki iliyopita kwenye game ya Real Madrid Legends pale Taifa kuna tiketi nilikuwa nagawa BUREE za VIP sasa kuna binti nikamfata nimsalimie nimuulize chochote kama anajua jina lolote la mchezaji wa Real Madrid Legends huwezi amini binti aligoma kuitikia salamu sijui alihisi akiitikia nitamtongoza maskini ya Mungu.


||Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for couple of days||
Halafu we Bazaz nilikusaka kwenye simu sijakupata.
 
Omba mungu mvua zisigome. Afu ubebe na tomato sosi tafadhali, na dompo ya mwenyeji. Shem wako anakunywa black label ama balentines kama umefulia
ngoja nitulie mwanakwetu miye....nani asiyetaka kupikiwa chips na dada yake!!!
 
Back
Top Bottom