Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Hi wana MMU hii inawahusu nyie tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:

1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .

2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.

3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.

Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue

NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.

Sawa miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Nashukuruuuu MMEJUA MI SIO MGUMBAAAA! Ovary zina kwaliti! Akiwa wa kiume nitamuita Zinc akiwa wa kike Diabler! Uniletee kigari cha mtoto

kama ni kibebi woka tu umepata...sema kingine :becky:
 
mie taratibu naelekea jamii intelligence🙂

That's very true...bora mitongozo kuliko umbea...umbea umekaribia kuiua JF MMU...
Kuna kipindi nilihama jukwaa nkajiendea international forum kuongea na watu walio serious...
Maana na kwenye siasa ni full kushauti...
 
dah, inabidi nianze twisheni ya kupiga voko, nilikuwa nashangaa kila nikitupia "hai" kimyaaa, "hai"...wapi!
 
hili la id ngeni limepiku zingine zote,hapo ndipo inapoonyesha kuwa wenye multiple ids ni wengi sana,mi mwenyewe huwa nashangaa pm id sijawai kuiona popote humu
 
mvuto ndo kila kitu mambo ya tangulia nakuja inahuuuu hahahaha lol usijilambie gizani ha second born njoo kwake akupe mbegu lol afu hubby wangu yuko around usinitie ubayani lol
Hahahaaaaaaaa! NDO UJISHANGAE MKE WA MTU KUMSHOBOKEA NGAMIA WA MAONESHOOO! Huna hayaaaaa! Aaaah wapi simtangulizi, naneda nae hivo hivo, kwanza hb! Six packs hanaa, utapewaje kila kitu! Unamsifia watu8 six packs, JICHO, SEXY EYE umelisahau! Hahaaaaaaa! Sasa jiulize mzigoni lile jicho likilegea linakuwajeee?Haahaaaaaaa! Usinisambazeeeeeeee! Ukinisambaza nakusuta!

Hubby wako ana jicho kama lile, we jinyime tu utamu! Shauri yako! Party ya mwaka huu shutuu ninyimwe kuja na baba kijacho, na alivo mbabae? Mmmmmmh! Nitakaa jikoni kukumbuka the good old times! Afu umemsahau mgiriki Vindiesel? Sijui anabwekea wapi! Analipa nae yule?

Ukiambiwa uchague Vindiesel na watu8 utamchagua nani? Wala usijibu mi nishajua utayemchagua maana mmoja kuna siku alikuchombeza ulimtoa mdimaaa! Nikasema swali lilishapata jibu! Hahaaaaaaa! Sikusambazi shoga angu mie! Ila uache kumfaa muhusika mmoja nyuma nyumaa! Mstiri mumemo!

Ngoja nipige pasi mie zama zangu zimekwishaaaa JF! Ngamia wa Maonesho nawaangalia kwa mbali!
 
Last edited by a moderator:
hili la id ngeni limepiku zingine zote,hapo ndipo inapoonyesha kuwa wenye multiple ids ni wengi sana,mi mwenyewe huwa nashangaa pm id sijawai kuiona popote humu

meona eeeeh unaona vuuuup hata huelewi
 
hahahahaa nikiblock kuna watu nawasiliana nao kwa mambo muhimu

kama ni mambo muhimu wape nambari yako ya simu...

mbona wengine pm zetu zina makufuli hadi yashaota kutu na maisha yanasonga...!!!
 
Back
Top Bottom