Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,175
- 111,115
Kwaivo umewapanga, maana sentensi ina uwingi hiyo
wauliza kipedo kwa shehee...
Kwaivo umewapanga, maana sentensi ina uwingi hiyo
hili la id ngeni limepiku zingine zote,hapo ndipo inapoonyesha kuwa wenye multiple ids ni wengi sana,mi mwenyewe huwa nashangaa pm id sijawai kuiona popote humu
wauliza kipedo kwa shehee...
Sasa wewe nisaidie,maana nimemuuliza missneddy hajajibu,nikipost hi,hataki je nikitiririka baada ya hiyo hi,si ndo nitakuwa nampotezea muda zaidi? wakati mwingine Hi,inafungua mazungumzo kama mtu ana muda wa kuchat badala ya kuandika ukurasa mzima wakati mtu hamfahamiani.wasiotaka pms wameblock zisiingie. miss nedy anataka ila vigezo na masharti mzingatie.
Ha haa mi nilijua maekson tu!
kwa aidii hii ni huyo tu...!!!
hao wengine kila mmoja na aidii yake...
Aaaaah! Sio baby walker! Kidude 60,000 tu? Nataka baby cradle, baby stroller kama ya Mange, na ukiweka hio baby walker sio mbayaa!kama ni kibebi woka tu umepata...sema kingine :becky:
Hahahaaaaaaaa! NDO UJISHANGAE MKE WA MTU KUMSHOBOKEA NGAMIA WA MAONESHOOO! Huna hayaaaaa! Aaaah wapi simtangulizi, naneda nae hivo hivo, kwanza hb! Six packs hanaa, utapewaje kila kitu! Unamsifia watu8 six packs, JICHO, SEXY EYE umelisahau! Hahaaaaaaa! Sasa jiulize mzigoni lile jicho likilegea linakuwajeee?Haahaaaaaaa! Usinisambazeeeeeeee! Ukinisambaza nakusuta!
Hubby wako ana jicho kama lile, we jinyime tu utamu! Shauri yako! Party ya mwaka huu shutuu ninyimwe kuja na baba kijacho, na alivo mbabae? Mmmmmmh! Nitakaa jikoni kukumbuka the good old times! Afu umemsahau mgiriki Vindiesel? Sijui anabwekea wapi! Analipa nae yule?
Ukiambiwa uchague Vindiesel na watu8 utamchagua nani? Wala usijibu mi nishajua utayemchagua maana mmoja kuna siku alikuchombeza ulimtoa mdimaaa! Nikasema swali lilishapata jibu! Hahaaaaaaa! Sikusambazi shoga angu mie! Ila uache kumfaa muhusika mmoja nyuma nyumaa! Mstiri mumemo!
Ngoja nipige pasi mie zama zangu zimekwishaaaa JF! Ngamia wa Maonesho nawaangalia kwa mbali!
kwa muda mrefu nimekua nikituma kero mbalimbali katika tovuti hii inayoitwa ya wanainchi lakini ni takribani siku 30 sasa sijapewa majibu,na baadhi ya vitu nilivyouliza naamini vilihitaji majibu ya kauli tu,hayahitaji data au mtu aende maktaba.
japokua wakati inazinduliwa siasa kibao zilitolewa ikiwa ni pamoja na viapo,kuwa sasa wananchi wameshapata sehemu ya kutolea kero zao,mfano nilipo tuma kero yangu ya tar.2/9/2007.ujumbe uliofuatia ni kwamba kero yako imepokelewa,fuatilia majibu yako kuanzia tar.7/9/2007.nikasema dah!hii kweli kasi mpya,kumbe loooooh!yaleyaleeeeeeeee ya mafaili,bosi hayupo,amesafiri,ishu yako ngumu,lete mshiko faili limepotea n.k
lets comment,website hii ilikula mamilioni ya fedha kwa kufanya mzaha namna hii?kwanini kwa mfano sisi wana jambo forums,kila mtu ana kazi ama yupo shule,lakini tunakata ishu humu kama hatuna akili nzuri,na miradi yetu inasonga mbele vilevile,
nadhani tuwazodoe hawa watu,maybe ama hawasomi,au ni urasimu ule ulee wa business as ussual.
swali langu lilikuwa hivi.(mara kadhaa nimekua nikifuatilia kupewa kiwanja kwa ajili ya ujenzi pale mugumu-serengeti inakua ni vigumu kupata hii ni kutokana na ukweli kwamba watendaji wanadai michoro bado ipo wizarani hivyo zoezi la kugawa viwanja haliwezi kufanyika.
na majibu haya ni tangia oct.2006.
hivyo naomba wizara ituambie ni lini viwanja hivyo vitakua tayari ili tuweze kununua na kuanza ujenzi
majungu hayo buuu....majungu hayo!!!
Watu wanatoa Hi bila hata kiambatisho!!HI kavuuu!!hahaha afu wewe
HAHAHAAAAAAAAA! Matola hivi ananikandamiza kama dozi kutwa mara 3 hawezi kumind! Anajua watu8 NGAMIA WA MAONESHO TU HALIWI NYAMA, ila akiwekwa viwanja vya maonesho aaaaah ANAJAZA UMATI KUMSHANGAAAA, NEEMA ZA ALLAH ZILIVOMSHUKIA! Yeye Matola anajua tu mie katika ule umati nitashangaa, fahari ya macho tu haifilisi duka, jioni natia miguu home kumpikia ugali na tembeleee! Mmmmmmh!hahahahahaha huna lolote hizo sifa unazozimwaga matola akipita hapa atajinyonga hahaha mi wangu ananitosha kakamilika kila idara Vin Diesel fisadi papa yule hafai hata kwa mbolea lol watu8 namtania babu yangu acha nideke mjukuu wake pekeee
inaonesha we hutaki kuongeza idadi ya marafik, kwa hiyo wasiokujua wasijisumbue kukupm
Ha haaa kumbe ndo mana ukaambiwa una aidii 7.
Nime-quote hii thread ya miss neddy ikaja hivi cjui kwanini
Kumbe miss wanakusumbua unajikazaga tu...huko PM utawavuta wengi sana..wakiona na hiyo avatar yako ndio balaa kabisa ila vumilia tu ndio ukubwa huo!!!