Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Miss Neddy

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
14,684
Reaction score
8,760
Hi wana MMU hii inawahusu ME tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:

1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .

2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.

3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.

Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue

NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.
 
Aiseeeee! Ngoja nijifiche hapa pembeni!
 
miss neddy nitabadilisha password ya account yako. Kumbe nikitoka wengine wanaingia......
 
Last edited by a moderator:
Kumbe miss wanakusumbua unajikazaga tu...huko PM utawavuta wengi sana..wakiona na hiyo avatar yako ndio balaa kabisa ila vumilia tu ndio ukubwa huo!!!
 
Back
Top Bottom