Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Bora umekuja mzee mwenzangu.....Hapa mimacho imenitoka, hizi lugha wajukuu zimenipita mbali saaana...Ni zaidi ya Kichina cha akina Hu Yai!

Mzee mwenzangu ukifanikiwa kutafsiriwa unimegee muhtasari PM kule.

Hawa wajukuu wamesoma St. Mtakatifu academies wakati sisi tumepitia shule za msingi Mtakuja basi ni full tabu.
 
Eeeeeeeeeeh! SAY WHAAAAAAAT? wewe ndo umechanganya madawa, ile interview ilikuwa WAY BACK WHEN wakati bado mgeni mgeni! Kuna uzi mmoja tulitoana roho juu ya VIN D hulaaaaaa! Ilikuwa thrwad ya Morg nampenda VIN Diesel! Na HOE alikuwpo she took back her words na kukubali MGIRIKI nomaaa!, Lara 1 nilikiwepo, Vaslay alikwepo, Valntinaa kitu kam hicho, Charming lady, na wengin big names kibaoooooo! Hadi akabatizwa jina la MSWATI! Yaaani! Vin D was at his pik! Mi ndo nikaachana nae rasmiiii siku hio baada ya michepuko kunitoa mdimaa!
Life is really a bi.tch watu8 is trending once again! Mmmmmh! LARGER THAN EVER! Mi sitaki kuamini it is the end of Vin D! Naamini HIS TIME WILL COME ONCE AGAIN, AND HE WILL HAVE HIS GRAND RETURN! Vin D the ladies man! It was beautiful! You have to com back pleaseeee! watu8 ENJOY IT WHILE IT LASTS! Hahaaaaa! YOU HAD YOUR COME BACK WHO WOULD HAVE IMAGINED, WAKATI WA UTAWALA WA VIN D? Hahaaaaa!

Ila mimi every single day i am hopping somebody new will rise to challange huu utawala wa kupeana vijiti wa watu8 na vin D! Hahahaaaa!

hahahaha sidhani kama utawala wake utarudi labda ajipange haswaaaaaa ile siku nilikuwepo sana maneno tuuu vitendo holaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Ila kweli aisee. Yaani id hujawahi kuiona wala kuinotice. Anaanza hi? Ukijibu hi, anauliza uko wapi? Ukiona hujajibiwa ujue ilikuwa ujibiwe niko maliwatoni! Khaaa!

umeona eeeh me ndo nashangaaaga id zote zinazonipm ngeni tu ukiwafatilia wengine wamejiunga siku hiyo hiyo
 
Hivi ni sawa na mwanafunzi kusimama mbele ya darasa na kuwaambia wanafunzi wenzake" mi staki mnitongoze nna mchumba sitaki uchokozi"Utaona mziki wake ndo watakua mara mbili ya kabla.
 
Hahaaaaaaa! WE MWANA WEEE KOMAAAAA! Tuheshimiane mimi nina MUME WANGU HUMU tena ngoja nimuanzishie thread sasa hivi, maana hali shwari saivi! Tangia lini mchepuko ukalindwaaa?

shost nkajua BAN imekupitia nkasema lloh umbea tuko likizo na michambo
 
Hi ni biashara matangazo, ni ushambaa, ni kutafuta umaarufu au nini.? Is this necessary..? Lakini hapa jf kuna vijamaa vinashobokea shobokea mademu sana ndo wanasababisha hii hali, na wanawake wa kibongo embu acheni ushamba bana, kutongozwa kupewa hi, kusifiwa, kuzinguliwa hasa ni kawaida tu, mm nlipo unakutatana na mwanamke unampa hi, unamsifu u look sexy today, hakunji uso wala kujidai yupo juu sana, anajibu kistarabu anasonga mbele, kuna mitazamo tunayo, may be ni malezi na sehemu tulizokulia..
 
hahahaha sidhani kama utawala wake utarudi labda ajipange haswaaaaaa ile siku nilikuwepo sana maneno tuuu vitendo holaaaaa
Hahaaaaaa! NDO UNAVOJIDANGANYAAAAA.? Usiisemee mioyo yetu, jisemee moyo wako mwenyewe! WHAT YOU DONT KNOW CAN NEVER KILL YOU!

Mi naneda kwenye kitchen party hapo Sinza, Ndo naenda kuombana na fundi J4 nguo yenywe bado mpaka mda huu anaishonaa!

IT WAS A NICE THROWBACK SUNDAY! Umenikumbusha mambo mengi sanaa! New year nitakualika MMU Exclusive ya kukaribisha mwaka na kureview mwaka uliopita! You have it in you kid! Who would have thought! CIAO!!!!

Utaniombea kumradhi kwa collateral damage wote wa huu mdahalo! Hahaaaaaaa! Its your responsibility kama muanzisha thread! Mi nimekupa shavu tu!
 
hahahahahaha vin angekuwa habare ya mjini Heaven on Earth asingemkana kwenye ile interview uliomfanyia akakiri wazi watu8 ndo anaemkosha hahaha ilimuuma mpaka akaanza kula gizani new id's twende loooh me ndo mana nili mkwepa enzi zake zilikwisha lol ila akipata ubunge hawezi kuniacha ata ukuu wa wilaya

Mbona wanitafutia kesi......
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa! NDO UNAVOJIDANGANYAAAAA.? Usiisemee mioyo yetu, jisemee moyo wako mwenyewe! WHAT YOU DONT KNOW CAN NEVER KILL YOU!
Mi naneda kwenye kitchen party hapo Sinza, tunatuza rice cooker na microwave wakati mahasimu wetu wanatuza kabati la milango 4, dressing table na kabati la vyombo la milango 3! Mamaeeeee! Tusha aibikaaaa! Ndo nawahi tujadoliane tutumie mbinu gani kujistiriii watu kiboa zawadi ukwasi, watu 2 wanatuza matusi ya nguoni babake! Ndo naenda kuombana na fundi J4 nguo yenywe bado mpaka mda huu anaishonaa!

IT WAS A NICE THROWBACK SUNDAY! Umenikumbusha mambo mengi sanaa! New year nitakualika MMU Exclusive ya kukaribisha mwaka na kureview mwaka uliopita! You have it in you kid! Who would have thought! CIAO!!!!

Utaniombea kumradhi kwa collateral damage wote wa huu mdahalo! Hahaaaaaaa! Its your responsibility kama muanzisha thread! Mi nimekupa shavu tu!
t
hahahahaha lol kwanza am not a kid changishaneni mtunze hata minoti kujaziajazia palipopungua hasa hiyo rice cooker mtaishika watu wangapi wengine bebeni noti lol watu8 tulikuwa tunakutania tu yale masifa tuliyokupa wasije wakakuteka mazima kina Madame B loooh Vin Diesel najua hapitagi pande hizi anakusanya hela za uchaguzi mkuu kuwapa wapiga kura takrima lol
 
Back
Top Bottom