Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Bwahahaha utakuwa unatumia Tecno weye
Hahaaaaaaa! WE MWANA WEEE KOMAAAAA! Tuheshimiane mimi nina MUME WANGU HUMU tena ngoja nimuanzishie thread sasa hivi, maana hali shwari saivi! Tangia lini mchepuko ukalindwaaa?
Hahaaaaaaa! WE MWANA WEEE KOMAAAAA! Tuheshimiane mimi nina MUME WANGU HUMU tena ngoja nimuanzishie thread sasa hivi, maana hali shwari saivi! Tangia lini mchepuko ukalindwaaa?
hahaha afadhali nitasevie bila bugudha
Hata umbea ungekuwa haujibiwi ingelikuwa poa sana...hii michambo tunayoshuhudia tusingeiona!!!
Asante kwa kunifukuza dada wala sitajaribu hata siku moja kuku-PM.Na mwingine asiyetaka pm atujulishe
ili tuokoe muda maana muda ni pesa.
Hata umbea ungekuwa haujibiwi ingelikuwa poa sana...hii michambo tunayoshuhudia tusingeiona!!!
Na mimi mbona sijibiwi whatap zangu?
Nashukuruuuu MMEJUA MI SIO MGUMBAAAA! Ovary zina kwaliti! Akiwa wa kiume nitamuita Zinc akiwa wa kike Diabler! Uniletee kigari cha mtotosasa hivi analea 'ujauzito' hawezi kujinyonga....teh teh teh!!!
Hi wana MMU hii inawahusu nyie tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:
1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .
2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.
3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.
Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue
NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.
watakutana nawe live patanogajeSasa ukienda pm tunaenda wote
aiseee!!! lakini mbona mimi huwa namtumia piemu na id yangu ile ya miaka 44 huwa anajibu freshi tu :A S 109:
Hahahaaaaaa! Mtoto nyokoooo wewe! Hufai hata kwa mbolea!hahahaha mumeo kwa mzee wa six pack haoni ndani lol
tafuta uma, kijiko, sahani na kisu ujimegee kipande hadi kipande...
Hahahahahahahahahah hakyananiwe unadhani yupo siriasi huyu...sema wengi waendao piemu yake wanaenda mikono mitupu...
sasa si wajua mkono mtupu haulambwi, mkono mtupu kazi yake kuchamba tu!!!
hata umbea haujibiwi, ni kujiepusha na yasiyo ya lazima.
Hahahaaaaaa! Mtoto nyokoooo wewe! Hufai hata kwa mbolea!
Kwani SIX PACK NDO ZINAINGIA MULE? Watu wengine NGAMIA WA MAONESHO TU! Wazuri kuwatizamaa, ukiwala nyama haina ladhaaaaa! Hahahaaaaaaaa! Usinisambazeeeeeeee!
Mwache mume wangu hana six packs lakini shughuli anaiwezaaaaa! Mkewe nimefika bei! Kwenye huo ushindani nakuachia wewe mdogo wangu walau upate mimba hata itoke tuuuu uonekane sio mgumbaaaa! Khaaaaaa!
watakutana nawe live patanogaje