Hi ni biashara matangazo, ni ushambaa, ni kutafuta umaarufu au nini.? Is this necessary..? Lakini hapa jf kuna vijamaa vinashobokea shobokea mademu sana ndo wanasababisha hii hali, na wanawake wa kibongo embu acheni ushamba bana, kutongozwa kupewa hi, kusifiwa, kuzinguliwa hasa ni kawaida tu, mm nlipo unakutatana na mwanamke unampa hi, unamsifu u look sexy today, hakunji uso wala kujidai yupo juu sana, anajibu kistarabu anasonga mbele, kuna mitazamo tunayo, may be ni malezi na sehemu tulizokulia..