Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Halafu we Bazaz nilikusaka kwenye simu sijakupata.

Oops labda kimchina changu kinazingua bazazi, nakucheki na mchina original punde.


||Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for couple of days||
 
Oops labda kimchina changu kinazingua bazazi, nakucheki na mchina original punde.


||Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for couple of days||

Ile namba yako yenye wazap ndio sinayo ujue.
 
kumbe rogie nae ni team bazazi!.

HAPANAAAAA
Hao jamaa wananilazimisha tu kuwepo kwenye chama chao.


||Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for couple of days||
 
Daah miss neddy me itabidi tu tuongee vizuri kuhusu hiyo project yako lol. Hukawii kuwa bosslady wewe hahaha
 
Last edited by a moderator:
Hi ni biashara matangazo, ni ushambaa, ni kutafuta umaarufu au nini.? Is this necessary..? Lakini hapa jf kuna vijamaa vinashobokea shobokea mademu sana ndo wanasababisha hii hali, na wanawake wa kibongo embu acheni ushamba bana, kutongozwa kupewa hi, kusifiwa, kuzinguliwa hasa ni kawaida tu, mm nlipo unakutatana na mwanamke unampa hi, unamsifu u look sexy today, hakunji uso wala kujidai yupo juu sana, anajibu kistarabu anasonga mbele, kuna mitazamo tunayo, may be ni malezi na sehemu tulizokulia..

MMU ni zaidi ya uijuavyo mkuu, wacha waendelee kujificha nyuma ya ID fake, ila ukiangalia michango yao unajua ni watu wa aina gani. Kuwa mpole songa mbele.
 
Back
Top Bottom